Ukali wa maneno ya Lissu ni dalili kuwa hawezi kuwa kiongozi wa watu. Hata angeshinda uRais 2020 sidhani kama angekuwa na muda wa kutawala.
Watu wengi including wewe mnakosoa na mnaeleweka pia. Ila Lissu amepindishwa ubongo na marisasi..mkataba wa Tz na Dp sio wa kifedhuli?
..kama sio wa kifedhuli kwanini serikali imelazimika kupeleka mswada wa kubadilisha sheria zetu ili kuwezesha mkataba na Dp kutekelezeka?
..Je, walioandaa na waliopitisha mkataba wa kifedhuli wanastahili kuitwa jina gani na wananchi?
..Je, hawastahili lawama na kukosolewa kwa mkataba walioingia?
..Je, walioingia mkataba mbovu wana haki ya kuwapangia wananchi kauli na namna ya kuukosoa mkataba mbovu na wakifedhuli walioingia?
Muungwana nani sasa?Kama una accept kuwa Magufuli alikuwa mshenzi wahedi sasa tunaelewana. Ukiwa binadamu mwenye akili sawasawa utamtendea tofauti MSHENZI WAHEDI dhidi ya muungwana. Na hapo ndipo nina shida na Lissu
Huihui umekuaje kwan? Naona kama haupo saw mkuu!!Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Hawa kina Huihui ni baadhi ya Watanzania ambao wanaweza kutiwa vidole matakoni, halafu wakacheka kwa furaha na kusema "Nafurahi kwa sababu nimetiwa vidole matakoni tu, sijabakwa".Huihui umekuaje kwan? Naona kama haupo saw mkuu!!
Watu wengi including wewe mnakosoa na mnaeleweka pia. Ila Lissu amepindishwa ubongo na marisasi
Watu wengi including wewe mnakosoa na mnaeleweka pia. Ila Lissu amepindishwa ubongo na marisasi
Mkuu,..pia mkataba ni mbaya mno kiasi kwamba inahitaji utumie nguvu kubwa sana kuukosoa na kuwakosoa waliohusika bila kutumia maneno makali au lugha ngumu.
..kinachopelekea Ssh kusemwa vibaya, " kutukanwa, " au "kudhalilishwa,"ni ubaya na ubovu wa mkataba ulioko mezani, na sio ukorofi wa wanaomkosoa.
..binafsi namshauri Ssh aurekebishe mkataba wa Dp tuone kama hatasifiwa kwa nguvu zilezile au zaidi ya zilizotumika kumkosoa.
Cc Nguruvi3
Unataka kutuambia aliyafanya hayo ili ije kuwa kinga ya kutokosolwa!Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Jinyonge sasaWatu wengi including wewe mnakosoa na mnaeleweka pia. Ila Lissu amepindishwa ubongo na marisasi
Mimi kuandika "maandishi yako ni matope" ni sawa na kuandika/kusema wewe ni matope"!!!???Kwanza hakuna nchi iliyouzwa bali kuna mkataba wenye vipengere vya HOVYO. Kwa binadamu mwenye akili sawa ambaye ametendewa MEMA na Samia kama alivyotendewa Lissu angechagua lugha ya kutumia.
Threads za kumkosoa Samia zipo hata mimi nimeweka pale kwenye post #1 nyuzi 2...nadhani tu-focus kwa Ssh.
..yeye ndiye aliyeko madarakani.
..Ssh ndiye anayewajibika kurekebisha mkataba wa Dp na kuleta mkataba wenye maslahi na nchi.
..malalamiko kwamba Ssh ametukanwa, ni janja-janja ya kukwepa kutimiza wajibu wake.
Amesema "kauli" zake na si yeye.Mkuu mbona wewe unaandika vizuri na tunaelewa!! Lakini huyu jamaa anamwita Rais ni akili au matope?? Sidhani hata kama familia yake inakubaliana kwenye hili
Wote tuko kwenye hoja hii na ndiyo tunaishi nayo...pia mkataba ni mbaya mno kiasi kwamba inahitaji utumie nguvu kubwa sana kuukosoa na kuwakosoa waliohusika bila kutumia maneno makali au lugha ngumu.
..kinachopelekea Ssh kusemwa vibaya, " kutukanwa, " au "kudhalilishwa,"ni ubaya na ubovu wa mkataba ulioko mezani, na sio ukorofi wa wanaomkosoa.
..binafsi namshauri Ssh aurekebishe mkataba wa Dp tuone kama hatasifiwa kwa nguvu zilezile au zaidi ya zilizotumika kumkosoa.
Cc Nguruvi3
Frankly, tatizo letu si kwamba kuna watu wana kauli kali dhidi ya rais.Threads za kumkosoa Samia zipo hata mimi nimeweka pale kwenye post #1 nyuzi 2.
Hii thread ili focus kwenye kauli za lugha ya high tension ya Lissu. Usimu exonerate Lissu kwenye huu ufedhuli
Hizo staha zenu mara nyingi ni ujinga tu.Nimekerwa na kauli za Tundu Lissu ambazo hazina staha wala shukrani. Binadamu wa kawaida mwenye akili sawa sawa hawezi kuongea kauli zile kwa Rais Samia kwa mema aliyomtendea