Uchaguzi 2020 Lissu: Tume ikitaka amani, ihakikishe uchaguzi unakuwa wa haki

This time round ccm jaribun tena ile ujinga mnaochezaga kinuke TUSHACHOKA shinda kwa haki shindwa kwa haki
 
"Uchaguzi wa haki" kwa Lissu ni yeye "kushinda" that is what "haki" means to Lissu and his friends who have sent him to try and destabilize our country! Let him (Lissu) and his friends that is the LAST THING HE CAN DO TO OUR TANZANIA. We are ready to defend our mother Tanzania with ALL COSTS including our brains, mifupa, damu na nyama.
 
Ameanza kuogopa aibu ya kushindwa anatafuta scapegoat?
 
Sababu kila uzi unaomuhusu Lissu nakutana na masimango tu kwa serikali lissu kasema serikali imefanya vile mara imefanya hivi.

Nawe unaumia mno serikali kusimangwa kwani ujuavyo wewe mwenye haki ya kusimangwa ni Lissu tu.
 
Mkijaribu kutuibia kura tutalala "mbere" na ninyi, jino kwa jino. Tutaoneshana MAKALI tu hadi kieleweke.
 
Tunataka sera sio porojo comrade

1. Kuongea lugha za makabila zisizokuwa rasmi majukwaani ndiyo sera zenu?

2. Kuita wagombea wengine majina majukwaani yakiwamo kuwa ni vibaraka ni sera zenu?

3. Kudai majukwaani kuwa wagombea wengine wametumwa na mabeberu ni sera zenu?

4. Kuvunja sheria hata za usajili wa magari yakiwamo haya ma T2020JPM ni sera zenu?

5. Kuengua wagombea wa vyama vingine kinunda nunda ni sera zenu?

6. Kutumia tume na polisi kukandamiza haki za wagombea wengine ni sera zenu?

7. Nyie kuwa treated tofauti mbele ya sheria ni sera zenu?

8. Sheria kutumika dhidi ya wale tu Ila si nyie ni sera zenu?

Yako mengi hii double standard mwisho wake hauko mbali.
 
Bado unaleta masimango comrade. Tunataka kusikia sera zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…