Umeshangaa kumsikia Lissu anaongea kama kakaa vile vikao vya wazee wa Kiswahili Swahili vya kunywa kahawa chungu kwa kashata vyenye maneno ya kibashabasha kibao mpaka kujambishana mtaani hivi halafu wanacheeka wenyewe?Nimekuja kufahamu, Lissu ana vituko sana.
Makonda kama anataka ligi aendelee.
kitu cha ajabu kuhusu Makonda, kuna clip moja alikuwa Arusha, kuna msomali mmoja akawa na bango anataka kuongea, yule msomali amepaka hina mindevu yake, makonda kasema "mpeni huyo mwenye ndevu nzuri", imagine mwanaume anamwambia mwanaume mwenzie ana ndevu nzuri. manake amependa ndevu zake.Akifanya mahojiano na Mwanahalisi, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amejibu maswali kuhusu uraia wa watoto wake na pia kufunga ndoa na Mzungu.
Akijibu maswali hayo, Tundu Lissu amesema watoto wake ni Raia wa Marekani kwa kuzaliwa, na pia kuhusu kuoa yeye alimsikia Makonda "Makonda anawivu".
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2898774
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 βοΈ
kitu watu wasichoelewa ni kwamba, unaenda kwa makonda kuongelea kesi ambayo ipo mahakamani, makonda anaanzia pale kupewa facts, na anajifanya ametatua, ukirudi mahakamani unapigwa nyundo, na zaidi sana unapigwa nyundo kwasababu umeenda kadamnasi kuaibisha mahakama. hamuijui mahakama ninyi. makonda hana msaada wowote, kipindi kile amekusanya watoto wasio na baba aliwasaidia nini zaidi ya baba za watoto kuwatelekeza zaidi watoto?..Makonda akatatua kesi chache sana sana ukilinganisha na utitiri wa kesi na malalamiko yaliyoko kila mahali hapa.
..Kwa maoni yangu ziara za Makonda zinatuonyesha jinsi Ccm na serikali yake walivyoshindwa kutuongoza.
..Lingine ni vema ukakumbuka kwamba Magufuli alikuwa na utaratibu wa papo-kwa-papo kama huu wa Makonda lakini nchi bado ilikwama.
Huna hoja kalale, unasumbuliwa na ujuaji na ΓΉpotoshaji tu...CHADEMA wanakuuza ili iweje? Lissu amesema ukweli anayoijua wewe unaliita majivuno.Nimesema, CHADEMA wataenda kutuuza mapema.
Hukukataa hayo, ikiwa ina maana hayo yanawezekana ila hamtaki Wapiga kura wayafikirie au?
Kwani sio Lema aliyesema Canada mswano?
Tukija kwenye suala la Uraia, unaona kabisa nimeuliza maswali, hukuyajibu, badala yake umeshupaza shingo na mihemeko.
Unapata wapi haki ya kuhoji hoja zangu za msing?(ni zipi hizo?)kwani tunazungumzia faida za Uraia pacha hapa? Au majivuno ya Tundu Lissu?
Nye nye nye
Hivi Makonda kwa mfano, hicho ambacho angekifata Marekani, hakipati Tanzania, ni nini, Iphone 15 ????????Makonda si ashapigwa ban kuingia Marekani?
Hulka yake ni kuropoka lolote bila kutathmini athari yake akisahau ule wimbo wa taarabu wa pembe la ng'ombe usemao maneno yakishatoka mdomoni hayarudi tena mdomoni.nafikiri lisu achunge maneno
...sio kweli. Its a genuine concern...watawauza vipi?
..kwani mkishawachagua mnakwenda kulala?
..hizi lugha za kusema " tutauzwa " ni kujidhalilisha.
Ila la marais na viongozi wengine wakuu kuwa na watoto wenye uraia wa nnchi nyingine ni sawa!!?Hili la Mgombea Urais watoto wake kuwa na uraia wa USA sio dogo nalo.
Suala la watoto wa viongozi wenye uraia wa nje haliwezi kuwa agenda ya uchaguzi maana kuna chama kitaumbuka maana wao hawajawahi kujitokeza hadharani...uraia wa Marekani ni sawa na uraia wa nchi nyingine yoyote.
..pia sidhani kama ni sahihi kumhukumu Lissu au kiongozi yeyote yule kwa maamuzi ya watoto wake haswa wakiwa ni watu wazima.
..The only time kiongozi anapaswa kulaumiwa kwa masuala ya watoto wake ni ikiwa atawafanyia upendeleo wa aina fulani ktk masuala ya kijamii, au kisiasa.
..Kuna viongozi hapa Tanzania na huko nje walioa wanawake toka nje ya nchi na hatukusikia matatizo yoyote.
Kwani huo Uraia wa huko aliwapa yeye Baba au walipewa na USA?Sasa watoto ni wamarekani.... yeye anautaka uraisi wa Tanzania wa nini?
Hujui kuwa hujui.Hivi Makonda kwa mfano, hicho ambacho angehitaji kukifata Marekani na hakipati Tanzania, ni nini Iphone 15 ????????
Marekani wanasiasa hawana hela ya kugawa kwenye viwanja vya mipira, li Makonda linagawa millions majukwaani, Tanzania nzima, kila uchwao, kuna bata gani atataka kuila hapa duniani ashindwe kwa vile eti hana visa ya Marekani ??????? Labda anakosa kumpeleka mtoto Disney World, Florida, nasikia kuna theme parks huko, mbuga bandia! Mbuga za ukweli ziko kwao Kanda ya Ziwa.
Kwa hiyo Makonda - give the devil his due - yuko vijijini as we speak, ana solve matatizo ya third world, singlehandedly by and large, President Samia kasafiri, Vice President Mpango doesn't know what day it is, nchi kaachiwa Makonda, for all intents and purposes, he is all the news, he is all the rage, he is all set, hahitaji visa ya Marekani.
...sio kweli. Its a genuine concern.
...itoshe, mtu mzito kama Laigawan T.L kwenda kuanza siasa za kushobokea uraia wa wanawe kuwa ni wa Nchi za watu, ni kujidhalilisha.
...nashukuru sana J.Kuu kwa kuliweka neno hili kinywani kwangu.
In essence, Laigwanan Tundu Lissu kajidhalilisha.
Ni sawa na kuukana Utanzania tu.
Kwani angesema Wanawe ni Watanzania angepungukiwa na nini?
Yeye ni Mtanzania kwanini asijivunie Uraia wa Watoto zake Waki-Tanzania.
Yale ni majivuno na yanaweza kutuyumbisha kama nchi huko mbeleni.
Mic drop
ππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππππππNimekubamba Mr.76,77 now 7....
Badala ya magari ya zimamoto na ambulance?!..hujasikia Mh.Mpina akisema serikali ya Ccm imenunua mtambo wa kuongeza makalio na umefungwa hospitali ya Mloganzila?
mental kama mentalMimi naona utakuwa Mpumbavu kutomjadiii Tundu Lissu ambaye ana uwezo mkubwa sana wa Kiakili kuliko Wewe mwana CCM unayemchukia hadi Mwenyekiti wako Taifa.
mental kama mentalYeah. Hata mimi nilishaapa. Watoto wangu wote lazima wawe na uraia wa Marekani. Inawafungulia fursa nyingi zikiwemo za elimu bora (hasa STEM) na mambo mengine mengi.
Kwa hili Lissu yuko sahihi 100%
Unachojua wewe ni Ng'ombe tu ndio wanaouzwa?Kwa nn uuzwe wewe ni ng'ombe?
Nani huyo aliyeuzaπ€πππ Wataje tu una mumunya niniVp kuhusu bandari loliondo gesi madin misitu nayo ni list ameuza
kwa hayo yamekuza akili yako?Pumbavu mkubwa wewe
Hebu nenda ukabuni matusi mengine. Matusi ya Darasa la saba yashapita. Naninhuyo asiye enda kukojoa halafu aka lalaπππ Una taabika umeamka na mistress. Tulia kenge we.Kojoa ulale huna hoja nyie ndiyo mafisad papa
Hujasema bado.Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mfano hai n Jokate Mwigelo (Mmarekani) kwa kuzaliwa na nikiongozi wa juu wa ccm...uraia wa Marekani ni sawa na uraia wa nchi nyingine yoyote.
..pia sidhani kama ni sahihi kumhukumu Lissu au kiongozi yeyote yule kwa maamuzi ya watoto wake haswa wakiwa ni watu wazima.
..The only time kiongozi anapaswa kulaumiwa kwa masuala ya watoto wake ni ikiwa atawafanyia upendeleo wa aina fulani ktk masuala ya kijamii, au kisiasa.
..Kuna viongozi hapa Tanzania na huko nje walioa wanawake toka nje ya nchi na hatukusikia matatizo yoyote.