Sikia kijana, ukitaka kula na kipofu usimshike mkono, sasa ingia kanda maalum na lugha yako khs Magu alafu kahesabu kura zako!.Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?! -Ama kweli kua uyaone.
Nilitaka nikutie tusi zito sana ila nimeona tutakua tumefanana akili nikifanya hivyo!Unataka tuanze kuabudu na kukukumbuka mtu aliyekwisha kufa (Magufuli) na kuoza na kugeuka udongo..?
Kuna shirika gani kati ya walio hai na wafu..?
By all means, there's absolutely NO SIMILARITIES kati ya watu hawa wawili Tundu Lissu na Magufuli...!
Hawa ni watu wawili tofauti kiakili, uwezo, kiufahamu, kitabia na kimwenendo, kimaadili na kimtizamo...?
Tundu Lissu ni very special human being....
Huyu (TL), alikufa kwa risasi 16 za huyohuyo Magufuli wako kisha Mungu aliyembebesha kusudi maalumu kwa ajili ya nchi na taifa hili akamfufua kutoka kwa wafu. LAKINI John Pombe Magufuli, alikufa kwa mafua ya CORONA tu, yuko shimoni kaburini...
Unataka kupozwa ki - Magufuli, mfuate kaburini aliko ufurahi naye...!!
Tutampa nafasi Lema.Kwa hiyo kanda ya Kaskazini tumebaki na nani?
acha uchawi, muda utaongea ni subira ya miezi kadhaa. tunatunza kumbukumbu yakoLisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, Iringa na Mbeya DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
Wanafanana Kwa tabia ni vile mafahari wawili hawawezi kaa zizi Moja.Mtu mliyetaka kumua kwa Risasi leo awaoshe mioyo...?!
Ama kweli kua uyaone.
Uliwahi ona wapi mafahari wawili wakakaa zizi Moja?Mimi ni kati ya watu niliokuwa namkubali Lissu na Magufuli japo kura yangu nilimpa Lissu.
Hawa watu wawili wanafanana kwa vingi sana ila ndio hivyo tena hawakuwai kupatana na ugomvi wao hakuna hata mmoja wao anayeujua
Mumejaa upepo kama.enzi.za Lowasa.Lisu agombee urais wa JMT, nakuhakikishia kura za Mkoa wa Kigoma anabeba, Kanda ya Ziwa Yote anabeba, Iringa na Mbeya DSM pia anabeba pamoja na Singida, sisiemu watabaki na kura za Mkoa wa Pwani, sehemu ndogo ya Tanga na Dodoma. 2025 anammwaga mama yenu
Kwanza kina sera ambazo ukiwasililiza unaona Wana kitu.Chadema wote nawachukia wako tu kama waleeee mie nawapenda sana act wazalendo hicho chama hakina tamaa wala hakina mabadiliko mabadiliko
Ni kweli kabisaa na hawagombei nafasi za juu wao wanapeana muda ukifika muda wakustaafu unastaafu naunachia ngazi hicho chama wapewe hata miaka 5 tu waone tofauti mambo yatabadilika ila wamweke mwanaume sio yule mamaKwanza kina sera ambazo ukiwasililiza unaona Wana kitu.
Hawa wengine zaidi ya mihemko hawana kitu Cha maana Cha ku offer.
Kwa wapigakura ambao hawashikiwi akili na wanachagua matokeo ya kazi ni automatically watamchagua Samia.Tutaende kanda ya Ziwa kuwaambia maneno haya yanayosemwa dhidi ya mpendwa wetu.
"Wazuri hawafi" - Makamba Snr.
"Wachawi wote wamekufa" - JK wa msoga.
RIP JPM
Tuwe kama wamarekana wakampa Trump na kumkataa HarissHatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Pole sana hujui Wanasiasa,Huwa wanageuka kulingana na upepo ilimrasi wanufaike usiwe mjinga.Mim siku Mh Lissu akisema anamkubali Jiwe basi ndiyo siku hiyo sitokuwa na imani naye tena. Maana anaweza anza kuwa na tabia za Jiwe
Anaioshaje? Wasiojulikana anawajua?Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Nimebubujikwa na machozi mengi ya FurahaHatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi wako dhidi yake, tunajua chuki yenu ilitengenezwa. Ni muda sahihi kutuomba radhi tukupatie nchi.
Tunakutakia kazi njema.
Hayo unayomsingizia Samia amewahi yatamka lini?Lissu aache kumtukana Magufuli na Wasukuma kwa ujumla. Hiyo sera itamkwamisha kuuchukua urais. Hiyo ni sera ya Samia na awamu yake ya sita.
Apambane kupiga vita ufisadi, rushwa, kulinda rasilimali za umma, nidhamu serikalini. Kiufupi achukue sera za Magufuli aongeze na Demokrasia.
Ni kweli ila mie najua atashinda tu so sina haja ya kumpigia na mchukia lissu nilisha sema na humu jf wanapenda chadema wakanipiga ban kisa nimesema chadema . Ila lisu simpendi akipewa nchi tutakuwa na vita matata kama kongo na Tanzania ataizika yeye yule mtu ni sio mtu mzuri hata kidogo lwanza ni free mansonsKwa wapigakura ambao hawashikiwi akili na wanachagua matokeo ya kazi ni automatically watamchagua Samia.
Ila Kwa wale mnaoshikiwa akili na kujaa upepo Kwa mihemko mtamchagua Lisu.
πKwakweli huyu amebubujika kwa kwikwi kabisa
Kiroho kimekuchoma sana.Hayo unayomsingizia Samia amewahi yatamka lini?
Pili Samia ana vitu vya kuonesha huko Kanda ya Ziwa haihitaji huruma ya mtu.
Mwisho Rais anapangwa iwe na Dola au vinginevyo so hata afanyaje kama hayuko kwenye list he will never be.
Unadhani Kwenye madaraka nani anataka kurudi kule?