Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

BBADA YA KUFUNGWA KWA NAMANGA ISLAMIC CENTRE, TUVITAJE VITUO VYA MAFUNZO YA KARATE NA SIASA KALI KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI YETU.
 
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
Ila sidhani kama hao vijana wa YMCA waliacha shule/elimu dunia wakajikita kwenye elimu ya dini tu na karate.
 
Huwa nawaza bora dini zisingeletwa ili tuishi kwa amani. Ila pengine huenda hata pasingelikuwa na dini tungegombana kimakabila.

Jambo la muhimu tuombe Mwenyezi Mungu atujalie Amani nchini na awajalie viongozi wote waliopewa mamlaka ya kulinda amani ya nchi hekima na busara katika kuongoza nchi. Maana akitokea kiongozi yeyote mwenye mamlaka akaegemea upande flani wa dini, lazima kutokee machafuko. Maana kuna baadhi ya dini sera zake ni chuki na shari kwa wengine.
 
Mama samia akicheza na hivi vikundi. Atashangaa kikwete alikuja kushtuka too late mwaka 2014 akakuta wamesambaa nchi nzima. .. alideal navyo sana

Mwaka 2015 akaaingia ndugu magufuri vikundi vikaota pembe mapango ya amboni tanga ...morogoro ....na kilele chake kibiti ..... hadi mwanza walikuwepo

Hivi vikundi mama awe navyo makini huwa vinaharibu watoto kwanza.....na target kubwa ni watoto na vijana chini miaka 18

Hapa msumbuji na mtwara kuna kazi inaendelea kimya kimya hayo yote ni mafunzo ya itikadi kali

Inshort uislamu ni dini ya hatari sana hasa maandiko yake yakichuliwa seriously na watu wenye nia ovu....

Pia ni dini nzuri endapo maandiko hayo yakamkuta mtu mwenye nia njema so uislam ni dini chuki na upendo kwa pamoja

Tofauti ni ukristo ...ambapo upendo ni namba one ..wakristo sababu wengi hufuata agano jipya ....ila kama wakristo nao wangefuata agano la kale wasingekuwa na tofauti na waislam

Mimi mtu akiniuliza kuhusu uislam jibu ni moja dini yenye pande mbili upande wa kwanza amani ....upande wa pili fujo na chuki ..... sasa yategemea muumini achague upande upi akichangua upande wa pili wa fujo na chuki ndo kina boko haram na alshabab

Akichagua upande kwanza amani ndo waislam wengi huchagui upande huu sababu dunia sio kijiji kuna watu wengine pia so waislam wa amani wako wengi kuliko wa fujo

Nawasilisha
 
BBADA YA KUFUNGWA KWA NAMANGA ISLAMIC CENTRE, TUVITAJE VITUO VYA MAFUNZO YA KARATE NA SIASA KALI KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI YETU.
Hawa watu wadhibitiwe.Halafu wengi wana matege plus "rickets "!
 
Uislamu ni laana, muislamu yeyote yule amelaaniwa.
Natamani nikujibu ila nimegundua wewe ni empty headed. Huwezi ku generalize huku ukijua kuwa humu jf kuna watu wa imani tofauti na hata Rais wa nchi anapita humu na ni Muislam.

Sijui kwa nini moderators wanaruhusu hii mijadala ya imani humu vipi kila upande ukianza kujibu mapigo. Mfano wewe unaona dini yako imekamilika kwa lipi. Staki sn ku argue na wewe sana sana nitaku block bure. Mimi huwa simpendi mtu anaeshambulia Imani ya mtu au kumtukana mtu ambae hajamtukana. Staarabika kwanza kabla haujastaarabishwa.
 
Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.

Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.
Serikali imethibitisha kuwa tatizo la ugaidi lipo Tanzania. Umeshasahau hivi majuzi tu kuna masheikh wamehukumiwa vifungo vya maisha na wengine kunyongwa kwa kosa la ugaidi huko huko Arusha?
 
Nigeria ipo ukingoni kugeuzwa nchi ya kiislam
Hii ni kwasababu marais waislam wa nigeria waliruhusu mfumo wa kiislam ufanye kazi ikiwa ni pamoja na kufundishwa ugaidi misikitini ikazaa boko haram

Boko Haram inafadhiliwa na wanasiasa waislam wa nigeria na waarabu

Tanzania kuna harufu ya kuwa km nigeria
 
Natamani nikujobu il nimegundua wewe ni empty headed. Huwezi ku generalize huku ukijua kuwa humu jf kuna watu wa imani tofauti na hata Rais wa nchi anapita humu na ni Muislam.

Sijui kwa nini moderators wanaruhusu hii mijadala ya imani humu vipi kila upande ukianza kujibu mapigo. Mfano wewe unaona dini yako imekamilika kwa lipi. Staki sn ku argue na wewe sana sana nitaku block bure. Mimi huwa simpendi mtu anaeshambulia Imani ya mtu au kumtukana mtu ambae hajamtukana. Staarabika kwanza kabla haujastaarabishwa.
Hata ukiniblock hakuna la maana unalonisaidia hadi niumie kwa block yako.

Mm n Mkristo nako pia kuna upuuzi wake ila upuuzi wa Kiislamu ni mkubwa zaidi.
 
Moderators hivi mbona huwa mnafungia nyuzi za maana lakini mnaacha nyuzi za hovyo zenye kejeli, vijembe, na dharau km hizi. Kujadili Imani ya mtu kwa kuitweza au kuishambulia kwa dhihaka ni upumbavu na ukosefu wa elimu kichwani. Vipi hapa watu wakianza kushambuliana kwa kuangalia madhaifu ya imani zao itakuwaje. Lazima italeta MTUKUTIKO. Tusitaaribike na wale watoto waliomo humu wanaotoa michango au kuanzisha nyuzi za hovyo nashauri wapigwe ban. Humu wabaki watu wazima wenye kujenga hoja sio kuleta vihoja
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Mtume Mudi alikuwa anahubiri upanga uko kiunoni.
 
Moderators hivi mbona huwa mnafungia nyuzi za maana lakini mnaacha nyuzi za hovyo zenye kejeli, vijembe, na dharau km hizi. Kujadili Imani ya mtu kwa kuitweza au kuishambulia kwa dhihaka ni upumbavu na ukosefu wa elimu kichwani. Vipi hapa watu wakianza kushambuliana kwa kuangalia madhaifu ya imani zao itakuwaje. Lazima italeta MTUKUTIKO. Tusitaaribike na wale watoto waliomo humu wanaotoa michango au kuanzisha nyuzi za hovyo nashauri wapigwe ban. Humu wabaki watu wazima wenye kujenga hoja sio kuleta vihoja
Acha kujiliza. Hakuna sehemu mimi kana muanzisha uzi nimitweza imani ya watu. ITV waneonesha habari hii saa 2 katika taarifa ya habari. Pia usiwafundiahe kazi mods au kujiliza ili tusiseme madhaifu kwa kuhofia kukashafiwa kwa dini. Acha kujiliza dogo.
 
Back
Top Bottom