Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ukiona Mungu anapiganiwa na binadamu jua kwamba Mungu huyo ni mdhaifu na goi goi sana.Uislamu una mafunzo ya ajabu sana. Dini na karate wapi na wapi ?
Mungu gani anahitaji ujue karate ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona Mungu anapiganiwa na binadamu jua kwamba Mungu huyo ni mdhaifu na goi goi sana.Uislamu una mafunzo ya ajabu sana. Dini na karate wapi na wapi ?
Mungu gani anahitaji ujue karate ?
Shida inakuja hapa mnapoongea kichukiNigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.
Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"
Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.
Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini
Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.
Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.
Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Shost Faiza analizungumziaje hiliKamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)
Ngosha...Hata dar kuna misikiti wanajifunza kug fu sijui wanataka kumpiga Allah yaan hawa watu wamevurigwa
mhNi hatari mno. Hivyo vituo vya Ilimu ndio viwanda vya kuzalisha magaidi.
Hatari mno!
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.
Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)
Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki
Uislamu toka lini unabrainwash watu?
Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?
Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui
Kiuhalisia hayo mafunzo si wajibu wala hayana nafasi yoyote katika uislamuTuweke udini pembeni
Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
Kek...Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki
Uislamu toka lini unabrainwash watu?
Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?
Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui
Osama hakusoma shule?the founder of the Boko Haram Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri school who did not had the opportunity to attend the formal school,
Kwa kiswahili maana yake muanzilishi wa Boko Haram anaitwa muhammad yusufu alipitia hayo mafunzo ya almajiri huko north nigeria. Na hakuwai kusoma elimu dunia
Kwanini hawa wanapenda sana Mapigano????Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.
Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)
Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Kuna upuuzi mwingine tunautaka wenyeweKarate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!