Kichaa huyu!"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Basi kesho ingia barabaraniNdio.
Tena nimeshiba
Sure.Cha msingi awe anatangulia yeye mbele wengine tunafuata.
Hivi huyu kwa nn anamdharau mhe Rais kiasi hiki??"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Haya sasa kumekucha Mughwayi wa Ikungi kutoka ughaibuni yuko tayari kwa chochote kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sijui yenye kitu gani; akifanikiwa na wananchi wataingia hapohapo kufanya chochote kwa namna yoyote, wakati wowote, popote na mahali popote na kwa vyovyote..................breki zipo?"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara, tujiandae tutapata Katiba iwe kwa shari au kwa heri."
Mwambie aje mapema kabisa aseme atapita njia gani ili watoto wakiume wamalize kazi mapema hakianani saiv hawakoseiHaya sasa kumekucha Mughwayi wa Ikungi kutoka ughaibuni yuko tayari kwa chochote kushinikiza upatikanaji wa katiba mpya sijui yenye kitu gani; akifanikiwa na wananchi wataingia hapohapo kufanya chochote kwa namna yoyote, wakati wowote, popote na mahali popote na kwa vyovyote..................breki zipo?
Historia nyingine mpya anakuja kuiandika kwa kupenda au hapana......Duh kuna shida pahala.
SawaaBasi kesho ingia barabarani
Watu mna majibuMwenye shida nae alishapangiwa majukumu mengine
Hero ni Lisu,aliejitolea wewe si unashauli nifanye ibada ndio nilikujulisha anachokifanya Lisu ni moja ya idada, Upo Muft??Mkuu dunia ina wakazi bilioni 7....sijaletwa DUNIA kutetea wote wanaodhulumiwa....
Ila kama wewe ni "hero" sheikh wangu basi kila la kheri akhui.....
HERI YA MAJI NUSU GLASS YANAYOPATIKANA BILA "TUG OF WAR" KULIKO GLASS NZIMA!!
Chief lugha hiyo sio type yako, relax wasikutoe kwenye reli.
Mkuu hapo unakosea, yaliyopita si ndwele tugange yajayo.Mwambie aje mapema kabisa aseme atapita njia gani ili watoto wakiume wamalize kazi mapema hakianani saiv hawakosei
Aliyefufuka haogopi kifoDuuuh.....
Yaani anasema kabisa "IWE KWA SHARI...."
Maaaweeeee
Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....
Huyu jamaa huyu....
#KaziIendelee
Lofa ni wewe usiyetaka katiba mpyaHana jipya huyu lofa wa singinda,atakipata anachotafuta,wait and see