Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

Hizi ndio sababu japo ‘oral agreements’ zina nguvu za kisheria lakini ni ngumu kuthibitisha mahakamani.

‘A’ anaweza kuongelea mto, ‘B’ akatafsiri maporomoko.

Raisi alikuwa anaongelea kuweka critics kama sehemu ya civil servants (full-time employees) kwenye wizara ya mipango wasaidie kwenye maswala ya kuandaa na kushauri government policy strategies maana kuna mijitu kazi yao kukosoa tu.

Hakuna sehemu kazungumzia maswala ya tume inayohusu mambo ya bandari. Mpaka mtu unashangaa ukisoma tafsiri za mitandaoni, jamani si ata context yenyewe ilikuwa kuhusu wizara mpya akasema kabisa na jina Mafuru lifanyie kazi hilo ndani ya wizara na ukiona watu sahihi peleka majina wafanyiwe vetting.

Sasa sijui wengine wametoa wapi tafsiri zao. Mtu unabaki unajiuliza shida ni lack of ‘listening skills’ au ‘upotoshaji’ ni tatizo kiasi kikubwa hivyo; on this one I think it’s the former.

Tanzania kuna watu wengi sana wana ‘bias listening’ mizizi yake ni permeated social culture ya majungu, wivu na jamii ya watu waongo waongo; mpaka imekuwa tabia inayokubalika ndani ya jamii.
 
CHADEMA kama wanataka kura zetu wasituletee tena hii takataka! Tena namwomba mama akaze kabisa hakuna cha katiba mpya ili wajiondoe kwenye uchaguzi! Lissu anapiga upinzani wa Kenya shenzi kabisa!
Sasa wewe punguani wa namna hii, ndiyo wa kujilinganisha na Lisu! Lisu ana akili, na siku zote huwezi kumshinda mtu anayetumia akili kwa kutumia nguvu.

Ungekuwa una uwezo wa kumfikia Rais Samia, ungemwuliza akuambie alikutana na nini alipotaka kusimama katika udikteta.

Kumshinda Lisu and the like, ni lazima utumie akili. Tambua kuwa ng'ombe pamoja na uzito wake wa zaidi ya kilo 500, anachinjwa na mwanadamu ambaye uzito wake haufikii hata kilo 100. Sababu ni moja tu, mwanadamu anatumia akili lakini ng'ombe anatumia akili.
 
Mama anatia huruma nyie atakuwa anaumia tuu na kujisemea labda kwakuwa nachuchumaa ndio maana wananionea
Marehemu Magufuli alikuwa mwanaume, lakini alisemwa kila kona. Samia hasemwi kwa sababu yeye ni mwanamke bali kwa sababu ya kile alichokifanya. Yaani kutumika na waarabu kuzipora rasilimali za Tanzania kupitia mikataba ya hovyo. Tunawataka sana wawekezaji toka Duniani kote, lakini wawekezaji wenye dhamira njema. Wawekezaji wanaotambua kuwa hili ni Taifa lenye uhuru kamili.
 
Sasa kama ni matope asiseme?! Tujiondoe kwenye huu mkataba mapema, ili fidia kwenye kesi watayofungua Afrika kusini isiwe kubwa sana, tukichelewa tutapigwa faini kubwa huko South Africa!! Tuwahi sasa!!!!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Akili yako ndogo imeshindwa hata kung'amua alichokusudia Mamdenyi.
Tulia wewe! Nimesema Lissu hajatumia busara kumtukana Rais! Kulikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe wala si kwa matusi kama alivyofanya! Unaweza kuwa na akili nyingi lakini ukakosa hekima! Lissu amekosa hekima!
 
Hiyo ni presidential rubbish!!

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Tuwe makini. Taarifa niliyoipata ni kwamba hiyo video clip siyo ya Lisu bali mleta mada ameitengeneza kwa nia ovu.

Mods fuatilieni, mleta mada akithibitika kuutenda uovu huo, aadhibiwe vikali kwa kadiri ya miongozo ya jukwaa.
 
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-

(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:

(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World

Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.

Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu

View attachment 2692011
Kwani ni hisani au ni haki yake
 
Mbona mnaanza kuikana tena? Si mlikuwa mnamsifia? Endeleeni tu kumpaka matope huyo ndugu yenu!
 
Back
Top Bottom