Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Mzee Mwinyi sio Mzanzibar na hilo kathibitisha mwenyewe kwenye kitabu chake.Kusema twasema leo kwa kuwa katokea rais mzanzibari, itakuwa kutokututendea haki mkuu.
Kwani kwa kauli yako hii mbona Mzee Mwinyi aliwahi kuwa rais na hatukupiga kelele hizi?
Mzee Mwinyi sio Mzanzibar na hilo kathibitisha mwenyewe kwenye kitabu chake.
Nyinyi mmeanza ubaguzi kwenye hili,
Kwanini msijadili mkataba badala ya Uzanzibar wa mtu.
Kumbukeni sisi wazanzibar ni wabaguzi kuliko nyinyi tukisema turejeshe majibu sio vizuri kabisa.
[emoji23] [emoji23] Ila Samia ni kituko sana aisee
Ingawa umeuliza swali kama chalii wa nursery but umiliki haimaanishi ubebe kitu unaweza kukimilik hapo kilipo milele!!Kama kauziwa,ataibeba,aondoke nayo?
Aisee 😳😳😳Huyu huyu FaizaFoxy wa dini ile ya mabikra 72 peponi anaowaona waarabu kama miungu ndio aje adadavue ?! Waislamu ni bure kabisa Dini ya kuhubiriwa ukaue watu eti ukifa utaenda kupewa mabikra 72 na kuna mijinga ngozi nyeusi ti Boko haram yanakwenda kuua ndugu zao eti watapewa mabikra 72
Faizafox ni njaaa tu inamsumbua pamoja na chuki kwa jpmMh [emoji848] ngoja manguli wa mikataba waje akina.. Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS tuone wanadadavua vp kisheria!!
Sio ubaguzi tu hata ukosefu wa akili mmetuzidiMzee Mwinyi sio Mzanzibar na hilo kathibitisha mwenyewe kwenye kitabu chake.
Nyinyi mmeanza ubaguzi kwenye hili,
Kwanini msijadili mkataba badala ya Uzanzibar wa mtu.
Kumbukeni sisi wazanzibar ni wabaguzi kuliko nyinyi tukisema turejeshe majibu sio vizuri kabisa.
Hili ndilo jibu? Daah! Hii nchi kutoboa ni ngumu sana!Uyo nae nipimbi tu kutwa kujipendeleza kwa majirani kutafuta undugu tunajua kuwa waarabu wakichukua iyo bandari hamn pakupitishua midway yenu ya kulevya
Pambania ugali wako ila mkataba upo pale paleHili ndilo jibu? Daah! Hii nchi kutoboa ni ngumu sana!
Nyinyi mnaakili gani kazi kuendekeza udini tu.Sio ubaguzi tu hata ukosefu wa akili mmetuzidi
Katika hili sisi tulifanya ila ni nyinyi Watanganyika mulioshikilia mfumo uliopo kwa nia ya 'kuidhibiti' Zanzbar.
Rejea maneno ya Lukuvi kule kanisani, ambaye ni Mtanganyika halafu rejea msimamo wa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwenye bunge la katiba mwaka 2014 ambaye ni Mzanzibari.
Nyinyi mnaakili gani kazi kuendekeza udini tu.
Mikataba mingapi ya maadini mibovu ila kapewa mzungu mapadri wenu kimya.
Mkuu kwenye hili, mtu stahiki wa kusema ni mzee Mwinyi mwenyewe ambaye, kama ilivyosemwa, aliandika mwenyewe kwenye kitabu chake kwamba, ndhani, hakuzaliwa Zanzibar. Kama hivyo ndivyo, mimi ni nani mpaka nipingane na mzee Mwinyi ambaye 1. ni mkubwa wangu, 2. Yeye ndiye anayejijua zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.Wapi unajadiliwa uzanzibari ndugu?
Kwani bandari zenu zipo kwenye mkataba huu?
Kumbe Mzee Mwinyi siyo mzanzibari ila Samia? Sasa mwanawe naye je? Si Walisema mwana wa nyoka naye ni nyoka?
Zawadini nisaidie kujiridhisha huyu ni nduguyo au ni wale chawa wetu sampuli za Ustaadh Mwaipopo?
Mkuu mimi nimejibu maombi yako kwamba Wazanzibari tukuungeni mkono na si vingine...Lukuvi anawakilisha maoni na misimamo ya wahafidhina wa Ccm.
..Hata Samia, Mbarawa, Mwinyi, wote wako ktk kundi la wahafidhina wa Ccm wanaofaidika na mfumo kandamizi uliopo...
Mkuu kwenye hili, mtu stahiki wa kusema ni mzee Mwinyi mwenyewe ambaye, kama ilivyosemwa, aliandika mwenyewe kwenye kitabu chake kwamba, ndhani, hakuzaliwa Zanzibar...
Naishia kusikia tu Bandari zimeuzwa...Lakini sisikii mtu akitaja kiasi au pesa/Bei ya hizi bandari.Hoja hupingwa kwa hoja: