Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu....
Ushasema stahiki zake, au hujui maana ya stahiki ndugu yangu....apo kafuata sheria tu ambapo sidhani kama anastahili kusifiwa, kupongezwa au kunyenyekewa kwa hilo!
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Mzee ukitembelewa, then ndo unakuwa kipofu, au zezeta. Kwamba mtu akifanya kosa hapaswi kukuambia kuwa umekosea
 
jee, kumtembelea mgonjwa ni jambo jema ata kwa mungu,, lakini halihitaji malipo yeyote kutoka kwa mgonjwa, kwa sababu pamoja na hayoo maneno makali aliyoyatumia tundu lissu kwa raisi kiukweli yanakera ingawaje hayamzuii tundu lissu kwenda kumjulia hali mama raisi pale atakapokuwa anaumwa....
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Inavyoonekana wewe mtoa mada mtu anaweza kukupa chakula halafu akakushika tako na hutaleta noma yeyote kwasababu anakufadhili chakula,kwahiyo unataka Lissu akae kimya kisa mama alisimamia akalipwa haki yake?,mm ninachompendea bwana Lissu sio mnafiki
 
Hata mimi nimelizima! Hili jamaa ndilo linataka liwe Rais? Kiufupi Lissu ni punguani aliyesoma! Litakuwa lina malezi mabaya! Hata kama Rais amekosea huwezi kutukana kiasi hicho bwana! Wakilimiminia zingine sitashangaa!
Hujitambui[emoji706],ukiambiwa uonyeshe matusi kwenye matamshi ya Lissu unaweza kuonyesha?
 
Tulia wewe! Nimesema Lissu hajatumia busara kumtukana Rais! Kulikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe wala si kwa matusi kama alivyofanya! Unaweza kuwa na akili nyingi lakini ukakosa hekima! Lissu amekosa hekima!
Unaoneka ni mtu mzima lkn akili kisoda,kumbe hata wajinga huwa wanazeeka
 
Kwanza hakuna nchi iliyouzwa bali kuna mkataba wenye vipengere vya HOVYO. Kwa binadamu mwenye akili sawa ambaye ametendewa MEMA na Samia kama alivyotendewa Lissu angechagua lugha ya kutumia.
Ukinunuliwa vibia viwili vitatu ruksa kukushika tako sio
 
Mzee ukitembelewa, then ndo unakuwa kipofu, au zezeta. Kwamba mtu akifanya kosa hapaswi kukuambia kuwa umekosea
Kwani wewe siyo zezeta? Mtu gani hana mshipa wa kupima maneno gani atumie? Ndiyo maana atatembea upandeupande kwa maisha yake yote yaliyobakia
 
Inavyoonekana wewe mtoa mada mtu anaweza kukupa chakula halafu akakushika tako na hutaleta noma yeyote kwasababu anakufadhili chakula,kwahiyo unataka Lissu akae kimya kisa mama alisimamia akalipwa haki yake?,mm ninachompendea bwana Lissu sio mnafiki
Wewe atlas copco kumbe unachezewa matako na wanaume?
 
Mbona Magufuli hakumlipa sasa?
This is pointless logical non sequitur.

Point ni kwamba Lissu amelipwa haki yake, hakufanyiwa favor.

Magufuli alikuwa mshenzi wahedi, hivyo hatushangai hakumlipa.
 
Wewe atlas copco kumbe unachezewa matako na wanaume?
Nakushangaa wewe kisa mh rais wakati akiwa makamu wa rais kumtembelea Lissu akiwa hospital basi hatakiwi kukosolewa?, ndio tunarudi Kule kule kumbe ukipewa chakula basi nina uhuru wa kukushika hata tako
 
Samia alijiona mwema mbele ya chizi. Haya ni malipo sahihi ya wema wake. Mnafiki hula unafiki wake. Atukanwe tu.

..sasa mnamuita Lissu chizi, wakati huohuo hamtaki Samia aitwe majina mabaya!!
 
Kqa hiyo unataka Lissu akae kimya kulipa Fadhila.

Kwani fedha zake zilikuqa na haki yaje au msaada.

Na je ukitoa msaada kuna sharti la huyo unayemsaidia kuwa chawa wako?
 
This is pointless logical non sequitur.

Point ni kwamba Lissu amelipwa haki yake, hakufanyiwa favor.

Magufuli alikuwa mshenzi wahedi, hivyo hatushangai hakumlipa.
Kama una accept kuwa Magufuli alikuwa mshenzi wahedi sasa tunaelewana. Ukiwa binadamu mwenye akili sawasawa utamtendea tofauti MSHENZI WAHEDI dhidi ya muungwana. Na hapo ndipo nina shida na Lissu
 
Nakushangaa wewe kisa mh rais wakati akiwa makamu wa rais kumtembelea Lissu akiwa hospital basi hatakiwi kukosolewa?, ndio tunarudi Kule kule kumbe ukipewa chakula basi nina uhuru wa kukushika hata tako
Ni nani ameshika matako ya Lissu fo that matter?
 
Back
Top Bottom