Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Proved , asante nakala imenifikia na nimeisha anza kuifanyia kazi
Naunga mkono hoja, Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!Muungano siku zote ni serikali 1, haya mambo ya serikali 2 au 3 mliyaota wapi?!
Sasa ukweli kama huu utauficha wapi na ni nani huko CCM anaweza kuukanusha ukweli huu?Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Sasa huu tulionao ni Muungano kweli? Kwa lipi? Taja kipengele kimoja kinachokufanya uamini huu ni muunganolisu anacho kifanya ni kusambaza chuki zenye nia ovu nchini
mungano ni jambo jema na lakulindwa kwa hali na mali ikibidi nguvu itumike
kule kuchanyanya madongo ya bara na pwani tosha kabisaSasa huu tulionao ni Muungano kweli? Kwa lipi? Taja kipengele kimoja kinachokufanya uamini huu ni muungano
Alisema Nyerere alikuwa ni muongo muongo!! Lakin baadaye anamsifia Nyerere. Wanasiasa wanatafuta Kiki na umaarufu tu. Hakuna kitu.Mkuu alimtukanaje?
Rudi utakapokuwa na hoja.., tukichanganyaudongo wa Tanganyika na DRC inakuwa ni muungano sio?kule kuchanyanya madongo ya bara na pwani tosha kabisa
Nikweli kuwa hakuwahi kuwa muongo?Alisema Nyerere alikuwa ni muongo muongo!! Lakin baadaye anamsifia Nyerere. Wanasiasa wanatafuta Kiki na umaarufu tu. Hakuna kitu.
Nakala imefika
ikiwa ni kwa makubaliano ya kiapo cha kuungana ndio na huwezi kutenganishaRudi utakapokuwa na hoja.., tukichanganyaudongo wa Tanganyika na DRC inakuwa ni muungano sio?
Kuungana ni kwa udongo pekee? Nini maana ya muungano? Kipi kinachokifamya uamini Tanganyika imeungana na Zanzibar? Je kuna rais mmoja? Kuna jeshi moja? Kuna bunge moja? Au ni kipi?ikiwa ni kwa makubaliano ya kiapo cha kuungana ndio na huwezi kutenganisha
ni darasa pana sana nduguKuungana ni kwa udongo pekee? Nini maana ya muungano? Kipi kinachokifamya uamini Tanganyika imeungana na Zanzibar? Je kuna rais mmoja? Kuna jeshi moja? Kuna bunge moja? Au ni kipi?
Jibu hoja, kipi kinafanya Tanganyika iwe imeungana na Zanzibar? Wanajeshi moja? Wana rais moja? Wana bunge moja? Muungano ni umoja, umoja wetu upo kwenye kipengele kipi?!ni darasa pana sana ndugu
Yaap!! Ww unaweza kusema kuwa baba yako alikuwa muongo muongo!! Tujaribu kuheshimu watu waliotutangulia, au water wetu. Tukijifanya tunamjua kila kitu, mwisho wetu utakuwa, sio mzuri.Nikweli kuwa hakuwahi kuwa muongo?
Pia mtu akisema wewe ni muongo anakuwa amekutusi?
Zilipoungana nchi iliyozaliwa inaitwaje, na Rais wake ni yupi? Mfano Rais wa Tz ni Samiah, taja Rais wa ulaya.
Siyo tabia nzuri kwa mujibu wa mila zetu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli japo unauma,pia siyo sahihi ukweli kuuita tusi japo ni vizuri kuchagua ukweli wa kuusema hadharaniYaap!! Ww unaweza kusema kuwa baba yako alikuwa muongo muongo!! Tujaribu kuheshimu watu waliotutangulia, au water wetu. Tukijifanya tunamjua kila kitu, mwisho wetu utakuwa, sio mzuri.
Lakini inasemekana kwamba Hayati Maalim Seif ndiye aliyemsagia kunguni hayati Jumbe kwa hayati Nyerere kwamba ana mpango wa kuuvunja Muungano !Alifanya makosa sana kumwamini Nyoka Nyerere