Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Ni kweli atasima kitakuwa kimbunga kwa kibaraka wa mabeberu (kundi la "wajomba" ambao hutumia chaguzi katika nchi zinazoendelea kuweka vibaraka wao waruhusu ziwe shamba la bibj). Mmoja wao ni Joseph Paul Trip
Jiandae kisaikolojia maana Lissu ndiye rais wako wa awamu ya 6
 
Lissu ndiye rais wako wa awamu ya 6, hutaki rudi kwenu buyenzi
Ni hoja au sera gani zinazompa uhalali huo?

Wewe na wenzako wa Baraza kuu CDM ndo mtakaompa kura zenu maana ni makapi ya siasa
 
Watanzania tumechoka kuburuzwa.rais ni Tundu Lissu hutaki Hama nchii
Hata wasanii tuna rais wetu.

Msituchoshe na siasa zenu za marede.

CCM baba lao. Mpaka sasa mnaikubali kwenye nafsi zenu
 
Ni hoja au sera gani zinazompa uhalali huo?

Wewe na wenzako wa Baraza kuu CDM ndo mtakaompa kura zenu maana ni makapi ya siasa
Watanzania ndiyo wamesha amua kuwa lissu ndiyo chaguo lao
 
Ni hoja au sera gani zinazompa uhalali huo?

Wewe na wenzako wa Baraza kuu CDM ndo mtakaompa kura zenu maana ni makapi ya siasa
Hutaki kunywa kimpumu upunguze maumivu
 
#NIYEYE #LISSURAIS2020
✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
lissu hutashida kama tume ya uchaguzi ni hii hii ya kuengua engua na kwambia never ever we need changes thank me later..
 
Watanzania tumechoka kuburuzwa.rais ni Tundu Lissu hutaki Hama nchii
Tunatukaniwa wamama/Shangazi zetu tumekaa kimya kama mazuzu hakuna wa kumshauri huko ccm?, this time hata kama atatoboa ila mbinu za kuchezesha kekundu keusi aziangalie vizuri ni kama Kiberiti zitatoa cheche!
 
Back
Top Bottom