Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Muungwana nani sasa?

Samia? Huyo aliyesema askari wa CCM hawakosei kupiga risasi, wangemuua Lissu?

Huyo aliyesema watu wakimpigia kura au wasipompigia kura yeye hajali, kwa sababu ana uhakika wa kushinda?

Huyo anayesaini mikataba kama mtu asiyejua kusoma?
Bado Samia ni muungwana. You can talk any shut you want on her, but she remains an honest, righteous and God fearing president
 
Mkuu sijapingana na kukosoa mkataba, bali ni ukali wa maneno ya Lissu. Jamaa hama mshipa wa aibu wala chembe ya shukrani
Shukrani ya kitu Gani? Those were and still are his rights
 
Mkuu mbona wewe unaandika vizuri na tunaelewa!! Lakini huyu jamaa anamwita Rais ni akili au matope?? Sidhani hata kama familia yake inakubaliana kwenye hili
Yes kauli zake ni matope, siyo kuwa yeye ndiye matope
 
Mh: Lissu anajitambua vilivyo na ndiye mtetezi wa cc wanyonge, acheni uchawa wenu! Nchi hii inatuhusu hasa cc Watanganyika achana na hao wanaotaka kututumbukiza shimoni, stupid.
JamiiForums-1301178036.gif
 
Bado Samia ni muungwana. You can talk any shut you want on her, but she remains an honest, righteous and God fearing president
Samia huyu aliyesaini mkataba na DPW kwa siri ndiye honest na righteous?

Huyu aliyesema askari wa CCM wangemuua Tundu Lissu kwani hawakosi shabaha ndiye righteous?

Huyu aliyesema watu wakimpigia kura au wasipompigia kura atashinda tu uchaguzi ndiye God fearing?

What are you smoking?
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Mambo ya kumtembelea na ela za kumlipa stahiki zake hakutoa mfukoni mwake.
Nyie ndio majinga na machawa machache yanayoamini hata maendeleo haya yanafadhiliwa na mshahara wa raisi huyu wa kike.
Kuarque na mpumbavu ni fursa kwake kutumia uzoefu wake wa kijinga kukushusha na ikibidi kukudefeat uko ujingani alikokufikisha.
Tuepuke mabishano na hii mijitu michawa na mpumbafu
 
Samia alifanya yale kama binadamu. Ila waswahili walisema "Tenda wema uwende zako, usingoje shukrani"

Na huyu aliyetendewa wema ni PUNDA tu
Ule ni wajibu wa kiongozi kuonesha good will, usifanye kama vile Tundu Lissu alifanyiwa upendeleo kwenda kuangaliwa hospitali.

Tundu Lissu hakufanyiwa upendeleo kwenda kuangaliwa hospitali, na Samia asingeenda hilo lisingempunguzia lolote Tundu Lissu.

Unafanya kama vile Samia alikuwa na kifuko pekee cha dawa ambazo zimemponya Tundu Lissu, na bila Samia kumpa hicho kifuko, Tundu Lissu angefariki.

Samia hakuwa na umuhimu huo unaompa.
 
Sawa lakini Lissu si anatakiwa awe na staha basi katika kumkosoa Mama.

Akosoe Sawa... Ila akumbuke hata punje ya weka basi....

Hutaja kataaa kukosolewa Ila staha Kaka..

Imagine Kiranga wewe MTU anasema mawazo yako ni rubbish??
 
Hapana,

Samia kakosa kujistahi mwenyewe kwanza, hivyo, akivunjiwa staha ni sawa tu.

Kumstahi mtu asiyejistahi ni kosa.

Tatizo letu Watanzania wengi tunaendekeza sana staha, hata kwa mtu asiyejistahi.

Mtu akisaini mikataba kijinga, unamuita tu huyu mjinga, ukimstahi na kurembaremba hata yeye mwenyewe utakuwa humtendei haki ya kumjulisha kwamba ni mjinga apate nafasi kujiongeza.
 
Frankly, tatizo letu si kwamba kuna watu wana kauli kali dhidi ya rais.

Tatizo ketu ni kwamba hatuna watu hao wa kutosha.

Tunahitaji watu wengi zaidi watoe kauli kali zaidi dhidi ya rais.

Tunahitaji ku normalize hili.

Hizi staha staha za kijinga ni tatizo, ndiyo zinafanya watu waende ki kondoo kondoo na viongozi wajione wanaweza kufanya lolote.
Mkuu kunywa wine ntalipa
 
Nimekerwa na kauli za Tundu Lissu ambazo hazina staha wala shukrani. Binadamu wa kawaida mwenye akili sawa sawa hawezi kuongea kauli zile kwa Rais Samia kwa mema aliyomtendea
Shukrani haiombwi
 
Mkuu kunywa wine ntalipa
Mkuu na wewe unaona hili tatizo la kujifaragua na fake modesty na staha staha za kijinga pia?

Rais akiharibu unampa za uso tu, staha anapewa mtu anayejistahi.

Mtu rais mzima anasaini mikataba kama hajui kusoma, unamstahi ili iweje?

Unamchana kisawasawa tu.
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Kumtembelea Lissu Hospitali siyo rushwa ya kumnyamazisha hata akafumbia macho mikataba ya aibu , kingine ni hiki , Stahiki alizolipwa Lissu haikuwa hisani ya mtu , ile ni halali yake kabisa .
 
Kumtembelea Lissu Hospitali siyo rushwa ya kumnyamazisha hata akafumbia macho mikataba ya aibu , kingine ni hiki , Stahiki alizolipwa Lissu haikuwa hisani ya mtu , ile ni halali yake kabisa .
Kwanini hakuzipata wakati wa Magufuli?
 
Back
Top Bottom