Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Yani nyie wajinga wa lumumba na wauwaji wa watanzania ndio muone nani anafaa kuongozo chadema? Kumbe nilikuwa nafikiri chizi karogwa tena yuko mmoja humu jf lakin nimegundua Kuna biwi.Lissu anapotezwa na kina lema,bora hata Boniyai anaweza kuongoza chama kuliko lissu
mashaka yako ndio umaskini wako wa kifikra gentleman,Nina mashaka sana na hicho kilichopachikwa katikati ya mabega yako. Upumzike kwa amani
Useless ni mamako aliyekuzaa wewe useless ambaye Abdul amekugeuza daso la kudekia kwenye makorido ya Lumumba. By the way point anayo mamako ya kuwa watu.relax basi,
hakuna haja ya kuweweseka na vitu useless kwenye mjadala jukwaani gentleman,
ikiwa huna point, tuliza ball tu na itapendeza sana
Kila mtu anamlilia wake, ndomaana msiba wajirani hulii kama msiba wa ndugu yako. Unawapazia sauti mashehe wasio husika lolote lile na wewe, si utaonekana mwehu? Wewe na mashehe wako ilitakiwa mlie pamoja, matokeao yake ukafyata mkia ukajificha. Waachie watu wanaolia na Lissu waoHapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
Mashaka yangu yalikua sahihi. Hamna kitu hapomashaka yako ndio umaskini wako wa kifikra gentleman,
thank you and R.I.P in advance too
hakuna haja ya kuporomosha matusi jukwaani gentleman,Useless ni mamako aliyekuzaa wewe useless ambaye Abdul amekugeuza daso la kudekia kwenye makorido ya Lumumba. By the way point anayo mamako ya kuwa watu.
Huyo matakko acha afie jela, kitima atamfanyia mazikoNchi ya ******* sana hii.
Kuna miwatu ina roho mbaya haifai hata kuitwa watu.
Yaani kuna watu kazi yao ni kutetea hao masheikh? Lisu anatetewa na wafuasi wake, hao Masheikh walipaswa kutetewa na waumini wao. Au nyie mmekaa hamna mchango wowote, mnasubiri wafuasi wa Lisu ndio wawatetee hao masheikh?Hapana. Ila nguvu inayotumika kupigia kelele ingetumika miaka hiyo kwenye kesi ya Mashekh huenda tungekuwa tushalimaliza tatizo. Lakn mliona sawa tu na mkapiga kimya wakati Mashekh wanasota rumande
Sawa, endeleeni kupiga kelele.Hao masheikh ulikatazwa kuwapigia kelele wewe, kwanin hukuwapigia kelele kama wewe huwezi kupiga kelele Kwa Lissu kuwekwa ndani kipumbavu acha by the way hakuna aliyekwambia umpigie kelele Lissu.
Good!Yaani kuna watu kazi yao ni kutetea hao masheikh? Lisu anatetewa na wafuasi wake, hao Masheikh walipaswa kutetewa na waumini wao. Au nyie mmekaa hamna mchango wowote, mnasubiri wafuasi wa Lisu ndio wawatetee hao masheikh?
Safi kabisa. Kila mtu alie na wake. Tutafika tuKila mtu anamlilia wake, ndomaana msiba wajirani hulii kama msiba wa ndugu yako. Unawapazia sauti mashehe wasio husika lolote lile na wewe, si utaonekana mwehu? Wewe na mashehe wako ilitakiwa mlie pamoja, matokeao yake ukafyata mkia ukajificha. Waachie watu wanaolia na Lissu wao
Keyboard warrior una mawazo ya kipumbavuWatanganyika hatujawa serious bado.
Jamiiforums Team fanyeni hivi :
Funga post zote za mpira mapenzi ujinga ujinga Mwingine let’s focus kuzungumzia lililopo mbele yetu.
Tusipokuwa serious tutaendelea kuburuzwa
Ruhusuni kupost yaliyokea Oct29
Tupo kwenye danger zone kuliko ukaburu wa South Africa
It’s now or never.
Yaani kabisa waisilamu mmekaa kama walemavu hamuwezi kutetea masheikh wenu, mnasubiri hilo jukumu mfanyiwe na kundi jingine?!Good!
Mjue tu tulifuga wenyewe hii tabia kwa kudhani fulani akionewa hawahusu, leo kwenu sasa.
Anyway, endeleeni na mpambano bila shaka itasaidia next wakidakwa Mashekh itasaidia kufanya reference kwa kesi yenu
Matusi na kashfa sasa inakaribia kuwa silaha rasmi ya CHADEMA kila wanapokutana na mwenye maoni tofauti na yenuUseless ni mamako aliyekuzaa wewe useless ambaye Abdul amekugeuza daso la kudekia kwenye makorido ya Lumumba. By the way point anayo mamako ya kuwa watu.
Tutafika wapi mkuu? Tutafika na nani? Kwani tumesema tuna taka kufika?? Tutafika ili iweje?? Kuna ulazima wa kufika? Kwanza tunaenda wapi????Safi kabisa. Kila mtu alie na wake. Tutafika tu
Hata kabla hujaniambia nilishaanza siku nyingi kupiga kelele so kunambia kwako ni useless maana nilishaanza kabla. Wewe nenda kapigie masheikh wako kelele uliowatelekeza hadi lissu akawapigia kelele.Sawa, endeleeni kupiga kelele.
Unajiingiza kwenye league ambayo hutaiweza wewe, mim namshughulikia huyo bwabwa tlatlaah anayejifanya anajua kutoa maneno ya kijinga maana mimi niko kushughulikia wajinga wa namna hio so hio league iache niendelee naye.Matusi na kashfa sasa inakaribia kuwa silaha rasmi ya CHADEMA kila wanapokutana na mwenye maoni tofauti na yenu
SafiiiiHata kabla hujaniambia nilishaanza siku nyingi kupiga kelele so kunambia kwako ni useless maana nilishaanza kabla. Wewe nenda kapigie masheikh wako kelele uliowatelekeza hadi lissu akawapigia kelele.
Jela atafia mamako kama huamini subiri lissu siku akitoka ndio nitakupa maneno vizuri Kwa sasa nafanya reservation.Huyo matakko acha afie jela, kitima atamfanyia maziko
mahakama ya Tanzania ni muhimili huru na unaofanya kazi zake kwa uwazi, haki na usawa bila kushurutishwa na matakwa ya mtuhumiwa, licha ya kua na haki kuomba anachotaka.
kupewa sio lazima.
ni muhimu sana kwa kila raia mwema kutii shgeria bila shuruti na kujiepusha na mipango ovu ya kihalifu inayokiuka sheria na katiba ya nchi, ili hatimae kuepuka majuto, mahangaiko na kiwewe cha kisaikolojia kama anachopitia huyu kibaraka anasota korokoroni kwa kosa la uhaini alilopanga kwa makusudi na chama chake akifadhiliwa na mabwenyenye ya magharibi.