Hivi mpaka muda huu hamna mgombea? Huyo alishasema ana wasiwasi na maisha yake kurudi TZ au atakuwa mgombea akiwa nje ya nchi? Sheria inaruhusu dada?
Jiwe ametunga sheria asiyekuwepo nchini kwa miaka miwili kablavyavuchaguzi hataruhusiwa kuhombea. Jiwe ataondoka ikulu kwa aibu sana.
Inawezekana unachokisema ni kweli lakini pia hata huku mahakama inamtaka lazima awepo kwenye kesi yake la sivyo mdhamini wake anaubeba mzigo!Kashafukuzwa ukiona hivyo,time yake kutibiwa imekwisha then lazima arudi kwao
Sana. Unashindana na kivuli chako then unapata ujasiri wa kujitangazia ushindi wa 99.9999%😛. Madness at its highest order
Alisema harudi hadi serikali imhakikishie usalama. Labda kishamalizana na serikali. Usiwaamini sana hawa wanasiasa wa Tanzania.Haya yote ye anayafahamu?.Nini kinampa ujasiri wa kurudi?
Kwaiyo ulitaka asirudi?Alisema harudi hadi serikali imhakikishie usalama. Labda kishamalizana na serikali. Usiwaamini sana hawa wanasiasa wa Tanzania.
Nani Mkimbizi?Hawezi kuja TZ labda kwa sababu Sheria za Ukimbizi hazimruhusu, refugee haruhusiwi kwa sheria za Ukimbizi kurudi nchi ambayo aliikimbia, akikanyaga TZ na ukimbizi wa Ulaya bye bye!
Hivi kuna mtu ambaye hatakufa?Mkuu unasema wampe mtoto mchawi wao wamlee..!? Mi nikwambie tu watamuua vilevile!
Kwahiyo wewe ungemshauri vipi?
Labda Zito asiyekabiriwa na kesi kwa sasa.
Sina shaka unaelewa ninachoandika hapa.
Lissu Yes ila Zitto hapana kabisa kabisa.
Ana element za u-snitch yule na watu wa kigoma hawaaminiki.
Ndani ya mwezi mmoja usalama wake umehakikishwa baada ya kudai hawezi kuja Tanzania kwa sababu ya kuhofia usalama wake!
Nimshukuru kwa kutii wito wa mahakama baada ya mdhamini wake kuambiwa na mahakama lazima mtu wake awepo mahakamani au yeye aende segerea!
Wanasiasa wana vituko!
Uko sahihi, lakini kwa afya ya Lissu ni ngumu kidogo kwenye nchi ambazo vyombo vya dola vinatumia mabavu, na kiongozi aliye madarakani anatumia madaraka yake vibaya kupambana na wapinzani wake. Wangalau Zitto ana uthubutu na ana uwezo wa kujenga hoja. Sioni shida kubwa ya Zitto kupewa hiyo nafasi kama tuliweza kumpa nafasi Lowassa, tena akiwa sio mpinzani kabisa, na sasa karejea ccm. Katika mazingira hayo unawezaje kusema Zitto Ni snitch.
Khs Afya ya Lissu kuna ka ukweli kiaina lkn inategemea na ye mwenyewe anajionaje kama anahiona yuko fit then apewe chance.
Kwa hio mkuu kama kipindi kile CDM walifanya makosa khs Lowassa then wafanye majaribio tena kwa Zitto?
Au umemsahau kipindi kike Zitto na miamala yake na Tiss ilivyowekwa hadharani?Once a snitch,always a snitch.
Kwani huyo Zitto lazima agombee kupitia cdm? Anaweza kugombea kupitia chama chake, na kwa mtazamo wangu anafaa sana kwa nafasi hiyo, isitoshe ana utayari wa nafasi hiyo.
Ni kweli huyo Zito ana mapungufu yake kama hayo uliyotaja, je kuna mtu asiye na mapungufu? Ukimuacha Zitto ni na Lisu ambaye afya yake ya kimwili kwa sasa inaweza kuwa changamoto, ni nani anayeonyesha kuimudu nafasi hiyo?
Mdhamini si analipa fedha tu ambayo hawatashindwa kulipa kisha sasa inabaki jukumu la polisi kumtafuta mtuhumiwa, mbona simple tu.Inawezekana unachokisema ni kweli lakini pia hata huku mahakama inamtaka lazima awepo kwenye kesi yake la sivyo mdhamini wake anaubeba mzigo!
kwan umeamua kumjibia?kuna sehem kasema akiwa rais ndyo atkuwa salama au umewaza tu kwa kutumia kamasi?Lissu ni mnafiki sana na mpenda madaraka,sasa akiteuliwa ndio ataamini usalama wake upo salama,mbona anajichanganya sana.
Pia ni Muda wa Kumpa uenyekiti wa Chama lissuHuyo au Zito ndio wanafaa kugombea urais kupitia Upinzani.