Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Sasa tutafanyaje .....tumeshika makali
 
Samiah ndio mwenye jipya?. Mgao na tozo na mfumuko wa Bei kwa kwenda mbele.
Yes ana jipya, si unaona tuko naye pamoja tunapambana pamoja, Sasa huyu bash*** wa wazungu yeye Yuko ughaibuni huku akitupangia kipi cha kufanya, na Mara nyingine anatutaka eti tuandamane, huyu Ni mpuuzi tu!!
 
Huyo George weah umeona anavyo ifilisi Liberia wananchi hawana hamu naye kabisa, Mpaka wanahis hela anafcha kwa wanae huko usa. Anapata nguvu kwasabu mabeberu wameshamshika hakuna yyte wa kumtinga
 
Mnyalu Balali anadunda tu kama Elizabeth!
Na kuhakikishia hata wewe ukikalia kigoda kikuu, mambo yatateleza tuuu. Hutakiwi kuwa za saana kama akina Newton!!!!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Naona mnawatete kina lisu wenu kwa Hali yoyotee nyinyi hamuoni shida
 
Sasa tutafanyaje .....tumeshika makali
Mungu kwanza, cha pili kuanza na kutumia tulicho nacho ambacho Mungu ameturiki. Musa aliulizwa una nini kwanini kunililia mimi? Akasema nina fimbo, Bwana akamuambia inyoshe kuelekea baharini na bahari ikatawanyika ( Miracles from Above). Tutumie kidogo ambacho Mungu kutujalia kujikwamua tulipo huenda muujiza ukawa mbele yetu kwakuwa tumechukua hatua.. Nchi hii imejaaa waovu na makatili sana na wabinafsi waliopitiliza kiwango na kuwa kama wana wa mashteni
 
Umeme na maji umewashinda nyie mbwa mnabaki mnabweka bweka "mama anaupiga mwingi". Wapuuzi nyie fungeni mabakuli yenu hayo
 
Mbona Wanaccm wengi tu Wana uraia wa Marekani na wengine Cuba na tumewapa hadi uwaziri

Ni kawaida sana
Ndio maana hata CCM yenyewe haiaminiki kwa watanzania kamwe!

CCM iliyoaminika na watanzania sio hii ya kina #Mwigulu!

Bali ile ya kina Nyerere na baadae ya Magufuli!

Baadae imerudi ya Majanga!

Mabehewa TRC fake!

UMEME Tanesco Upigaji kwenye mikataba na Majenereta!

Wizi umetamalaki kuanzia Hazina Mpaka Halmashauri!

Hujuma zimerudi upya ATCL!

MAFISADI wa CCM wanataka kutengeneza barabara binafsi ya kulipia, Chalinze-Morogoro!

Vyeti Fake wamerudi kimyakimya huku pia walio nje ya ajira wakilipwa upya!

Bei za vitu zinapanda huku Rais anatwambia tulizowea vya Bure!

Ewe Mola ibariki Tanzania [emoji1241]
 
Bongo kamwe usimuamini mwanasiasa na wasanii.wote wanaishi kimaigizo

Kuwa binadamu acha roho ya ushetani?. Kuna msanii gani amewahi kulimwa risasi mchana?. Usiingize vichekesho kwenye Jambo serious.

Lissu kalimwa risasi , kafukuzwa ubunge bila sababu , upelelezi mpaka leo haujafanyika na kanyimwa matibabu na marupurupu yake. Nani mwenye akili angeendeleza kuishi kwenye nchi yenye wattu wenye roho mbaya Kama hiyo? Hata Mimi ningehama na kuchukua uraia wa nchi nyingine wenye mioyo mema.
 
Yani hii nchi hata ambao hatuchokagi tumechoka
 
Mzeeya hawa wanatuina sie majinga tuu. Wote walamba asali tuu aliyeshiba hamjui mwenye njaa

Wewe ndio unajioana mjinga. Jione wa maana kwanza acha kuangalia mwingine anakuonaje.
 

Vurugu gani? Tanzania ni nchi ya amani. Vurugu utasababisha wewe mwenyewe.
 
Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA
Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.

Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".


Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
 
Na kenya na Marekani


Sisi hatuna uhusino na marekani ? Hawa ambao wanajenga barabara setup bure kwa msaada wa watu wa marekani?

Pumbavu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…