Lissu jifunze, Huwezi kushika dola kwa kupambana na dola, Never

Lissu hakujifunza tu kwa rafiki yake Spika mtata aliyekuwa anatamba ana uwezo wa kumleta mtu yoyote Bungeni kwake kuhojiwa iwe kwa pingu ama karandinga - baada ya kauli ile ya mikopo ya mama nini kimemkuta?
Dola ni dola ndugu.
This is the way cowards think, fortunately, Lissu is far attached from there.
 
Lissu ni second man Chadema anashindwa nini ku implement maono yake kwa kujenga hoja kwenye kamati kuu hadi awe Mkiti.
Makamu mwenyekiti ni lesser than naibu katibu mkuu!!! Hata professor safari alilalamikia hili sana. Kwahiyo Lissu mmoja hawezi lazimisha kamati kuu yenye watu 20+ wamsikilize.

Hata hao Covid 19 watasamehewa na Mbowe na hakuna atakayepinga maana ana kura ya turufu kama mwenyekiti.
 
Mkuu usisemee watu, uoga wako na matamanio yako usiyapandikize kwa watu wengine. Uanaharakati hauna shida ili mradi hakuna sheria iliyovunjwa.
 
Sawa, fanya hilo vuguvugu pasipo kukivuruga chama unachotegemea kuja kushika dola.
Mkuu inaelekea una tatizo na tafsiri ya neno "ukweli" mtu akisema ukweli wewe una tafsiri kuwa ni vurugu. Unapotosha watu makusudi.

Mkuu hakuna uharamu wowote kwa mtu kuwa mwanasiasa au mwanaharakati ilimradi havunji sheria yoyote ya nchi.
 
Trump ame pambana na Biden miaka yote minne kapewa kesi za kila Aina, bado kashinda.

Mandela alipambana na utawala katili hadi USA waka muigiza kwenye lists ya Magaidi duniani.

Mbowe hutembelea nyota za wana siasa wengine kwa malengo binafsi ya kupiga pesa, mfano 2005-2015, tulikuwa na kina DR slaa, Zitto, Lissu, Mnyika, Lema, hawa ndo walikuwa wanaibua maovu yote ukipenda kuyaita kuanzia ubinafsishaji wa Mkapa, Kilwete, Mererani, Escrow, Kadogo, Symbion, hao ndio waliiweka chadema kwenye chart sio mbowe.

Lengo kuu la mbowe ni kupitia imaarufu wa uliojengwa na wengine ndani ya chama kupiga pesa, hata issue ya Abdul mtoto wa Samia ni Lissu ndo kaibua, mbowe alisha piga pesa zake kitambo na kutulia , finally pesa ndo anaziita maridhiano , huyu sio mtu wa kuleta mageuzi Tanzania.

Mbowe hajawahi na haitatokea kuwa mwanasiasa bora Tz, kama kuna watu wana muona bora mbowe wape pole, hivi kuna ufisadi wowote ambao amewahi kuibua mbowe katika serikali yeyote zilizopita?
 
Kama Mbowe ameweza kukaa na magwiji yote hayo huoni kuwa ni kiongozi bora.
 
Sasa hao wote uliowataja ni Mbowe ndio kawaleta Chadema, mnona hawakwenda Udp?
 
Hivi Mandela alipokuwa anapambana na makaburu alikuwa anafanya siasa au hatakati ? Steve biko alikuwa anafanya siasa au harakati ? Mugabe alikuwa anafanya siasa au harakati ? Nyerere alikuwa aanafanya siasa au harakati? Je hawakushika dola ?
 
Nyerere alipata Uhuru kwa "Uanaharakati"?

Really?

Wewe jamaa kiazi sana
 
Na ni wakat wa hiki chama kubaki salama au kuvifuata TLP,CUF,NCCR and co
 
Woga wa nyumbu huu. Mawazo ya kijinga kabisa. Hamjifunzi kwa Mandela? Mnadhani alikaa jela muda wote kwa sababu gani? Alikaa kwa sababu hakutaka kunyenyekea kwa dola kama wewe unavyodhani. Udhalimu hupingwa na haukumbatiwi! Ujinga mwingine huu!
 
Ccm wanawachora tu wanangoja mbowe arejee na matusi yao yaanze
Mnataka demokrasia wakat chama chenu hakina demokrasia mna viongozi wanaongoza chama km mali yao afu mnataka mpewe uongozi wa nchi sindo mtabadili kabsa katiba ili msitoke madarakan muongoze milele

Ni mara 100 lisuu ashinde anaweza badili kwa kias flan upepo wa 2025 ila asiposhinda bas 2025 tusidanganyane itakua ni zaidi ya huu wa wwnyeviti wa mtaa
 
Mbowe ni kiongozi mbovu ambaye amefanikiwa kujificha bila kujulikana na watu wengi kwa muda mrefu. Hafai hafai hafai.
 
Hivi Mandela alipokuwa anapambana na makaburu alikuwa anafanya siasa au hatakati ? Steve biko alikuwa anafanya siasa au harakati ? Mugabe alikuwa anafanya siasa au harakati ? Nyerere alikuwa aanafanya siasa au harakati? Je hawakushika dola ?
Je walikuwa wanatukana?
 
Kiongozi wa sylia mbona ameweza, amepwmbsna na dola ya Bashir asssad kwa miaka 10! Na sasa ameshika dola, acha nadharia za ki ccm,
 
It's true hakuna mwenye dola anayeweza kuachia dola kirahisi lkn
kuna njia sahihi na kistaarabu za kupata dola kidplomasia na sio kupambana nayo kwa mabavu kama anavyotaka Lissu na wengi mnavyotaka.
Dah! Naomba tafadhari niambie chama chochote kilichotumia njia ya kistarabu ktk kuviondoa vyama vya ukombozi afrika. Hivi vyama vya ukombozi vinasirika moja ya kung'ang'ania madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…