Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

Nimekuja kufahamu, Lissu ana vituko sana.
Makonda kama anataka ligi aendelee.
Umeshangaa kumsikia Lissu anaongea kama kakaa vile vikao vya wazee wa Kiswahili Swahili vya kunywa kahawa chungu kwa kashata vyenye maneno ya kibashabasha kibao mpaka kujambishana mtaani hivi halafu wanacheeka wenyewe?
 
Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu.

Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda anawivu".

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2898774

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
kitu cha ajabu kuhusu Makonda, kuna clip moja alikuwa Arusha, kuna msomali mmoja akawa na bango anataka kuongea, yule msomali amepaka hina mindevu yake, makonda kasema "mpeni huyo mwenye ndevu nzuri", imagine mwanaume anamwambia mwanaume mwenzie ana ndevu nzuri. manake amependa ndevu zake.
 
..Makonda akatatua kesi chache sana sana ukilinganisha na utitiri wa kesi na malalamiko yaliyoko kila mahali hapa.

..Kwa maoni yangu ziara za Makonda zinatuonyesha jinsi Ccm na serikali yake walivyoshindwa kutuongoza.

..Lingine ni vema ukakumbuka kwamba Magufuli alikuwa na utaratibu wa papo-kwa-papo kama huu wa Makonda lakini nchi bado ilikwama.
kitu watu wasichoelewa ni kwamba, unaenda kwa makonda kuongelea kesi ambayo ipo mahakamani, makonda anaanzia pale kupewa facts, na anajifanya ametatua, ukirudi mahakamani unapigwa nyundo, na zaidi sana unapigwa nyundo kwasababu umeenda kadamnasi kuaibisha mahakama. hamuijui mahakama ninyi. makonda hana msaada wowote, kipindi kile amekusanya watoto wasio na baba aliwasaidia nini zaidi ya baba za watoto kuwatelekeza zaidi watoto?

Yaani mimi baby mama wangu aende kwa makonda anidhalilishe halafu arudi tena kwangu aombe pesa ya mtoto ili ale kwa mgongo wa mtoto wangu? atakula alikoenda kuomba msaada, makonda akampe kila kitu. kuna watu hadi walifikia hatua wanataka kupoteza watoto wao, familia moja hadi ilienda kwa mganga ati imfute mtoto aliyeenda kuaibisha kaka yao ambaye ana ndoa. mambo ya ajabu kabisa badala ya kuleta amani analeta mvurugano tu.
 
Nimesema, CHADEMA wataenda kutuuza mapema.

Hukukataa hayo, ikiwa ina maana hayo yanawezekana ila hamtaki Wapiga kura wayafikirie au?

Kwani sio Lema aliyesema Canada mswano?

Tukija kwenye suala la Uraia, unaona kabisa nimeuliza maswali, hukuyajibu, badala yake umeshupaza shingo na mihemeko.

Unapata wapi haki ya kuhoji hoja zangu za msing?(ni zipi hizo?)kwani tunazungumzia faida za Uraia pacha hapa? Au majivuno ya Tundu Lissu?

Nye nye nye
Huna hoja kalale, unasumbuliwa na ujuaji na ùpotoshaji tu...CHADEMA wanakuuza ili iweje? Lissu amesema ukweli anayoijua wewe unaliita majivuno.
Ulitaka akatae kuwa watoto wake hawapo USA? nchi yenye raia wasiopendq ukweli kama wewe ni hasara.
 
Makonda si ashapigwa ban kuingia Marekani?
Hivi Makonda kwa mfano, hicho ambacho angekifata Marekani, hakipati Tanzania, ni nini, Iphone 15 ????????

Diaspora yeyote worth his name atakwambia, kilichombakiza uzunguni ni kutafuta maisha, ndo maana wanaomba Uraia Pacha, wakikaa vizuri watarudi, tusiwateme. Makonda tayari yuko vizuri.

Marekani wanasiasa hawana hela ya kugawa kwenye viwanja vya mipira, li Makonda linagawa millions majukwaani, Tanzania nzima, kila uchwao. Kuna bata gani atataka kula hapa duniani ashindwe kwa vile eti hana visa ya Marekani ??????? Labda anakosa kumpeleka mtoto Disney World, Florida, nasikia kuna theme parks huko, mbuga bandia! Well, mbuga halisi ziko kwao Kanda ya Ziwa.

Kwa hiyo Makonda - give the devil his due - yuko vijijini as we speak, ana solve ma dysfunction ya third world, singlehandedly by and large, Pres. Samia kasafiri, Vice Pres. Mpango doesn't know what day it is, nchi kaachiwa Makonda, for all intents and purposes, he's in the headlines, he's all the rage, he's all set, hahitaji visa ya mtu.
 
Kuna vitu vingine ccm huwa mnaji dhalilisha, Makonda sio wa kubisha na Lissu, wala Makonda hawezi debate yeyote ile na Lissu, Lissu uelewa wake ni mkubwa sana, ana kasoro zake kama binadamu, lakini Makonda ana pelea.

Kumbukeni kushinda kura , kujulikana, tena bila hata sera ccm ni rahisi sana kuliko upande wa upinzani, kwahiyo vijana wengi ccm wana bebwa na chama chenyewe wala sio uelewa au utade wao binafsi, ndio maana ikifika wakati wa kura za maoni nafasi moja ya ubunge au uraisi ina gombaniwa na watu zaidi ya 20, maana yake hao wote hawana mbadala na ni waoga wa kwenda vyama vingine, na wanajua kitendo cha kwenda vyama vingine hawawezi kutoboa.

Hapo ndo usemi wa ccm unakuja kuwa ohh subiri zamu yako bado, ohh hata kikwete alisubiri , uongozi wa kupokezana vijiti, yaani hawana uwezo binafsi na waoga wa kupambana nje ya ccm, ndio maana chama kina waamuru kufanya chochote bila wao kupinga maana hawana jinsi.

Ni lowasa tu ndio alie jaribu walau kukataa ukondoo ule wa miaka nenda rudi kusubiri kijiti, actually dunia haiko hivyo sasa hivi, mfumo mfu huo umebaki na ccm tu Tanzania , haya yote ya ukatibu mwenezi ni upuuzi , mgombea ana takiwa ajipambanie mwenyewe , kura za maoni aombe kwa wananchi akishindanishwa na wapige kura wana chama kuteua mmoja , sio chama kikundi fulani kina teua mgombea kwa niamba ya wananchi, matokeo yake tuna pata hawa wasiojitambua.
 
..watawauza vipi?

..kwani mkishawachagua mnakwenda kulala?

..hizi lugha za kusema " tutauzwa " ni kujidhalilisha.
...sio kweli. Its a genuine concern.

...itoshe, mtu mzito kama Laigawan T.L kwenda kuanza siasa za kushobokea uraia wa wanawe kuwa ni wa Nchi za watu, ni kujidhalilisha.

...nashukuru sana J.Kuu kwa kuliweka neno hili kinywani kwangu.

In essence, Laigwanan Tundu Lissu kajidhalilisha.

Ni sawa na kuukana Utanzania tu.

Kwani angesema Wanawe ni Watanzania angepungukiwa na nini?

Yeye ni Mtanzania kwanini asijivunie Uraia wa Watoto zake Waki-Tanzania.

Yale ni majivuno na yanaweza kutuyumbisha kama nchi huko mbeleni.

Mic drop
 
Hili la Mgombea Urais watoto wake kuwa na uraia wa USA sio dogo nalo.
Ila la marais na viongozi wengine wakuu kuwa na watoto wenye uraia wa nnchi nyingine ni sawa!!?

Kuwa na viongozi wenye uraia pacha ni sawa!!??
 
..uraia wa Marekani ni sawa na uraia wa nchi nyingine yoyote.

..pia sidhani kama ni sahihi kumhukumu Lissu au kiongozi yeyote yule kwa maamuzi ya watoto wake haswa wakiwa ni watu wazima.

..The only time kiongozi anapaswa kulaumiwa kwa masuala ya watoto wake ni ikiwa atawafanyia upendeleo wa aina fulani ktk masuala ya kijamii, au kisiasa.

..Kuna viongozi hapa Tanzania na huko nje walioa wanawake toka nje ya nchi na hatukusikia matatizo yoyote.
Suala la watoto wa viongozi wenye uraia wa nje haliwezi kuwa agenda ya uchaguzi maana kuna chama kitaumbuka maana wao hawajawahi kujitokeza hadharani.
 
Hivi Makonda kwa mfano, hicho ambacho angehitaji kukifata Marekani na hakipati Tanzania, ni nini Iphone 15 ????????

Marekani wanasiasa hawana hela ya kugawa kwenye viwanja vya mipira, li Makonda linagawa millions majukwaani, Tanzania nzima, kila uchwao, kuna bata gani atataka kuila hapa duniani ashindwe kwa vile eti hana visa ya Marekani ??????? Labda anakosa kumpeleka mtoto Disney World, Florida, nasikia kuna theme parks huko, mbuga bandia! Mbuga za ukweli ziko kwao Kanda ya Ziwa.

Kwa hiyo Makonda - give the devil his due - yuko vijijini as we speak, ana solve matatizo ya third world, singlehandedly by and large, President Samia kasafiri, Vice President Mpango doesn't know what day it is, nchi kaachiwa Makonda, for all intents and purposes, he is all the news, he is all the rage, he is all set, hahitaji visa ya Marekani.
Hujui kuwa hujui.
kalaga baho na ubozi wako.
 
...sio kweli. Its a genuine concern.

...itoshe, mtu mzito kama Laigawan T.L kwenda kuanza siasa za kushobokea uraia wa wanawe kuwa ni wa Nchi za watu, ni kujidhalilisha.

...nashukuru sana J.Kuu kwa kuliweka neno hili kinywani kwangu.

In essence, Laigwanan Tundu Lissu kajidhalilisha.

Ni sawa na kuukana Utanzania tu.

Kwani angesema Wanawe ni Watanzania angepungukiwa na nini?

Yeye ni Mtanzania kwanini asijivunie Uraia wa Watoto zake Waki-Tanzania.

Yale ni majivuno na yanaweza kutuyumbisha kama nchi huko mbeleni.

Mic drop

..hebu nieleweshe kuna tatizo gani hao vijana kuwa ni raia wa Marekani?

..pia zingatia kwamba wamekulia Tanzania, na wamekwenda Marekani baada ya Baba yao kushambuliwa.

..mimi nadhani hao vijana ni Watanzania zaidi kuliko Wamarekani. Wana-fit zaidi Tanzania kuliko Marekani.

..Lissu ana tabia ya kusema ukweli kwanza, na kuuliza maswali baadae. Tabia hiyo ndio amefanya asifiche suala la uraia wa watoto wake.

..Na kwasababu ya kadhia wanazopitia wapinzani hapa Tanzania simlaumu Lissu kwa kuacha familia yake nje. Ccm na serikali hawana shida kumdhuru mpinzani, familia yake, au vitega uchumi vyake.
 
😂😂😂Nimekubamba Mr.76,77 now 7....
🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🖐🖐🖐
 
Kwa nn uuzwe wewe ni ng'ombe?
Unachojua wewe ni Ng'ombe tu ndio wanaouzwa?
Vp kuhusu bandari loliondo gesi madin misitu nayo ni list ameuza
Nani huyo aliyeuza🤓😂😂😂 Wataje tu una mumunya nini
Pumbavu mkubwa wewe
kwa hayo yamekuza akili yako?

Kojoa ulale huna hoja nyie ndiyo mafisad papa
Hebu nenda ukabuni matusi mengine. Matusi ya Darasa la saba yashapita. Naninhuyo asiye enda kukojoa halafu aka lala😂😂😂 Una taabika umeamka na mistress. Tulia kenge we.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hujasema bado.
 
..uraia wa Marekani ni sawa na uraia wa nchi nyingine yoyote.

..pia sidhani kama ni sahihi kumhukumu Lissu au kiongozi yeyote yule kwa maamuzi ya watoto wake haswa wakiwa ni watu wazima.

..The only time kiongozi anapaswa kulaumiwa kwa masuala ya watoto wake ni ikiwa atawafanyia upendeleo wa aina fulani ktk masuala ya kijamii, au kisiasa.

..Kuna viongozi hapa Tanzania na huko nje walioa wanawake toka nje ya nchi na hatukusikia matatizo yoyote.
Mfano hai n Jokate Mwigelo (Mmarekani) kwa kuzaliwa na nikiongozi wa juu wa ccm.
 
Hili la watoto wa VIGOGO au kajamba nani kuwa na uraia wa nchi zingine litasumbuwa sana hata kuleta hiyo tunayoitaka (dual nationality). Haipingiki wala kuikataa. LAZIMA IJE...💪👍🙌👊✊🤜🤛✌️🤟🤙🤞🫵👉
 
Back
Top Bottom