Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Kawaida sana

George Weah ni Rais wa Liberia lakini mtoto wake ni raia wa Marekani na Juzi kaifungia goli nchi yake ya USA kwenye kombe la Dunia
Kwa mke gani?kwamaoniyangu Mimi nimtoto wakuchepuka siunajuwa watu wampira tabiazao?lakini kama niwamke wake aliondani hapo kunashida
 
pole dogo
Tupo hapa tangu 2009,tumeshuhudia mara zote mkiangukia pua,, madaraka hayatafutwi kwa style mnayotumia, step by step, pateni majority bungeni ili muweze ku effect agenda zenu,, vingnevyo mtalalama miitandaoni milele🤷🏻‍♀️
 
Jamaa huyu Lissu amekosa vigezo vyote vya kuongoza Taasisi yoyote nchi.
Ni raia wa nchi za nje.
 
Acha wivu. Peleka na wewe wa kwako tuone.
 
Tupo hapa tangu 2009,tumeshuhudia mara zote mkiangukia pua,, madaraka hayatafutwi kwa style mnayotumia, step by step, pateni majority bungeni ili muweze ku effect agenda zenu,, vingnevyo mtalalama miitandaoni milele🤷🏻‍♀️
Sawa sawa mzee wa kubeba masanduku mchana kweupe na kuua wapinzani
 
Bonge la.point
 
Utaskia hata Mkatoloki wakasema ni FBI, watu jmn.
Me pia Niko karbuni kuhama hii nvhi
 
Wewe kweli ni empty set , umejuaje hana kazi ya kumuingizia kipato? Lissu si mwanasheria au umesahau? Hafanyi kazi za uwakili/Uanasheria na consultation? Lissu si kiongozi chadema?
 
Jamaa huyu Lissu amekosa vigezo vyote vya kuongoza Taasisi yoyote nchi.
Ni raia wa nchi za nje.
Wapigania Uhuru wengi walilazimika kupata hifadhi nje ya nchi zao kukwepa kuuliwa na watesi wao. Ndiyo sababu hata Tz kukawa na kambi za ANC ya South Africa, Frelimo ya Msumbiji, ZANU PF ya Zimbabwe, nk.
Mlitaka Lissu akae Tz mumuue?!!
 
Mkuu, it pays to think before jumping to the keyboard.
 
Wapigania Uhuru wengi walilazimika kupata hifadhi nje ya nchi zao kukwepa kuuliwa na watesi wao. Ndiyo sababu hata Tz kukawa na kambi za ANC ya South Africa, Frelimo ya Msumbiji, ZANU PF ya Zimbabwe, nk.
Mlitaka Lissu akae Tz mumuue?!!
Huo ni ufinyu wa mawazo.
Tuambie nani wa ANC, FRELIMO na ZANU PF waliouwawa ndani ya nchi zao huru.
 
Kulikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, na Tanzania tukamwondoa Nduli.

..Yoweri aliondoa familia yake kabla vita vya Tanzania vs Uganda havijaanza.

..Mtu akishaona mahali fulani si salama kwake na familia yake anayo haki ya kuhama kujinusuru.

..Lissu wanawe na familia yake walikuwa Tanzania mpaka pale walipomtumwa watu wamuue.
 
Uganda, DRC si Tanzania.
Lissu hawezi kuaminika na mtu yeyote Tanzania, na umaarufu wake kufanya siasa kupitia mtandao ni bure kabisa.
 
Lissu hajawahi kufanya kazi Marekani.
Issue si kufanya kazi, ni mtoto kuzaliwa. Kinachotakiwa ni CHETI CHA KUZALIWA, hata akizaliwa Airport tu ni raia. It's a shenzitype sort of
provision but kumbuka walitoka wapi. Mtamkumbuka Mbunge Nassari wa Arumeru? Naye alifukuzwa Ubunge na Supika Anna Makinda kwa kutohudhuria vikao? Alikuwa Marekani sponsorship ya chama chake CHADEMA, akahakikisha mama anatunga mimba na kuilea na kuzaa USA, patella mbali Ubunge. Hawo nao ni raia wa Marekani, sijui Nassari yuko wapi siku hizi? Hawa ndiyo jamaa zetu, wamefuta Uchaguzi 2025 watafanya vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…