Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Nakumbuka campaign za Lowassa, watu walianza kujaza jamgwani siku 2 kabla ya siku ya campaign, watu usiku wapo viwanjani watu zaidi ya buku

Dah Lowassa alikua sumaku, huyu Lissu sijui ana mkosi gani, umma haumtaki kudadeq
Siyo mikosi ameshindwa kusoma alama za nyakati!
 
Saccos mbona mnapenda kuwa watabiri aka sheikh Yahyavbadala ya kuacha mambo yafuate mkondo wake
 
Siyo mikosi ameshindwa kusoma alama za nyakati!
Lakini waliambiwa uchaguzi huu haki bin haki 10% hawatoboi, zile costar zilizosomba watu kila pembe ya nchi ile siku anakuja airport haikusaidia kubadili misimamo ya watu.
 
Daaaah yani mwaka huu mwamko sifuri kabisa.. Kama vile hakuna uchaguzi yani..

CDM mkutano sijui umewadodea sioni nyomi kabisa
 
Mtu anaweza niambia babu Duni yuko wapi?
 
Endelea kuwashwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamwambia nini mwananchi aliyefikiwa na huduma zote za Jamii zilizoboreshwa kwa kipindi kifupi namna hii? Ongea kuhusu maji, umeme, afya, miundombinu, utawala bora, usalama nk

Hakuna mtanzania unaweza kumtapeli kwa propaganda nyepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…