Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
Mbona amesema tu?Kama ni mjanja utaelewa kuna kitu alitaka kusema akaacha, akatumia maneno ya hekima na utani.
๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona amesema tu?Kama ni mjanja utaelewa kuna kitu alitaka kusema akaacha, akatumia maneno ya hekima na utani.
Huyu dishi liliyumbishwa na risasi, hayuko vizuriAkifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu.
Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda anawivu".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2898774
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Puppet anajipambanua vizuri ๐Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu.
Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda anawivu".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2898774
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 โ๏ธ
Kwa hiyo unakiri kwamba Makonda ni mjinga?Utakuwa mjinga ukipoteza mda kumjadili Tundu lissu.
Makasiriko tu.Ama kweli! Majibu ya Lissu yameniacha hoi!!
Watoto wa Lissu ni raia wa marekani..kwa maana nyingine Lissu anadai Makonda ana wivu kama wa mwanamke.
..kwamba mwanaume shababi hawezi kumuonea wivu mke au girlfriend wa mtu mwingine.
daaah... uwanja wa siasa za Tanzania umezidi kugubikwa sumu za uhasama na chuki, na binadamu kweli sio mkamilifu
Makonda kapigwa ban ya kukanyaga marekani kwahyo uwenda kweli anaona wivu watoto wa Lissu kuwa raia wa MarekaniKama kesi watoto kuzaliwa marekani, nao wapeleke wa kwao wakazaliwe huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Watoto wa Lissu ni raia wa marekani
Nchi zenye uraia pacha wana maendelo kutuzidi sisi tusiyo na uraia pacha, hivyo unakosa hoja ya msingi. Kalale tu ndugu.Tukiwa tunasema CHADEMA wataenda kutuuza mazima muwe mnaelewa.
Kwa hiyo Tundu Lissu anaona hiyo ni sifa?
Ndio maana wameng'ang'ania Uraia pacha???? Kumbe sio kwa maslahi ya nchi bali ni kwa maslahi ya Viongozi wa CHADEMA?