Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Natumai vyombo vya ulinzi na Usalama vimo humu watachukua hatua mapema sana either kwa ukimya au kwa kutoa taarifa.

Hii Amani yetu Watanzania imetufanya tujisahau sana hakika, hivi na kesho Kkkt, kesho kutwa Rc, mtondogoo wakaanza kufundishana Judo na Karate makanisani itakua nchi ya aina gani hii.

Plse vyombo vya ulinzi na Usalama kwa masuala nyeti kama haya naomba asiangaliwe MTU usoni angalieni Nigeria wanavyoteseka Leo, angalieni Syria na Isis wanavyoteseka, angalieni Hamas, Hezbollah, Houthi haya yote yalikua ni matokeo ya kuzembea mapema.

Mungu ilinde Tanzania na fichua waovu wote wenye nia mbaya na nchi yetu.
 
Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki


Uislamu toka lini unabrainwash watu?


Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?

Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui
 
Shost Faiza analizungumziaje hili
 
Hata dar kuna misikiti wanajifunza kug fu sijui wanataka kumpiga Allah yaan hawa watu wamevurigwa
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
 
Hawa jamaa ni wale huwaambii kitu kuhusu dini,wanakuchinja kama wanachinja kuku..wao wanaamini wanaenda peponi! Ni upuuzi wa kiwango cha juu sana MKATA KIU hapo juu kamaliza kila kitu.
 
Kingine kiko kijiji cha kiangara,kata ya kibutuka wilaya ya liwale mkoa wa Lindi,kijiji hapo kuna msikti mkubwa sana, nadhani wilaya nzima hauwezi ukuta tofauti na huo,una simamiwa na wasuni,mwanzilishi wa msikiti huu ni ndugu salimini mbite,kipindi cha magufuli alishughulikiwa sana bwana huyu kwani huwa anaendesha mafunzo ya itikadi kali.

Nasasa ameanza tena mafunzo kwa kukusanya vijana na kuwafunza itikadi kali,serikali ichukue hatua
 
Kimsingi vyuo hivi vipo sehemu mbalimbali nchini na ni hatari kwa usalama wa nchi kwani vijana hawa huchukuliwa sehemu mbalimbali kwa lengo la kuja kufundishwa dini na itikadi mbali.

Swali muhimu: mfadhili/hi ni akina nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki


Uislamu toka lini unabrainwash watu?


Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?

Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui


the founder of the Boko Haram Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri school who did not had the opportunity to attend the formal school,

Kwa kiswahili maana yake muanzilishi wa Boko Haram anaitwa muhammad yusufu alipitia hayo mafunzo ya almajiri huko north nigeria. Na hakuwai kusoma elimu dunia
 
Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
 
Kiuhalisia hayo mafunzo si wajibu wala hayana nafasi yoyote katika uislamu

Kuondoa Shubha Kwa watu wenye chuki na uislamu, yangeondolewa misikitini


Watu wajifunze sehemu nyinginezo kama Kuna ulazima


Lakini pia katika uislamu kuna madhehebu yanayouchafua uislamu ikiwemo MAKHAWARIJ ambao wao aqida yao ndio hizo


Kibaya zaidi wanauchafua uislamu kupitia ujinga wao
 
Shida inakuja hapa mnapoongea kichuki


Uislamu toka lini unabrainwash watu?


Uislamu unakataza kusoma elimu isiyo ya dini?

Hao wenye misimamo hiyo hata huo uislamu hawaujui
Kek...
Historia ya Nigeria si sawa na historia ya Tanganyika.

Nimeweka hapa historia kwa maneno na picha jinsi Mwalimu Julius Nyerere alivyopokelewa na Waislam.

Nimeeleza umoja uliojengwa na TANU hadi uhuru ukapatikana kwa salama.

Swali la kujiuliza na mara kadhaa nimeuliza lakini sijajibiwa.

Hapa tulipo leo tumefikaje?
 
Osama hakusoma shule?

Point ya kipuuzi sana
 
Kwanini hawa wanapenda sana Mapigano????
 
Kuna upuuzi mwingine tunautaka wenyewe

Kuna ulazima gani wa kufundishana karate tena misikitini?

Wakati huo kushakuwa na dhana mbaya juu ya hilo

Kuna ulazima gani wa kuwaachisha watoto shule??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…