Bado Samia ni muungwana. You can talk any shut you want on her, but she remains an honest, righteous and God fearing presidentMuungwana nani sasa?
Samia? Huyo aliyesema askari wa CCM hawakosei kupiga risasi, wangemuua Lissu?
Huyo aliyesema watu wakimpigia kura au wasipompigia kura yeye hajali, kwa sababu ana uhakika wa kushinda?
Huyo anayesaini mikataba kama mtu asiyejua kusoma?
Shukrani ya kitu Gani? Those were and still are his rightsMkuu sijapingana na kukosoa mkataba, bali ni ukali wa maneno ya Lissu. Jamaa hama mshipa wa aibu wala chembe ya shukrani
This logical fallacy is called logical non sequitur.Mwerevu zilimpeleka wapi? Si huyo anatembea kama John Fedha au Chiba!! Na hiyo ni mpaka mwisho wa uhai wake
Yes kauli zake ni matope, siyo kuwa yeye ndiye matopeMkuu mbona wewe unaandika vizuri na tunaelewa!! Lakini huyu jamaa anamwita Rais ni akili au matope?? Sidhani hata kama familia yake inakubaliana kwenye hili
Samia huyu aliyesaini mkataba na DPW kwa siri ndiye honest na righteous?Bado Samia ni muungwana. You can talk any shut you want on her, but she remains an honest, righteous and God fearing president
Mambo ya kumtembelea na ela za kumlipa stahiki zake hakutoa mfukoni mwake.Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Ule ni wajibu wa kiongozi kuonesha good will, usifanye kama vile Tundu Lissu alifanyiwa upendeleo kwenda kuangaliwa hospitali.Samia alifanya yale kama binadamu. Ila waswahili walisema "Tenda wema uwende zako, usingoje shukrani"
Na huyu aliyetendewa wema ni PUNDA tu
Sawa lakini Lissu si anatakiwa awe na staha basi katika kumkosoa Mama.Ule ni wajibu wa kiongozi kuonesha good will, usifanye kama vile Tundu Lissu alifanyiwa upendeleo kwenda kuangaliwa hospitali.
Tundu Lissu hakufanyiwa upendeleo kwenda kuangaliwa hospitali, na Samia asingeenda hilo lisingempunguzia lolote Tundu Lissu.
Unafanya kama vile Samia alikuwa na kifuko pekee cha dawa ambazo zimemponya Tundu Lissu, na bila Samia kumpa hicho kifuko, Tundu Lissu angefariki.
Samia hakuwa na umuhimu huo unaompa.
Hapana,Sawa lakini Lissu si anatakiwa awe na staha basi katika kumkosoa Mama.
Akosoe Sawa... Ila akumbuke hata punje ya weka basi....
Hutaja kataaa kukosolewa Ila staha Kaka..
Imagine Kiranga wewe MTU anasema mawazo yako ni rubbish??
Mkuu kunywa wine ntalipaFrankly, tatizo letu si kwamba kuna watu wana kauli kali dhidi ya rais.
Tatizo ketu ni kwamba hatuna watu hao wa kutosha.
Tunahitaji watu wengi zaidi watoe kauli kali zaidi dhidi ya rais.
Tunahitaji ku normalize hili.
Hizi staha staha za kijinga ni tatizo, ndiyo zinafanya watu waende ki kondoo kondoo na viongozi wajione wanaweza kufanya lolote.
Shukrani haiombwiNimekerwa na kauli za Tundu Lissu ambazo hazina staha wala shukrani. Binadamu wa kawaida mwenye akili sawa sawa hawezi kuongea kauli zile kwa Rais Samia kwa mema aliyomtendea
Pesa haikuwa ya Samia ni ya walipa kodi we kiaziSamia alifanya yale kama binadamu. Ila waswahili walisema "Tenda wema uwende zako, usingoje shukrani"
Na huyu aliyetendewa wema ni PUNDA tu
Mkuu na wewe unaona hili tatizo la kujifaragua na fake modesty na staha staha za kijinga pia?Mkuu kunywa wine ntalipa
Kumtembelea Lissu Hospitali siyo rushwa ya kumnyamazisha hata akafumbia macho mikataba ya aibu , kingine ni hiki , Stahiki alizolipwa Lissu haikuwa hisani ya mtu , ile ni halali yake kabisa .Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Kwanini hakuzipata wakati wa Magufuli?Kumtembelea Lissu Hospitali siyo rushwa ya kumnyamazisha hata akafumbia macho mikataba ya aibu , kingine ni hiki , Stahiki alizolipwa Lissu haikuwa hisani ya mtu , ile ni halali yake kabisa .
Swali lako ni la kijinga , hivi Magufuli unadhani alikuwa sawa yule ?Kwanini hakuzipata wakati wa Magufuli?