shida ukishikiwa akili ndio unabaki hivyo hivyo, na hata hiyo akili unayojinasibu kuwa nayo huna, mimi sio shabiki wa lisu na napinga alichokisema ,ila ungetumia akili kidogo ungeelewa, naangalia uzito wa neno na kuoanisha uzito wa jambo kwa jamii, hapo ndio kazi ya kurugenzi ya rais ifanye kazi.
kwa mfano rais kasema muda mwingi umepita na upotoshaji umekuwepo nani asemee tafsiri, ni wewe au tudhani? lakini kuna watu wanalipwa kwa shughuli hiyo, ya kutoa tafsiri sahihi ya nini kilichoongelewa. kwa hiyo kuja hapa na kuongea kitu ambacho hakijatolewa ufafanuzi, wewe na lisu hamna tofauti kwa sababu mko kwenye dalasa moja na mwalimu wenu kashasema na uwelewa wenu ni tofauti. kwa hiyo kujifanya wewe umemwelewa zaid samia kuliko lisu ni tafsiri ambayo kurugenzi ya ikulu ilitakiwa iieleze mkuu.
baki na akili zako zuhura