Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyewe ktk ile press kama kachangiwa lkn hamkutaja nani za ndani kwamba Misigwa
Mkuu sasa nawewe unakataa kuwa we ni mjinga?
Lissu akose hela ya ukumbi?
Anaenda Ubelgiji kila mara akose hela ya ukumbi,aisee....
 
Kwa njaa aliyonayo Msigwa yeye ndio wakuchangiwa. Lakini wewe sijui kama unajua hata gharama za ukumbi. Hizo hata mimi naweza kulipa
 
Mwenyewe ktk ile press kama kachangiwa lkn hamkutaja nani za ndani kwamba Misigwa
Mkuu na hilo aliongelee,si anajua wewe ni timamu,inahitaji akili ya kawaida tu kujua haiwezekani Msigwa amchukulie Lissu ukumbi,Msigwa bado hajapata hata chaka la hela CCM,atatoa hela wapi?
 
Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha
Mbona ni wazi tu kuwa hiyo ni propaganda, uongo, uzushi wa chawa Msigwa, kama kweli kasema.

Machawa huwa hawaaminiki kamwe.
Huwa wanabwabwaja mambo mazito kuliko hilo na wanapuuzwa kama kawaida, wala usipate shida
 
Yeriko namjua mwanzo mwisho yule ni mtumishi wa CCM ndani ya chadema ndio maana nimekwambia

CCM wapo kazini sio kila mpinzani ni mpinzani na sio kila mpinzani ni CCM
 
Mkuu na hilo aliongelee,si anajua wewe ni timamu,inahitaji akili ya kawaida tu kujua haiwezekani Msigwa amchukulie Lissu ukumbi,Msigwa bado hajapata hata chaka la hela CCM,atatoa hela wapi?
Kwa hili Lisssu amepotea sana, kama ulisoma gazeti la mwananchi la juzi limeandika story hizo za msigwa kufadhili harakati za Lissu
 
Acha kukurupuka tuligharamia Press wengi ni sisi Diaspora chini ya Liberatus

ACHENI kuokoteza maneno na hili liliwekwa wazi mitandaoni
Kwa kuwa mligharimia haiwezekani Msigwa nae kuchangia? Kama liliwekwa wazi mtandaoni tuwekeeni link ili na sisi tuone. Hii nchi imani kwa mwanasiasa yeyote imepungua sana hivyo mnapaswa ku counter allegations zozote zenye nia ya kumchafua mtu wenu. Mimi nilikataa kabisa kuwa Halima na wenzake wanaweza fanya waliofanya na sasa wako wapi! Sitaki kuamini kuwa Lissu anaweza kuwa kama wao lakini ninahitaji assurance kuwa sivyo. Simuamini Msigwa lakini ukiumwa na nyoka....

Amandla...
 
Mbona ni wazi tu kuwa hiyo ni propaganda, uongo, uzushi wa chawa Msigwa, kama kweli kasema.

Machawa huwa hawaaminiki kamwe.
Huwa wanabwabwaja mambo mazito kuliko hilo na wanapuuzwa kama kawaida, wala usipate shida
Msigwa kumfadhili LISSU lipo wazi, wala halifichiki
 
Ukisoma gazeti la mwananchi liliandika mchango wa Msigwa ktk harakati za Lissu
 
Yeriko namjua mwanzo mwisho yule ni mtumishi wa CCM ndani ya chadema ndio maana nimekwambia

CCM wapo kazini sio kila mpinzani ni mpinzani na sio kila mpinzani ni CCM
Msigwa foundation kufadhili harakati za lissu lipo wazi
 
Si kila kitu ni cha kukanusha, hawez jitokeza kukanusha tetesi
Ni bad move for publick figure
 
Watu wagumu kuelewa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…