Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Barikiwa saaaana sana you nailed it perfectlyMtu anaweza kuwa kaolewa na anabwabwaja hapa hapa. Pia inaweza kuwa unadhani anabwabwaja yule kumbe wewe.
View attachment 2797785
Ajuaye Mola. Kulikoni kuwa mtoa hukumu?
Huu ndio uwe msimamo thabiti wa kila Mzalendo hii nchi sio yao CCM manina zao. Watu Milioni 60 tunaburuzwa na wahuni wachache.Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya,
Hapatafanyika uchaguzi wowote, time hii, hakuna kususia!!
Bila shaka ndiyo maana kuna wanaojifanya wafia chama wanachungulia uzi, kama wanatoa heshima za mwisho kwa mpendwa mwendazake.
Tindo, imhotep, Retired, WALOLA VUNZYA na wale wengine au nasema uongo ndugu zangu?
No fear No hate 😂 hivi iliishia wapi?HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
View attachment 2797791
Vipi hapo kwenye nusu Mkate?
Kama kule Zanzibar na kule Wananchi wao na zile Vurugu za Uchaguzi ndio zimesababisha.Nusu mkate inakuja na katiba sahihi. Kama ni kwa hisani ya mtu tu, ukipewa 1% utasema je?
Haya maneno uliyo-quote ni mawazo na hisia tu za MTU
Kama kule Zanzibar na kule Wananchi wao na zile Vurugu za Uchaguzi ndio zimesababisha.
Huku Tanganyika Wananchi wamepoa sana.
Uwezo wa ccm kuwashinda cdm kihalali hilo limeshashindikana, kilichobaki ni hujuma dhidi yao. Anachofanya Lisu ni kugoma kuendelea kushiriki kwenye hizi chaguzi za kihayawani maana anajua kinachotangazwa sio ukweli ulio kwenye box la kura. Mtu mjinga tu au anayefaidika na chaguzi hizi za kihuni ndio anaweza kuzishabikia, au kuendelea kushiriki kwa mazingira haya.Lussu kastuka mapema, anajuwa wakiingia kwenye uchaguzi hawana chao.
Hata mgombea wao hawajui atakuwa nani. Anajijuwa uwa yeye hawezi kugombea tena, sasa anatafuta pakutokea.
Sasa hivi kila kijiwe ninachopita Watanganyika wako Bize na mabishano ya Vita ya Israeli na HamasNani anaweza kujiondoa kwenye kupoa Ili anyooshewe kidole Huyo aliyepoa?
View attachment 2797800
Kwani wale chawa umewasikia? Wanasubiri kujua upepo unakoelekea siyo?
Wajumbe kama hao ni mzigo na bila kuwachana live haisaidii.
Huu ndio uwe msimamo thabiti wa kila Mzalendo hii nchi sio yao CCM manina zao. Watu Milioni 60 tunaburuzwa na wahuni wachache.
Angeapa kuilinda katiba asingekuwa anaivunja! Mara kadhaa amevunja katiba iliyopa na vyombo vyote vya dola vimeufyata hivyo katiba mpya ni muhimu!Raisi Samia na Serikali yake waliapa kuilinda katiba iliyopo, hawakuapa kuandika katiba mpya. Tustishane.
Na kweli inabidi ccm kiendelee kuwa chama dola maana hakina uwezo tena wa kubaki madarakani kwa ushawishi wa kisiasa.Hili siyo Jukwaa la Ucheshi
Chadema ni CHAMA tu kama Watoa Taarifa wengine
CCM ni CHAMA DOLA
Sasa hivi kila kijiwe ninachopita Watanganyika wako Bize na mabishano ya Vita ya Israeli na Hamas
Dunia hii ni ya Wenye NguvuNa kweli inabidi ccm kiendelee kuwa chama dola maana hakina uwezo tena wa kubaki madarakani kwa ushawishi wa kisiasa.
Dunia hii ni ya Wenye Nguvu
Ushawishi ni mambo ya historia za Kiimani
VICHEKESHO HIVI HAVINA TOFAUTI NA HEKAYA ZA ABUNUASIHIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!
Tangu Chadema ilipowasaliti Sauti Ya Watanzania...
Hii kauli Ya Tundu Lissu haina nguvu wala uhalali kitaifa!
Niko palee nisubiri kuoana Kama uchaguzi hautafanyika.HIzi ndiyo zile kauli tunazozitaka kuzisikia toka kwa viongozi wetu katika mapambano:
View attachment 2797585
HIzi ndizo zile kauli wanazozielewa vyema CCM na vibaraka zao.
HIzi ndiyo zile kauli za watu, yaani kauli za wananchi.
Kauli ya wengi ni kauli Mungu.
Aluta continua!