Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.

Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.
Waliohukumiwa na Mahakama kule Arusha kwa kulipua bomu kanisani hawakuwa magaidi? Yule dogo Rashid, Mtanzania aliyehusika na mashabulio ya kigaidi chuo kikuu cha Garisa kule Kenya na kuhukumiwa huko sio gaidi?

Vv
 
Tuangalie pia hao walimu wao wanapata wapi pesa ya kuwaweka vijana kambini na kuwahudumia? Kama wazazi wao hawachangii hata buku wao wanatoa wapi pesa hizo? Kata mnyororo wa pesa zao jeuri yote itakwisha
unaweza kuta hao watoto wanafanyiwa recruitment kwenda kujiunga na makundi ya kigaida kama al shabaab au hata kuanzisha kundi lao nchini, na huenda kuna wengine wapo sehemu mbalimbali nchini wakipatiwa mafunzo hayo. Serikali iingize watu wao kwenye nyumba za ibada kubaini uwepo wa itikadi kali za kidini zinazoweza kuwa hatari kwa usalama wa taifa
 
Watanzania bado sanaa hawajui walitakalo wapo kama ngedere......hao ulinzi na usalama mbna wameshindwa kulinda waandishi wa habar waliouawa na wanasiasa walio pigwa risasi
Wanawalindaje watu wanaowaua wenyewe?

Sana sana wapo mbele zaidi kwa kujiwekea kinga dhidi ya murder case
 
Well said
 
Suala siyo kupiga mafunzo ya ukakamavu bali kwa nini waachishwe shule za kawaida? Kama Waislamu wanataka hayo mafunzo waiarifu wizara ya elimu ili yafundishwe pamoja na Islamic studies mashuleni.
 
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
itikadi kali ni masomo ya dini ya kiislam mzee wangu, umeombwa ueleze kama kwenye dini ya kiisla kuna itikadi kali
 
Reactions: 511
Zamu yao hii... ndo hao hao huchotwa huko na kupewa u DC, u DED n.k
 
Asante kwa kuchangia navifahamu vituo vyote viwili Cha Ipogolo na Nyabula na nnaunga mkono hoja kuwa ni watoto wa waislamu Masikini maana wale madogo na wengine wanakuaga wakubwawakubwa aisee wanakuwaga na sura za kuchoka mno mixa kutembea Kwa miguu na pia ni sura ngeni kabisa huwezi kuona kijana wa ipogolo pale zaidi ya wale mbwiga wanaojazwa ujinga
 
FaizaFoxy leo lazima alale na viatu!
 
Wewe unafikiri hizo kamati za ulinzi na usalama zinakurupuka bro. Hizo kamati pia zina waislamu walishapandikizwa huko na wakaona kuwa wanachofundishwa ni zaidi ya karate na judo
 
Hii dini miyeyusho sana,wao wanawaza tu vurugu,hii dini inafanya dunia isiwe mahali salama, sasa ndo nini dini kufundisha judo na karate? Wakitoka hapo wanaenda kuwa vibaka na kubaka watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushawahi wanna wale. Wamechoka na ni watu wanaolazimishwa. Ninaendaga kule Dabaga kununua mbao, nimewaona si chini ya mara 4 wakitoka Ipogolo kwenda Nyabula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…