Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Ukali wa maneno ya Lissu ni dalili kuwa hawezi kuwa kiongozi wa watu. Hata angeshinda uRais 2020 sidhani kama angekuwa na muda wa kutawala.
Acha ujinga. Nani kakudanganya rais hawezi kuongea pumba?

Kama marais wamefanya mambo mengi ya kipuuzi na kijinga, watashinfwaje kuongea upuuzi?
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Sasa kumtembelea Hospitali sijui kumtoa mahabusu ndo umpe uhalali wa kuuza mali za watanganyika wasimseme? Au alikuwa anatoa rushwa akijua akikosea asisemwe? Acha upumbavu wewe!
 
Acha ujinga. Nani kakudanganya rais hawezi kuongea pumba?

Kama marais wamefanya mambo mengi ya kipuuzi na kijinga, watashinfwaje kuongea upuuzi?
Nafuta kauli zote nilizowahi kumtetea Tundu Lissu. Huyu ni mnyama tu na alistahili risasi zilizo mpindisha miguu, na haiwezi kunyooka tena
 
Msikilize hapa
 
Mh. Rais wakati anawapisha waziri na watendaji wa juu wa wizara ya uchumi, mipango, na uwekezaji liitoa maono yake anavyotaka tume ya mipango ifanye kazi; akashauri watendaji wasiogope kuchukua watu kutoka nje serikalini hata wale wanaopinga namna serikali inavyopanga na kutekeleza mipango yake ya uchumi.

Wale wa kusikia bila kusikiliza wakalibeba kana kwamba Rais Samia amesema wale wanapinga makubaliano ya bandari waite kwenye tume ya mipango- na Mh. Lissu akauita ushauri wa rais , matope au presidential rubbish.

Mh. Lissu is sick and seriously sick
 
Mkuu la uteuzi umelitoa wap maana sijaliongelea hata?
Alisema wakosoaji wafanyiwe vetting wateuliwe au unadhani mi sikumsikia mkuu? maza angeitisha mjadala wa wazi kati ya wakosoaji na wasifiaji wajadili mkabata kwa hoja maana nina 98% maza hajasoma chochote ndani ya ule mkataba zaidi ya kuelezwa na kuonyeshwa sehemu ya kusaini. Hakuna mtu anakataa wawekezaji isipokuwa watu wanakosoa terms za mkataba ambazo hata yeye maza hajazisoma na hazijui.
 
Mkuu umesikiliza vizuri, Rais alikuwa anaongelea tume ya mipango na wako watu wengi wanatoa maoni yao juu ya namna serikali inavyopanga mipango yake. Waingizwe kwenye tume ya mipango.
 
Mh. Rais wakati anawapisha waziri na watendaji wa juu wa wizara ya uchumi, mipango, na uwekezaji liitoa maono yake anavyotaka tume ya mipango ifanye kazi; akashauri watendaji wasiogope kuchukua watu kutoka nje serikalini hata wale wanaopinga namna serikali inavyopanga na kutekeleza mipango yake ya uchumi.
Wale wa kusikia bila kusikiliza wakalibeba kana kwamba Rais Samia amesema wale wanapinga makubaliano ya bandari waite kwenye tume ya mipango- na Mh. Lissu akauita ushauri wa rais , matope au presidential rubbish.

Mh. Lissu is sick and seriously sick
IMG-20230719-WA0058.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom