Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

Mkuu,

Unaelewa maana ya "two wrongs do not make a right?".

Kwa nini unataka hizo nchi ziwe mfano kama hizo habari kimsingi si nzuri?

Kwa nini tuige wanaofanya vibaya?
 
Mkuu,

Unaelewa maana ya "two wrongs do not make a right?".

Kwa nini unataka hizo nchi ziwe mfano kama hizo habari kimsingi si nzuri?

Kwa nini tuige wanaofanya vibaya?
Hiyo mifano kwa nchi husika ulinza wewe kuitoa, lakini wewe ulitazama upande unaoupenda tu.
Mifano niliyokupa ndio ile halisi na inayohusika na Lissu.
 
Nitakujibu kiufupi tu.

Mwalimu Nyerere hakuwa mungu, alikuwa binaadam na mapungufu yake. "Mapungufu ya binaadam" hayapo sawa kwa kila binaadam aliyeumbwa, tunatofautiana kama ilivyo katika vipaji vyetu.

Hata katika vipaji vya kuona makosa ya wengine, tunatofautiana na ni hivyo hivyo hata katika tabia za uzushi za binaadam, kuona ubaya au uzuri katika wanayoamua wao wenyewe kuyaona kivyao.

Inapotokea mtu anaona mwenzake kafanya vibaya, si lazima iwe kweli kwamba anayoyaona yeye kuwa ni mabaya kwa kila mtu au kwa jamii inayohusika.

Tundu Lissu, kama tulivyo wengi wetu, pengine pamoja na wewe, anazo tabia za kuona ubaya hata katika mambo hayakulenga yawe ya ubaya, ari mradi tu amekuwa na "a contrary opinion/view" kwa mambo mengi; watu wenye tabia hii wapo sanana yeye ni mmojawapo.

Niseme, licha ya uwezo mkubwa alionao, hili la kutochambua uzito wa jambo analolipinga ni 'weakness' kubwa kwake; na hasa kama kiongozi wa kisiasa.
 
Kama kuna mtu anastahili matusi na pongezi kuliko watu wote waliowahi kuishi nchi hii basi ni Nyerere.
 
Nyerere sio Mungu ni binadamu kama wengine ana mazuri yake na mabaya hivyo kusifiwa au kukosolewa ni kawaida tu,hata kutukanwa ni kawaida tu.
Kama Mungu mwenyewe mwenye dunia yake na mitume wanatukanwa sembuse binadamu wa kawaida tu.
 
Hiyo mifano kwa nchi husika ulinza wewe kuitoa, lakini wewe ulitazama upande unaoupenda tu.
Mifano niliyokupa ndio ile halisi na inayohusika na Lissu.
Hapana,

Unaandika kwa mifano isiyo na mantiki, halafu wewe mwenyewe unasahau kwamba ndiye uliyeanzisha hiyo mifano.

Unanisingizia mimi kuanzisha mifano.

Mifano umeianza wewe katika post #105 hapa

Uzuri JF inahifadhi maandishi, ingekuwa ni maongezi tu ingekuwa tabu saa hizi.
 
Logic ni ile ile!
Go against the State Icons, the State goes against you.
Hii si Tanzania tu, ni all over the world.
 
Logic ni ile ile!
Go against the State Icons, the State goes against you.
Hii si Tanzania tu, ni all over the world.
Sasa hatujamaliza suala la nani kaleta mifano, umekubali kwamba mifano umeleta wewe na si mimi kama ulivyodai awali?

Kuhusu hiyo logic.

Na wewe unaikubali logic hiyo? Unaifurahia?
 
Sasa hatujamaliza suala la nani kaleta mifano, umekubali kwamba mifano umeleta wewe na si mimi kama ulivyodai awali?

Kuhusu hiyo logic.

Na wewe unaikubali logic hiyo? Unaifurahia?
Hapo kwenye logic hakuna suala la mimi au wewe kukubaliana au la, dola perpetuates itself!
Mifano notwithstanding.
 
Wakoloni waliikuta nchi inaitwa Tanganyika? Ahahaha
Tizama chini(##)
Nani alikuwa kiongozi wake?

Kujali ukatae, nchi za Afrika, 99% ziliundwa na Wakoloni, wao ndio walioamua majina na mipaka yake, walioamua mpaka lugha za kutumia serikalini

Sioni unachobisha(##)
Porojo, lakini haukatai nilicho posti, au?
Lakin haya tunayoita Mataifa/Nchi kwa sasa, waasisi wake Ni Wakoloni
Power mongering-Udalali
Huna uwezo huo ww chawa
Chawa tena?
Leta huo ushahid wa kukashifiwa Nyerere
???
Tatizo la watu wajinga Kama wewe mnadhan kuna kukosoa kwa kusifia, wenyewe wajinga mnasema kukosoa kwa staha, wajinga kweli nyie
???
Nyerere hakuwa Mungu na itabaki hivyo milele, atakosolewa milele

Ulipachika hilo, kwani hakuna sehemu huyo uliyemjibu kudai au kusajesti/kuelemea huko

Rejea posti yangu na Ad 'ila kuna Mungu mzungu?'
Hoja eti alikashifiwa kwa kukosolewa itabaki kwenu nyie punguani milele
Nilitarajia kuona unazo hoja na sio viroja, hoja bila porojo, kukosoa na sio ukashifu, ujengaji na sio udumazi.

Itakuwa vigumu kwangu kukujibu kwakuwa...

Ulichokikuta katika posti yangu kule juu(baina yangu na AD) ulikuwa ni msahihisho, na nilimsahihisha kwasababu mbili za msingi.

Anaonekana ni Dalali wa Wakoloni(Mzungu) na baada ya kuona hizo posti zako juu, nimekuweka katika kundi hilo, la madalali-power mongers
Piga ua ndivyo inavyonekana.

Kukashifu

Ni wazi vilevile kuwa, haubishi nilichobandika bali, kwasababu za itikadi zako hilo halikubaliki kwako bila ya kuwa ni "Mkoloni' au "Mzungu" ndiye mwenye msemo wa mwisho kwani mifano na kauli zako ni zinajikita huko.

Na umesimama pale pale
Kukashifu na matusi mengine

...narudia, itakuwa ni vigumu kwangu kujibishana na mkimbari

Zidumu Fikra za "Nyerere"

Aluta Continua
 
Hapo kwenye logic hakuna suala la mimi au wewe kukubaliana au la, dola perpetuates itself!
Mifano notwithstanding.
Kwanza kabisa, umelkubali kwamba wewe ndiye ulileta mifano? Tumalize hilo ili tuweke rekodi sawa kwamba ulighafilika, si mimi niliyeleta mifano.
 
Kwanza kabisa, umelkubali kwamba wewe ndiye ulileta mifano? Tumalize hilo ili tuweke rekodi sawa kwamba ulighafilika, si mimi niliyeleta mifano.
Mkuu huo ni unyasi, na mfano nilioutoa #105 bado uko valid na unaibeba argument yangu, its not going against the grain.
 
Mleta mada ficha ujinga wako, Kwahiyo kusema ukweli ndio kukashifu?
 
Mkuu huo ni unyasi, na mfano nilioutoa #105 bado uko valid na unaibeba argument yangu, its not going against the grain.
Mkuu,

Hata sijafika kwenye mfano ni valid au si valid.

Umekubali kwamba wewe ndiye uliyeuanzisha huo mfano hapa, na si mimi kama ulivyodai?
 
Nyerere sio Mungu ni binadamu kama wengine ana mazuri yake na mabaya hivyo kusifiwa au kukosolewa ni kawaida tu,hata kutukanwa ni kawaida tu.
Kama Mungu mwenyewe mwenye dunia yake na mitume wanatukanwa sembuse binadamu wa kawaida tu.
Mkosoe Lissu halafu uone.
 
Kama SAMIA kayataka haya na kuyabaliki yafanyike, Mimi nani nikampinge tundu lisu!!!?
 
You are running around in circles, I hope utaukamata mkia wako.
Wewe umechemka kuhusu nani kaanzisha mfano, JF inaonesha umechemka, ushahidi umepewa.

Lakini bado hukubali tu kwamba umechemka licha ya kupewa ushahidi wa wazi?
 
Wewe umechemka kuhusu nani kaanzisha mfano, JF inaonesha umechemka, ushahidi umepewa.

Lakini bado hukubali tu kwamba umechemka licha ya kupewa ushahidi wa wazi?
Urguing on irrelevancies.
Wish u luck!
Just try catching ur tail, wont u?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…