Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Mbowe laini sana hata proganda zake za kumchafua Lisu ni nyepesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa nawewe unakataa kuwa we ni mjinga?
Lissu akose hela ya ukumbi?
Anaenda Ubelgiji kila mara akose hela ya ukumbi,aisee....
Kazingua sana mleta mada,eti anatumia uhuru wa kuposti thread.Haahaa eti kiasi Gani, Yaani.m
Mkuu na hilo aliongelee,si anajua wewe ni timamu,inahitaji akili ya kawaida tu kujua haiwezekani Msigwa amchukulie Lissu ukumbi,Msigwa bado hajapata hata chaka la hela CCM,atatoa hela wapi?Mwenyewe ktk ile press kama kachangiwa lkn hamkutaja nani za ndani kwamba Misigwa
Mbona ni wazi tu kuwa hiyo ni propaganda, uongo, uzushi wa chawa Msigwa, kama kweli kasema.Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha
Mkuu sijui mimi na wewe tunatofautiana wapi! Hata mie nasema ni uzushi na sio wa kuuacha usambae kisha uwe na nguvu ya kumkosesha Lissu uungwaji mkono.
Tafadhali sana sikilizeni mahojiano haya ya Yerricko Nyerere na Radio moja mtajua kwa nini nina hofu na kuacha hili kujibiwa! Kumbuka huyo ni mjumbe wa mkutano mkuu, jee wajumbe wangapi watakuwa wanaamini hivyo?
Sikiliza mpaka mwisho uelewe hofu yangu please!
Kwa hili Lisssu amepotea sana, kama ulisoma gazeti la mwananchi la juzi limeandika story hizo za msigwa kufadhili harakati za LissuMkuu na hilo aliongelee,si anajua wewe ni timamu,inahitaji akili ya kawaida tu kujua haiwezekani Msigwa amchukulie Lissu ukumbi,Msigwa bado hajapata hata chaka la hela CCM,atatoa hela wapi?
Kwa kuwa mligharimia haiwezekani Msigwa nae kuchangia? Kama liliwekwa wazi mtandaoni tuwekeeni link ili na sisi tuone. Hii nchi imani kwa mwanasiasa yeyote imepungua sana hivyo mnapaswa ku counter allegations zozote zenye nia ya kumchafua mtu wenu. Mimi nilikataa kabisa kuwa Halima na wenzake wanaweza fanya waliofanya na sasa wako wapi! Sitaki kuamini kuwa Lissu anaweza kuwa kama wao lakini ninahitaji assurance kuwa sivyo. Simuamini Msigwa lakini ukiumwa na nyoka....Acha kukurupuka tuligharamia Press wengi ni sisi Diaspora chini ya Liberatus
ACHENI kuokoteza maneno na hili liliwekwa wazi mitandaoni
Msigwa kumfadhili LISSU lipo wazi, wala halifichikiMbona ni wazi tu kuwa hiyo ni propaganda, uongo, uzushi wa chawa Msigwa, kama kweli kasema.
Machawa huwa hawaaminiki kamwe.
Huwa wanabwabwaja mambo mazito kuliko hilo na wanapuuzwa kama kawaida, wala usipate shida
Ukisoma gazeti la mwananchi liliandika mchango wa Msigwa ktk harakati za LissuKwa kuwa mligharimia haiwezekani Msigwa nae kuchangia? Kama liliwekwa wazi mtandaoni tuwekeeni link ili na sisi tuone. Hii nchi imani kwa mwanasiasa yeyote imepungua sana hivyo mnapaswa ku counter allegations zozote zenye nia ya kumchafua mtu wenu. Mimi nilikataa kabisa kuwa Halima na wenzake wanaweza fanya waliofanya na sasa wako wapi! Sitaki kuamini kuwa Lissu anaweza kuwa kama wao lakini ninahitaji assurance kuwa sivyo. Simuamini Msigwa lakini ukiumwa na nyoka....
Amandla...
Uzushi huo,Msigwa kumfadhili LISSU lipo wazi, wala halifichiki
Gazeti la juzi la mwananchiUzushi huo,
Leta ushahidi
Msigwa foundation kufadhili harakati za lissu lipo waziYeriko namjua mwanzo mwisho yule ni mtumishi wa CCM ndani ya chadema ndio maana nimekwambia
CCM wapo kazini sio kila mpinzani ni mpinzani na sio kila mpinzani ni CCM
Si kila kitu ni cha kukanusha, hawez jitokeza kukanusha tetesiMimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
Subiri wiki inayokuja kuna gazeti litatoa miala yote ya lissu kutoka kwa msigwa foundationSi kila kitu ni cha kukanusha, hawez jitokeza kukanusha tetesi
Ni bad move for publick figure
Watu wagumu kuelewa mkuu.Lakini nikujuavyo humu JF hauna akili that much low! Nani kaongelea kumchafua mtu kugombea uenyekiti? Ukiangalia kwa jicho la tatu ungejua kuwa hapo napambania Lissu asichafuliwe kwa kauli za kumhusisha na Msigwa kuandaa press yake? Anahusikaje kuandaa wakati yule ni mwana ccm tena mtoa matusi kwa chama? Atampendaje Lissu huku anakichukia chama?
Ndio nikashauri Lissu aji weke wazi kujitofautisha na Msigwa ili tuzipate kura za kumfanya mwenyekiti.
Nadhani utakuwa umeisikiliza clip ya mahojiano ya Yericko nimeiambatanisha kwenye post moja hapo juu, haina afya isipojibiwa!
Shida hapa JF tunadhani tunaweza kumpa ushindi Lissu au yeyote kwa vile tunamuelewa na tunaelewa propaganda za watu wengine, wakati sisi sio wajumbe wa mkutano mkuu na wao wanaelewa vingine.
Walishatoa miamala yoyote ya kiongozi wa upinzani before?Subiri wiki inayokuja kuna gazeti litatoa miala yote ya lissu kutoka kwa msigwa foundation
Hii ya project ya Msigwa kwa Lissu, msigwa ccm ndio maana itatokaWalishatoa miamala yoyote ya kiongozi wa upinzani before?
Watu wagumu kuelewa mkuu.