wamjaribu nani sasa ?
kuna yule kijana wa Zanzibar Samia akamjaribu... he didn't have any skin in the game
kuna yule dada Mjema, she couldn't find the girl's bathroom, she was so slow
akaja Mzee Ole Sendeka, wakamtosa in 2 days, he didn't know left from right
kuna Nape, aliyekiri CCM wanashinda kwa magoli ya mkono
kuna Polepole, akasema CCM ni chama la ma Landcruiser VX na ma Hardtop
hawa wanatupeleka miaka kumi, kumi na tano nyuma, ya uenezi wa CCM.
Ndani ya miezi miwili, sijui kama mitatu imefika, Paul Makonda - give the devil his due - ametatua kero za wananchi kuliko miaka 15 ya hao waenezi wengine.....
Fatuma Karume -wakiri wa Mahakama Kuu na mpinzani wa serikari kindaki ndaki - amekiri juzi kwamba Paulo Makonda peke yake - shetani apewe sifa zake - anafunga majalada mengi ya kesi za Wananchi ndani ya siku moja na kutoa nakala za hukumu kuliko mahakama zote za Tanzania combined.... Na Mwanasheria Mkuu wa serikali amelalamika! hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa.....
Kwa hiyo Makonda - give the devil his due - ana haki ya kuhoji uadilifu wa Tundu Lissu, tumjibu, tusimtusi makalio yake.