DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Hatuna Budi kukubali wanafunzi wanaopata mimba warudi mashuleni kwa sababu fedha za elimu bure hazitokani na mapato yetu ya ndani au fedha zetu. Ndio Mana Zitto alipochokoza tu wakatishia mpaka kumuua! Hizi Ni fedha kutoka huko tunakoita kwa mabeberu na zipo katika kile kinachoitwa millennium development Goals! Ni watanzania wachache tu wanaojua source ya hizo fedha. Mpango huu Ni kwa nchi nyingi za Africa sio Tanzania pekee! Wenye akili wanajiongeza na kujua!Hayo masharti hayajawahi kuwepo katika misaada yetu tunayopewa!!???
Kuna siku serikali ilikana hadharani masharti yoyote na tukaendelea kudubda kwa kupokea misaada yenye masharti hayo!!??
Ref: Wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni.
Ingekua Ni fedha zetu wakina Bulembo wangempuuza Zito alipoishtaki Tanzania huko duniani!