Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

manengelo,
Hivi mpaka muda huu hamna mgombea? Huyo alishasema ana wasiwasi na maisha yake kurudi TZ au atakuwa mgombea akiwa nje ya nchi? Sheria inaruhusu dada?
Nina uhakika huo "mshindo" tokea kwa jirani umewatikisa hadi matumboni...
Nasubiri kuona "nyuzi za viwewe" humu jukwaani...
 
Ungesoma kwanza basiii
Punguza Kuhemkwa!!

Nimesoma na kuelewa, Uzi huu umehaririwa zaidi ya Mara 4/5 tangu uletwe humu.

By the way sikua serious kihivyo kwani nilikua najua ameyaongea wapi.
 
Aje tumpe uenyekiti wa Chadema
Binti mbona unashoboka hivyo? Uko kwenye heat nini?
Achana na hawa wanaume wa Chadema watakupotezea muda tuu, endelea na vijana wako wa Lumumba
 
Sio rahisi warudie mtindo ule wa risasi tena kwa sasa, ila mahakamani au jela ni lazima maana ndio sehemu pekee wanaweza kutekeleza nia yao ovu, kwa kujificha kwenye mgongo wa sheria.
Nyie ndo matahira kweli,kama alishindwa mkapa mahakama enzi zawasomi(mawakili),pia nani atakayeandaa mashitaka(hawa hawa polisi(di pp) huyuhuyu kweli,labda ubadilishwe mfumo wa uandaaji mashitaka...au wampige kizuizini ,ila mashitaka hapana,lisasi hapana
 
Du, Tundu yungali ni mbunge wa Singida? Yaani jimbo lina wabunge wawili?
 
Punguza Kuhemkwa!!

Nimesoma na kuelewa, Uzi huu umehaririwa zaidi ya Mara 4/5 tangu uletwe humu.

By the way sikua serious kihivyo kwani nilikua najua ameyaongea wapi.
Sijawahi kuhemkwa hata siku moja. Isipokuwa niliona hata heading inaonekana hukuisoma
 

RUDI NYUMBANI LISSU.

Maisha ya ugenini, na hasa ughaibuni si mchezo. Rudi nyumbani Lissu.
 
Kidogo utajifungua co kwa kuhangaika huku
 
Kwa fikra zangu haya Tundu asipewe urais, kipindi hiki tuachane kwanza na waseminari, wametuumiza kama taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…