Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.

Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".

Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
Huwezi kuifananisha Libya ya Gaddafi, na hii Tanzania yetu ya ccm!

Walibya walipewa kila kitu! Maisha yao yalikuwa ni bora kuliko hata ya Wamarekani! Halafu wakanyimwa uhuru wa demokrasia! Ila sisi huku tumenyimwa vyote. Hivyo hatuna cha kupoteza.
 
Dah aiseeh!. CIA Agent Tena?. Yani CIA agent wanajulikana hadharani?. Mtatafutia majina mengi, Ila Cha muhimu alishinda mipango miovu.
Nchi hizi za magharibi zina ugomvi usioisha na zilizokua nchi za kijamaa, hawatapumzika hadi wameondoa madarakani mizizi yote ya ujamaa..
 
Wewe ni mjinga sana, lissi is doing so well akiendelea na maisha yake huko, wewe jitahidi na yako, hata kodi bado haujalipa.
 
Wenye akili tulishalisoma lisu siku nyingi kabisa. Ni zombie likibaraka la western.
Tangu nimsikie akitoa onyo eti mgodi ni mali ya barric tutakoma atatushitaki tukizuia makinikia nikaliona lioga liabudu wazungu.
Sasa akituambia watoto wake wote wamarekati linaona ndio sifa.
Watanzania wenzangu kueni macho sana na hawa kina lisu lema etc. Wako kutuuza tu. Huko ng'ambo wameshapewa vyumba vya kuishi.
 
Umeongea ukweli mtupu viongoz wengi watoto wao wapo njee na wamesoma huko!
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Tate, you have made my day.[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Kuna kipindi jinsi mambo yalivyopelekwa hovyo na Jiwe-Mwendazake pamoja na SukumaGang nilikuwa naona aibu kujiita mimi mtanzania;Mambo hayo ni kama Lissu kupigwa risasi mchana kweupe,kutekwa kwa Mo na kupatikana bila kuwa na maelezo ya kuridhisha,kupotea kwa Ben Saa8 na Azori Gwanda,uchaguzi kuibwa waziwazi na CCM kushinda kwa karibu 90%,na matendo mengi maovu yaliyotokea kipindi hicho sina muda wa kuyaelezea.Ilikuwa Idd Amin Dada Stylish πŸ€”
 
Utakuwa ni bonge la kiazi, kuhack computer ni mpaka mtu awe karibu na hiyo computer? Au ww ni mzee nini?

Hata mimi ningepata nafasi watoto wangu kuwa raia wa nje nangekubali faster. Kama nchi imeshatumia zaidi ya 10t ndani ya miaka 30 kwenye umeme, na bado umeme ni wa mgao, nani atakubali watoto wake wakae kwenye hiyo nchi ya wajinga?
 
Sasa Tanzania haina uraia pacha hivyo lazima wawe raia wa taifa moja tu
 
Tujifunze madhara na matokeo ya udikteta na kuminya demokrasia kwanza.
Wahuni wa Benghazi walikuwa wanawaza hivi hivi!!! Yaliyowakuta, hawataki kuyasimulia.

Tujifunze madhara ya mawazo ya wahuni wa Benghazi tusije na sisi kuitwa "wahuni".

Najua ngumu kunielewa lakini jitahidi hivyo hivyo nitaeleweka.
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘Jf Ingekuwa kama twitter hili bandiko lilitakiwa liwe "pinned".
 
Germany shephered aliyeko california anakula Maisha kuliko Mtanzania aliyeko Tanzania
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Ukitaka kujua kazi ya CIA mkuu fatilia historia ya Patrice Lumumba na Congo utaelewa.

Kama hio ni zamani sana basi chek historia ya Gadafi na Libya utajua kazi ya CIA

Hawa jamaa sio watu wa kushirikiana nao!

Wakishamaliza yao hutakaa upate muda wa kujua cha kufanya itakua ndo nitolee io...amani utaiskizia kwenye bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…