Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

Huyu dishi liliyumbishwa na risasi, hayuko vizuri
 
USA baby πŸ‡ΊπŸ‡Έ!

Kila apataye fursa ya kuwekeza USA hafanyi ajizi.

Kumbe Lissu aliamua na mwenzake kuzalia Marekani ili asipitwe na maziwa na asali.

Hakuna kama USA!

Na Jumapili hii dunia itasimama kuzunguka kwenye mhimili wake kwa takriban masaa 4 when Mr. Irrelevant Brock Purdy takes on baby GOAT Patrick Mahomes.
 
Makonda anapenda aolewe yeye badala ya mzungu. Kwasababu wapo raia kibao Tanzania wameowa wazungu Remmy Ongala alioa mzungu wapo wana muziki na raia wa kawaida tuu wameoa wazungu.
Makonda anaona wivu gani Lissu kuoa mzungu ili hali Lissu hataki kumuoa?
 
Tukiwa tunasema CHADEMA wataenda kutuuza mazima muwe mnaelewa.

Kwa hiyo Tundu Lissu anaona hiyo ni sifa?

Ndio maana wameng'ang'ania Uraia pacha???? Kumbe sio kwa maslahi ya nchi bali ni kwa maslahi ya Viongozi wa CHADEMA?
 
Puppet anajipambanua vizuri πŸ’
 
TL ni maokoto, maokoto, MAOKOTO...
Korofisha dola watoto wako wafe njaa, yeye wake wako tuli US OF A!
Na wamuelewe...
 
..kwa maana nyingine Lissu anadai Makonda ana wivu kama wa mwanamke.

..kwamba mwanaume shababi hawezi kumuonea wivu mke au girlfriend wa mtu mwingine.
Watoto wa Lissu ni raia wa marekani
 
Napenda sana jinsi nabii Lema na Lissu jinsi wanavyotoa majibu yao hasa kuhusu misisiyemu.Inakuwaje mwanaume Shabaab umuonee wivu demu anayedate na Lissu kama wewe sio mtu wa upinde.Siasa za kufuatilia maisha ya mtu binafsi hazina nafasi enzi hizi za utawala huu uliojikita kwenye maridhiano kuliko kupigana pyupyuuuuu
 
daaah... uwanja wa siasa za Tanzania umezidi kugubikwa sumu za uhasama na chuki, na binadamu kweli sio mkamilifu

..kuna wachangiaji hapa JF hawaelewi lugha nyingine zaidi ya upuuzi.

..Makonda ni m.huni na mpu.mbavu hastahili kuwa kwenye nafasi za uongozi.

..Ccm ina watu wengi wenye uwezo wa kuwa waenezi.

..Rais kumteua Makonda kuwa Mwenezi kunaonyesha jinsi asivyo na nia nzuri na siasa za nchi yetu.
 
Kama hiyo michango ndo tafsiri za wanaoitwa 'great thinkers' kuhusi hiyo mada basi tumekwisha kama taifa.
 
Tukiwa tunasema CHADEMA wataenda kutuuza mazima muwe mnaelewa.

Kwa hiyo Tundu Lissu anaona hiyo ni sifa?

Ndio maana wameng'ang'ania Uraia pacha???? Kumbe sio kwa maslahi ya nchi bali ni kwa maslahi ya Viongozi wa CHADEMA?
Nchi zenye uraia pacha wana maendelo kutuzidi sisi tusiyo na uraia pacha, hivyo unakosa hoja ya msingi. Kalale tu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…