Aisee!!
Ina maana
Jidu La Mabambasi uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja shibishi ndo umeshuka na kuwa hovyo kiasi hiki?
Hii propaganda ni ya kiwango Cha chini sana bro Kwa ninavyokufahamu unless account yako labda imekuwa hacked.
Kama ni wewe huyohuyo, basi unaelekea kurudi ujingani. Amka Kisha toroka urudi kwako!
Yaani uoneshwe Kijiji chochote ambacho Tundu Lissu amekiletea maendeleo!!!!???? How exactly maana hajawahi kupewa serikali yenye mapato ili ahudumie watu?
Ila Kwa kutumia taaluma yake ya sheria, ametoa ujinga watu wengi sana nikiwemo Mimi. Na ukienda jimboni kwake aliloliongoza Kwa miaka 10, watu kule wanajimbua na kuelewa wajibu na haki zao balaa. Huwezi kuwaonea burebure. Yote hiyo ni kazi ya Tundu Lissu
Na umeulizwa na wengi hapa ulete sample tu ya kashfa na matusi ya Tundu Lissu Kwa hayati Nyerere, lakini hujafanya hivyo badala yake unazunguka zunguka tu kama mlevi wa chang'aa na mnazi.
Una tatizo Gani kwani na Tundu wewe??