dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Umeona paja?Sasa hapa kuna shida gani? Kumbe kutumia feni ni kuwa mgonjwa? Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona paja?Sasa hapa kuna shida gani? Kumbe kutumia feni ni kuwa mgonjwa? Hahahaha
Labda hukumsikia mwenyewe, umeambiwa tu. Mifupa yake ya mguu wa kulia na mkono wa kushoto vimerekebishwa sana sana baada ya kuvunjwa na ma risasi. Hiyo mifupa ndiyo inachunguzwa kila baada ya muda. Hata wewe unajua kuwa hilo halihusu swala la kupona. Amepona. Ni swala la kutafuta uwezekano wa kuboresha ufanyaji kazi wa viungo na mifupa ile. Bora alikwenda Ubelgiji maana huku kwetu pamoja na kupona angeishia kwenye wheelchair tu. Tuombe aendelee na Wabelgiji au Wabobezi wa mifupa wengine ili angalau akaribie kutembea kama zamani na mkono wake wa kushoto unyooke.baada ya kusema hadharani, Lisu amewathibitishia watanzania kuwa hali yake bado ni tete na hivyo anapaswa kurudi hospitali mara baada ya uchaguzi mkuu,
hii inatia shaka kuwa huenda akalazwa kwa muda mrefu zaidi kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa kwa baadhi ya wapiga kura wake kutokupoteza kura zao kwake na badala yake huenda kura za lisu zikarudi kwa Mgombea wa act.
Hivi Desemba 18 ni siku ngapi baada ya uchaguzi?Anatoroka mapeeeeeema. Andamaneni wenyeweView attachment 1610252
Ndugu kijana mpenda haki karibu Tumpe kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020.Sasa hapa kuna shida gani? Kumbe kutumia feni ni kuwa mgonjwa? Hahahaha
Anaenda nyumbani kwake harudi huyo, acha wajifurahishe kwa kampeni ila Mbowe anajua HAKUNA rais anayeitwa tundu.sasa akiondoka anarudii lini ...au ataondoka akishindwa uchaguzi ?
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/20
Ni kweli Rais Magufuli alitoa amri ya kupigwa Risasi?Mshenzi huyo amekuja kuvuruga taifa
Abakizwe hapa hapa apewe fundisho la uzalendo
Mwambie ampige sasa hivi kama hutaenda kumwokota mtaroni.Kama alipigwa risasi kwa amri ya Rais, huyo Rais anashindwa kumpiga sasa hivi mwambie huyo pimbi watanzania sio wajinga.
Huyu punguani sio wa kuchagua. Akiingia barabarani atenguliwe kiuno kabisa ili aende huko kwa Amsterdam salama. Mungu ibariki Tanzania.Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Franklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Laana isiyo sababu haimpati mtu, Magufuli alaaniwe kwa lipi?.Magufuli anajitafutia laana. Hana hoja kwa hili.
Stupid, huyu Jiwe umwenye vyma kwenye moyo?Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Kwa hiyo wewe huwa unatumia feni kila uendako? Hivi ukiwa ccm lazima uwe taahira?Sasa hapa kuna shida gani? Kumbe kutumia feni ni kuwa mgonjwa? Hahahaha
Vurugu mtazileta nyinyi ccm mkikataa kutoa ikulu kwa Lissu. Mkiachia madaraka kwa amani hakuna vurugu itakayotokea.lissu anaongea ujinga ambao baada ya uchaguzi atakuja kushindwa kutoa ushahidi mahakamani anauhakika gani kama rais ndiyo alitoaamriapigwe risasi?
hapo kwa aliyoyasema anatiketi ya kurudi ubergiji lissu ni mjanja sana anataka awatumie watu wenye akili ndogo waingie barabarani akishaona vurugu zimekorea anapanda ndege huyoooooooooo ulaya mnabaki nyie mnaacha filia zenu mwenzenu anakunywa bia na kutuma pcha whatsap huku akiwaangalia mnavyotaabka
kuweni na akili timamu msikubali kutumiwa na lissu
unajuwa lisuu siyo mgonjwa wa ulemavu si mgonjwa wa kiafya mwilini tatizo lake anajichetua dishi limeyumba au analiyumbisha makusudi siyo mgonjwa huyoFranklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,
Lakini ndio rais aliyefanikiwa sana katika utawala wa USA,
Na aliongoza zaidi ya vipindi viwili vya uongozi wananchi walimuongezea muda kutokana na ufanisi wake kwani alichukua nchi kipindi cha anguko kuu la kiuchumi duniani.
"ATA WALEMAVU WANAWEZA TUSIWABAGUE"
Shida ya kufikiri ndiyo hii. Nakuwekea cut and paste ujisomee mwenyewe.Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Franklin na yeye alikuwa shoga?Franklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,
Lakini ndio rais aliyefanikiwa sana katika utawala wa USA,
Na aliongoza zaidi ya vipindi viwili vya uongozi wananchi walimuongezea muda kutokana na ufanisi wake kwani alichukua nchi kipindi cha anguko kuu la kiuchumi duniani.
"ATA WALEMAVU WANAWEZA TUSIWABAGUE"
Sasa kumbe unaumwa halafu unataka Urais wa nn?Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143