Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

baada ya kusema hadharani, Lisu amewathibitishia watanzania kuwa hali yake bado ni tete na hivyo anapaswa kurudi hospitali mara baada ya uchaguzi mkuu,
hii inatia shaka kuwa huenda akalazwa kwa muda mrefu zaidi kuliko ilivyo kuwa hapo awali.
kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa kwa baadhi ya wapiga kura wake kutokupoteza kura zao kwake na badala yake huenda kura za lisu zikarudi kwa Mgombea wa act.
Labda hukumsikia mwenyewe, umeambiwa tu. Mifupa yake ya mguu wa kulia na mkono wa kushoto vimerekebishwa sana sana baada ya kuvunjwa na ma risasi. Hiyo mifupa ndiyo inachunguzwa kila baada ya muda. Hata wewe unajua kuwa hilo halihusu swala la kupona. Amepona. Ni swala la kutafuta uwezekano wa kuboresha ufanyaji kazi wa viungo na mifupa ile. Bora alikwenda Ubelgiji maana huku kwetu pamoja na kupona angeishia kwenye wheelchair tu. Tuombe aendelee na Wabelgiji au Wabobezi wa mifupa wengine ili angalau akaribie kutembea kama zamani na mkono wake wa kushoto unyooke.
 
lissu anaongea ujinga ambao baada ya uchaguzi atakuja kushindwa kutoa ushahidi mahakamani anauhakika gani kama rais ndiyo alitoaamriapigwe risasi?
hapo kwa aliyoyasema anatiketi ya kurudi ubergiji lissu ni mjanja sana anataka awatumie watu wenye akili ndogo waingie barabarani akishaona vurugu zimekorea anapanda ndege huyoooooooooo ulaya mnabaki nyie mnaacha filia zenu mwenzenu anakunywa bia na kutuma pcha whatsap huku akiwaangalia mnavyotaabka
kuweni na akili timamu msikubali kutumiwa na lissu
 
Sasa hapa kuna shida gani? Kumbe kutumia feni ni kuwa mgonjwa? Hahahaha
Ndugu kijana mpenda haki karibu Tumpe kura za ndio Tundu Lisu 28/10/2020.

Rais aisiye na ubaguzi na sifa kuu yake ni mkweli sio Kama uyu mwenyekiti wetu wa CCM mwongo afu hanaga kumbukumbu

Karibu sana Ruttashobolwa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/20

Mshenzi huyo amekuja kuvuruga taifa

Abakizwe hapa hapa apewe fundisho la uzalendo
Ni kweli Rais Magufuli alitoa amri ya kupigwa Risasi?
 
sasa akipata uraisi decemer ataenda au atakausha

democracy
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Huyu punguani sio wa kuchagua. Akiingia barabarani atenguliwe kiuno kabisa ili aende huko kwa Amsterdam salama. Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Franklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,

Lakini ndio rais aliyefanikiwa sana katika utawala wa USA,
Na aliongoza zaidi ya vipindi viwili vya uongozi wananchi walimuongezea muda kutokana na ufanisi wake kwani alichukua nchi kipindi cha anguko kuu la kiuchumi duniani.
"ATA WALEMAVU WANAWEZA TUSIWABAGUE"
 
Stupid, huyu Jiwe umwenye vyma kwenye moyo?
 
Ni kama Tumeingizwa chaka na NEC vile!! Je ikitokea amekuwa Raisi, na tarehe hiyo akaenda kumwona Dakitari wake na akamwambia Kwa Hali aliyonayo inabidi akae huko Kwa matibabu kwa miezi mitatu zaidi itakuweje majukumu yake ya Urais nchini
 
lissu anaongea ujinga ambao baada ya uchaguzi atakuja kushindwa kutoa ushahidi mahakamani anauhakika gani kama rais ndiyo alitoaamriapigwe risasi?
hapo kwa aliyoyasema anatiketi ya kurudi ubergiji lissu ni mjanja sana anataka awatumie watu wenye akili ndogo waingie barabarani akishaona vurugu zimekorea anapanda ndege huyoooooooooo ulaya mnabaki nyie mnaacha filia zenu mwenzenu anakunywa bia na kutuma pcha whatsap huku akiwaangalia mnavyotaabka
kuweni na akili timamu msikubali kutumiwa na lissu
Vurugu mtazileta nyinyi ccm mkikataa kutoa ikulu kwa Lissu. Mkiachia madaraka kwa amani hakuna vurugu itakayotokea.
 
Franklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,

Lakini ndio rais aliyefanikiwa sana katika utawala wa USA,
Na aliongoza zaidi ya vipindi viwili vya uongozi wananchi walimuongezea muda kutokana na ufanisi wake kwani alichukua nchi kipindi cha anguko kuu la kiuchumi duniani.
"ATA WALEMAVU WANAWEZA TUSIWABAGUE"
unajuwa lisuu siyo mgonjwa wa ulemavu si mgonjwa wa kiafya mwilini tatizo lake anajichetua dishi limeyumba au analiyumbisha makusudi siyo mgonjwa huyo
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Shida ya kufikiri ndiyo hii. Nakuwekea cut and paste ujisomee mwenyewe.

"Roosevelt won the 1932 presidential election in a landslide and became the first (and as of 2020 the only) physically disabled person to be President of the United States. Before he moved into the White House, ramps were added to make it wheelchair-friendly".
Paralytic illness of Franklin D. Roosevelt - Wikipedia

Mzee Maleccela alipotaka kugombea uraisi-walisema ni mzee yeye akasema "Uraisi si kubeba zege"
 
Franklin rosevelt aliyekua rais wa marekani alichukua nchi akiwa kwenye wheel chair alikua hawezi kutembeaa kabisa kwakua alikua amepooza,

Lakini ndio rais aliyefanikiwa sana katika utawala wa USA,
Na aliongoza zaidi ya vipindi viwili vya uongozi wananchi walimuongezea muda kutokana na ufanisi wake kwani alichukua nchi kipindi cha anguko kuu la kiuchumi duniani.
"ATA WALEMAVU WANAWEZA TUSIWABAGUE"
Franklin na yeye alikuwa shoga?
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
View attachment 1610143
Sasa kumbe unaumwa halafu unataka Urais wa nn?
 
Back
Top Bottom