Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

the founder of the Boko Haram Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri school who did not had the opportunity to attend the formal school,

Kwa kiswahili maana yake muanzilishi wa Boko Haram anaitwa muhammad yusufu alipitia hayo mafunzo ya almajiri huko north nigeria. Na hakuwai kusoma elimu dunia
Mkata kiu,
Naamin kama Kuna mtu amebrainwashed basi ni wewe, maana hutaki kusikia chcht kuhusu uislam, waliokubrain wash wamefanikia.

Wamekujaza Kila aina ya chuki juu ya uislam na unachukia kweli.. lakin hata hicho ulichoambiwa nikizuru sion kam unajifanya,
 
Kuna upuuzi mwingine tunautaka wenyewe

Kuna ulazima gani wa kufundishana karate tena misikitini?

Wakati huo kushakuwa na dhana mbaya juu ya hilo

Kuna ulazima gani wa kuwaachisha watoto shule??
Shida ni dhana, kwahiyo siku ukiambiwa Kuna dhana mbaya juu ya swala Tano, utasema Kuna ulazima gan wakuswali swala Tano wakat Kuna dhana mbaya..

Hii michezo watu hujifunza popot pale, labda useme hawakufuata utaratibu.
 
Mimi nahisi serikali ya awamu ya sita inacheza mchezo fulani, na kama si hivyo mtanisamehe kwa hisia hizo. Wale mabinti 132 waliokutwa kwenye nyumba moja huko Dodoma walichukuliwa na serikali na kupelekwa katika Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto hapo Dodoma, ambapo wanapewa mafunzo na matunze kwa gharama ya serikali. Hatukusikia kama mmiliki wa ile nyumba iliyowakusanya akichukuliwa hatua yoyote.
Hawa wa leo wamekutwa wavulana. Usishangae nao wanapelekwa Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto kule Dodoma, na usishangae hakuna hatua itakayochukuliwa dhidi ya hao waliowakusanya watoto

Hisia zangu ni kwamba hii ni njia tu ya kuhalalisha scholarship ya serikali kwa kundi fulani, ukizingatia kuwa hii ni awamu ya sita
Lupwepo,
Wewe sio mfuatiliaji, jifunze kufuatilia jambo.. najifunze kuchuja maneno Yako sio Kila unachowaza ni chakuzungumza
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Umeelezea vizuri sana. 👍
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Mtume wao kawadanganya wanawaza "UGORO"
 
Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
Kwa hiyo hayo yanafanyika kwenye huo msikiti wewe unaona ni sawa tu kisa hao ni waislam wenzako. Kwa nini nyie watu mnapenda sana kuunga mkono ugaidi.❓❗❓❗
 
Kek...
Historia ya Nigeria si sawa na historia ya Tanganyika.

Nimeweka hapa historia kwa maneno na picha jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyopokelewa na Waislam.

Nimeeleza umoja uliojengwa na TANU hadi uhuru ukapatikana kwa salama.

Swali la kujiuliza na mara kadhaa nimeuliza lakini sijajibiwa.

Hapa tulipo leo tumefikaje?
Mpaka leo hakuna raisi muislam alietawala
Awamu zote mmetawaliwa na wakatoliki tu
 
Ndio maana mara zote hua najisemea huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi hata kidogo, kaa mbali kabisa na muislam alieshika Sana dini tofauti yake na shetani ni kidogo sana
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.

Faiza na mzee wa hovyo side mudi,ndio waratibu wa hayo mafunzo.
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu

Tukisema hii dini ni tatizo kwa ulimwengu watu wanadhani tunatania,beware
 
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
Lakini waislamu ni watu wa kuonewa tu kwasababu huwa hawakosei kabisa
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Umeeleza vizuri sana.
 
Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku.

Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na mapigano (Karate na judo)

Mkuu wa Wilaya ha Longido amefanya hilo leo baada ya kamati ya usalama kupata taarifa juu ya mafunzo yanayofanywa kwenye chuo hiko kisichosajiliwa.

Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.
Huu ujinga na njama za kuupiga vita kwa kutumia vyombo vya serikali utaisha lini
Kila mnapoona madrasa mnazusha jambo.
Mara karate .mara ushoga..............
Mnataka uislamu usifundishwe ?
 
Aki...
Suala la ugaidi limekuwa nyeti sana.
Mamlaka husika zimeshindwa kuthibitisha bila chembe ya wasiwasi kuwa tunalo tatizo la ugaidi Tanzania.
Yawezekana mambo yanamalizwa kimya kimya ili isitokee taharuki. Lakini kituo cha mafundisho ya dini kwa watoto wadogo kukutwa na vifaa vya mazoezi mazito mazito kama vile ni jambo la kutilia shaka kabisa
 
Back
Top Bottom