Lissu: Sheria na Tamaduni za kitanzania haziungi mkono mapenzi ya jinsia moja, mimi pia siungi mkono jambo hilo

 
Propaganda ya CCM imeumbuka hapa loh
 
Kipindi alivyofanya kikao na hao wazungu (EU) juzi alikuwa na ujasiri wa kusema kama alivyosema leo, manake EU wenyewe hilo nalo wanajumuisha kwenye haki za binadamu.

Manake kutwa tunawaona wana zurula yeye na mwenyekiti wake kwenye mabaraza ya EU kulialia ,hawajui hamna msaada wa bure lazima utaambatana na masharti.
 
Huyo shoga wako eti sasa anajificha. Subiri aulizwe na wazungu wake uone atakavyojibu.
Usitake ncheke. Imekuwa habari mbaya mno kwenu. Mmebakiza kipi sasa, madua ya kuku siyo? Basi acha tusubiri ahojiwe na wazungu. Hadi hapo ustaarabu ni kuufyata!
 
Mbona kigeugeu, kiongozi gani hajui anasimama wapi!?

Ule upuuzi wa siasa chafu mnaolishana huko CCM kuhusu Lisu dhidi ya ushoga naona umepoteza marks, sasa unalazimisha upuuzi wenu ndio uwe msimamo wa Lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…