Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Tukisema chadema akili yao bado ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko ni kutafuta contradiction ya lazima kwa alichoongea raisi wakati the message was clear.Context matters. Context ya ukosoaji kwa wakati huu ni Mkataba wa DP World. Rais anasema mmesikia wanatukosoa huku, kule kila mahali. Yeyote anayesikia ukosoaji anaelewa DP World inahusika.
Tunaelewa kuwa Rais hakumaanisha huo mkataba pekee, kwani Huwezi kuingiza watu serikalini kwa kigezo Kimoja tu cha ukosoaji wa mkataba mmoja mbovu kama huu wa DPworld.
Lakini ukosoaji wa kisiasa hauwezi kuwa namna bora ya kuingiza watu kwenye utumishi wa serikali. Siasa iachwe ichukue mkondo wake na mambo ya kitaalamu yaachwe yachukue njia yake.
Bado kuna faulty logic kwenye maelekezo ya Mh. Rais. Aambiwe tu kuwa yatafanyiwa kazi. Na hao akina Lissu nao waendelee kuyapinga kwa lugha kali kabisa yale mauchafu yanayoletwa kinyume na sheria za nchi.
hata wewe una tatizo la afya ya akili kama lissuMtu auze nchi halafu unataka achekewe chekewe?
Wewe mleta mada unaongea kitu gani?
Rais alitumia neno stupid!
Mbona hujaja hapa kumuanzishia mada?
issuesiyo kusema ukweli shida iko kwem=nye matusi aliyotukana hivi kweli mtu akuambie matope kichwani yaani amekudharau sana huyu anahitaji akachunguzwe na kichwani pengine ubongo umegeukia sehemu isiyo yakeHapo watanzania ndipo tunapokosea yani asiseme ukweli wa sababu alipata feva hiyo sio sawa ni ubinafsi uliovuka mipaka na ndio mana Mano mengi hayaendi kwa kuoneana aibu.
lissu yuko sahihi kabisa na ana baraka zake kutoka kwa Mungu juu Kwa sababu anafanya Kwa ajili ya Taifa la Tanzania bila kujali yeye alifanyiwa nini na nani.
Inakusaidia nini ukifuta au ukiziacha?Nafuta kauli zote nilizowahi kumtetea Tundu Lissu. Huyu ni mnyama tu na alistahili risasi zilizo mpindisha miguu, na haiwezi kunyooka tena
Hata wazazi walio kuzaa wakikosea una wajibu kuwakosoa, kukuelewa na kukubaliana nawe ni uchaguzi wao.Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Chongolo kahitimisha, swala la bandari ni la CCM ( kupata hela za uchaguzi ujao) , mjadala ufungwe...kinachotafutwa ni wakosoaji wote wa mkataba wa Dp wafunguliwe kesi na wafungwe.
..Ccm hawajishughulishi tena kujibu hoja kwenye majukwaa mbalimbali
Maana ya kumruhusu Lissu aongee huko majukwaani mpaka achoke ni pana sana. Kwamba wanaomsikiliza wanapima anachokiongea na kadri muda unavyopita anakosa kipya chenye kuvutia akili na masikio.Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Kutawala ni zaidi ya kuwasilisha hoja juu ya jukwaa kwenye mkutano wa hadhara.Ukali wa maneno ya Lissu ni dalili kuwa hawezi kuwa kiongozi wa watu. Hata angeshinda uRais 2020 sidhani kama angekuwa na muda wa kutawala.
Sasa umechukua hatua gani kumponya? Maoni yetu hayatakusaidia kitu kwani tayari umehitimisha mjadala.Mkuu ni maoni yangu tu mkuu, ila nimeona dalili zote za ugonjwa
Comte Babu yake alibahatika Kuwa Nyapara wa mwarabu enzi za ukoloni🤔Si vema kuchochea kuni Kwenye jambo lisilofurahisha na kukemewa na wengi
Jaribu kutulia!
Lisu anaumwa nini?Huhitaji kuwa daktari kujua Mh. Lissu ni mgonjwa
Taahira yule ni mtu aliyezowea kusema uongo na kupinduwa pinduwa maneno.Mh. Rais wakati anawapisha waziri na watendaji wa juu wa wizara ya uchumi, mipango, na uwekezaji liitoa maono yake anavyotaka tume ya mipango ifanye kazi; akashauri watendaji wasiogope kuchukua watu kutoka nje serikalini hata wale wanaopinga namna serikali inavyopanga na kutekeleza mipango yake ya uchumi.
Wale wa kusikia bila kusikiliza wakalibeba kana kwamba Rais Samia amesema wale wanapinga makubaliano ya bandari waite kwenye tume ya mipango- na Mh. Lissu akauita ushauri wa rais , matope au presidential rubbish.
View attachment 2692925
Mh. Lissu is sick and seriously sick
Wagonjwa wote wa akili, huwa hawakiri ni wagonjwa. Lakini hakika wewe ni mgonjwa.Sijawahi kupigwa risasi mkuu kwa hiyo nina akili timamu
Naona punguani mnapeana moyo. Mngeunda kabisa umoja wa mapunguani.Taahira yule ni mtu aliyezowea kusema uongo na kupinduwa pinduwa maneno.
Fanya tafiti kidogo, utaona kuwa kweli Tundi hamnazo, jisomee wataaalaam wanasema nini:Wagonjwa wote wa akili, huwa hawakiri ni wagonjwa. Lakini hakika wewe ni mgonjwa.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kusema kuwa yeye siyo mgonjwa wa akili eti kwa sababu hajawahi kupigwa risasi!! Hivi wale wagonjwa waliojazana Milembe Hospitali, walipigwa risasi? Hawa wagonjwa wanaobeba makopo na kula majalalani, wamepigwa risasi? Ndiyo maana tunasema wewe ni mgonjwa wa akili ambaye hujafikia critical stage, lakini unaenda huko taratibu.
RubbishHuwezi kutumia akili zako kisa Mh. Lissu kasema?! Mie natumia zangu, nilimskiliza rais wakati anasema, wala hakuwa ameongelea hata kidogo ujinga unaoendelea wa kupinga bandari kuboreshwa; ila kwa vile mnataka ligi hasa huyo Lissu. mnadhani alikuwa anaongelea bandari.
Cc Kassim MajaliwaTaahira yule ni mtu aliyezowea kusema uongo na kupinduwa pinduwa maneno.