Pre GE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katika maeneo ambayo Chadema ina Nguvu za Asili ni Iringa, Mbeya, Arusha, Mara, Morogoro na Mwanza

Na CCM inaiangalia Mikoa hii kwa jicho la 3

Kila nikikumbuka kipute Cha Mwalimu wangu Kibasa wa NCCR mageuzi 1995 sionagi aibu kuufagilia Upinzani wa Iringa Mjini

Rip Gervas Kalolo
 
Nadhani analalamika kwa kile kinachotokea baada ya kualikwa Mama.
 
Lakini pia hiki ni kitu cha ajabu kidogo ni sawa na Simba wawaalike Yanga kwenye mkutano wao mkuu unajadili jinsi ya kuchukua ubingwa.
Mimi nafikiri ni lazima kuelewa muktadha kwanza ndio maana nikaanza na utangulizi jinsi ya siasa za nchi hii zilivyokua kabla ya Samia kuingia madarakani, kulikuwa na chuki na uhasama mkubwa sana hadi watu kukimbia nchi kwa kuhofia kuuawa,
Ili kuondoa hizo chuki na uhasama, ndio ikaja maridhiano, kuleta tena watanzania pamoja

Na ule haukuwa mkutano wa kupanga chochote ilikuwa ni siku ya wanawake duniani, sio kupanga kushinda uchaguzi

Sasa kama wapinzani wanataka siasa za uadui na vita, wahanga wakubwa watakuwa ni wao, sio CCM, CCM wana dola na wawaweza kufanya chochote wapinzani bila kuchukuliwa hatua yoyote
 
 
Lisu awe makini sana na mwenyekiti wake maana huyo ndio anaendekeza hizo pesa chafu za ccm.
ila pesa na mabwenyenye wa ng'ambo ni tamu na zinafanya kibaraka awe na kiburi sana πŸ’
 
ila pesa na mabwenyenye wa ng'ambo ni tamu na zinafanya kibaraka awe na kiburi sana πŸ’
Hizo pesa za wazungu hakuna asiyezipata, kuanzia serekali mpaka wananchi wake. Kama kupata hela ya mzungu ni ukibaraka na kiburi, basi serekali ndio kibaraka namba moja kwenye hilo.
 
Hizo pesa za wazungu hakuna asiyezipata, kuanzia serekali mpaka wananchi wake. Kama kupata hela ya mzungu ni ukibaraka na kiburi, basi serekali ndio kibaraka namba moja kwenye hilo.
sawa πŸ’
 
Kumezuka huu mtindo ambao kwangu nauona ni mbaya, wa kubeza vyuo vikuu, hasa UDSM. Ni ajabu jambo hili kutokea kwenye jamii ya wastaarabu. Huenda wanaofanya hivi sio alumni wa Mlimani. Natamani vyuo vikuu vipewe heshima yake.

Huwa najiuliza hivi chuo kikuu alichosoma Prof. Shivji na baadae kufundisha hapo kinakuwa jaa? -Kiswahili kingine cha neno 'jalala. Hivi Chuo Kikuu alichofundisha Prof. Goran Hyden kinakuwa jaa? Hii jamii yetu inaelekea wapi?
 
Tanzania INATOKANA na Muungano wa Nchi mbili, inasema Katiba ya Zanzibar 1984

Haisemi " ilitokana"

Hivyo zipo Nchi 2 na Katiba 2 Ndio sababu DP World anaitazama Nchi ya Zanzibar akiwa mbali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee hii ni ishu nyingine ambayo haikuwa kwenye mada yangu, mada yangu ililenga umoja wa Watanzania katika vyama tofauti vya siasa na sio mambo ya Muungano
 
Magufuli alivuruga vyama kwa kufanya kazi zaidi ya maneno ya wanasiasa kwa hiyo wakabaki hawana hoja zaidi ya kuleta visingizio vya demokrasia
 
yule maza ni kigeugeu kwa masilahi yake binafsi haaminiki hafai
 

..mtaruhusu ushoga muda si mrefu.

..hamjasikia kuna anayetuhumiwa usagaji na ana madaraka makubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…