Mzee ukitembelewa, then ndo unakuwa kipofu, au zezeta. Kwamba mtu akifanya kosa hapaswi kukuambia kuwa umekoseaNina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Inavyoonekana wewe mtoa mada mtu anaweza kukupa chakula halafu akakushika tako na hutaleta noma yeyote kwasababu anakufadhili chakula,kwahiyo unataka Lissu akae kimya kisa mama alisimamia akalipwa haki yake?,mm ninachompendea bwana Lissu sio mnafikiNina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Wanafiki haoNyinyi ndiyo manaoitwa wachumia tumbo ,walambisha asali ,kwahiyo kulipwa kwa stahili zake lissu ni hisani? Nyinyi ndiyo mkishapata pakula mnakaa kimya mnaacha maovu yanatendeka.
Hujitambui[emoji706],ukiambiwa uonyeshe matusi kwenye matamshi ya Lissu unaweza kuonyesha?Hata mimi nimelizima! Hili jamaa ndilo linataka liwe Rais? Kiufupi Lissu ni punguani aliyesoma! Litakuwa lina malezi mabaya! Hata kama Rais amekosea huwezi kutukana kiasi hicho bwana! Wakilimiminia zingine sitashangaa!
Huyu bibie nina muda saana sijamuona hapa jukwaani lkn huwa ana like comment za wanaSky Eclat yupo kimya suala la bandari nini kimemkuta
Unaoneka ni mtu mzima lkn akili kisoda,kumbe hata wajinga huwa wanazeekaTulia wewe! Nimesema Lissu hajatumia busara kumtukana Rais! Kulikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe wala si kwa matusi kama alivyofanya! Unaweza kuwa na akili nyingi lakini ukakosa hekima! Lissu amekosa hekima!
Ukinunuliwa vibia viwili vitatu ruksa kukushika tako sioKwanza hakuna nchi iliyouzwa bali kuna mkataba wenye vipengere vya HOVYO. Kwa binadamu mwenye akili sawa ambaye ametendewa MEMA na Samia kama alivyotendewa Lissu angechagua lugha ya kutumia.
Kwani wewe siyo zezeta? Mtu gani hana mshipa wa kupima maneno gani atumie? Ndiyo maana atatembea upandeupande kwa maisha yake yote yaliyobakiaMzee ukitembelewa, then ndo unakuwa kipofu, au zezeta. Kwamba mtu akifanya kosa hapaswi kukuambia kuwa umekosea
Wewe atlas copco kumbe unachezewa matako na wanaume?Inavyoonekana wewe mtoa mada mtu anaweza kukupa chakula halafu akakushika tako na hutaleta noma yeyote kwasababu anakufadhili chakula,kwahiyo unataka Lissu akae kimya kisa mama alisimamia akalipwa haki yake?,mm ninachompendea bwana Lissu sio mnafiki
This is pointless logical non sequitur.Mbona Magufuli hakumlipa sasa?
Nakushangaa wewe kisa mh rais wakati akiwa makamu wa rais kumtembelea Lissu akiwa hospital basi hatakiwi kukosolewa?, ndio tunarudi Kule kule kumbe ukipewa chakula basi nina uhuru wa kukushika hata takoWewe atlas copco kumbe unachezewa matako na wanaume?
Samia alijiona mwema mbele ya chizi. Haya ni malipo sahihi ya wema wake. Mnafiki hula unafiki wake. Atukanwe tu.
Kama una accept kuwa Magufuli alikuwa mshenzi wahedi sasa tunaelewana. Ukiwa binadamu mwenye akili sawasawa utamtendea tofauti MSHENZI WAHEDI dhidi ya muungwana. Na hapo ndipo nina shida na LissuThis is pointless logical non sequitur.
Point ni kwamba Lissu amelipwa haki yake, hakufanyiwa favor.
Magufuli alikuwa mshenzi wahedi, hivyo hatushangai hakumlipa.
Ni nani ameshika matako ya Lissu fo that matter?Nakushangaa wewe kisa mh rais wakati akiwa makamu wa rais kumtembelea Lissu akiwa hospital basi hatakiwi kukosolewa?, ndio tunarudi Kule kule kumbe ukipewa chakula basi nina uhuru wa kukushika hata tako
Sasa km wameshupaza shingo tufanyeje?Tunakubali kuhoji lakini siyo kwa lugha ile ya kifedhuli. Sisi wenyewe wananchi ndiyo tunawaharibu viongozi wetu hadi wanaamua kubana uhuru wa maoni