Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Mbona karate mpaka china wanasoma tena yapo mashindano ya kimataifa.

Nimejifunza karate chuoni ila ni marufuku kupigana mtaani yaani ukikutwa umepigana basi unafukuza ,tulienda mpaka kenya miaka ya 2000's kushindana tena mfumo wa Taekwondo..

Chuo pale ulipigana tu mtaani unafukuzwa ,washafukuzwa watu wengi hapa jamaa zangu wana mikanda na wamepata kipato wamefika mpaka china ila ni wapole maana ni sehemu ya mazoezi.

Karate ni mchezo kama boxing ,kule zenji wakifungia kuona ni mchezo hatari ila baadae walikuja kufungua .

China kuna vyuo kiboa hata ukiona wale wakubwa wao kama mashaolin ,wanapinga watu kupigana wapo peace sana ila wanafundishwa karate kwa sana.
Vipi itikadi Kali nayo ni mazoezi?
 
Tuweke udini pembeni

Je Watanzania hawapaswi kujifunza karate na judo? Je mbinu za kujilinda ni kinyume na sheria za nchi? Hizi tahariko tunazobabatizwa nazo kila mara kwa jina la ulinzi na usalama, kwa nini serikali isipeleke mamluki wake hapo nao wakajifunza hayo mafunzo ili kuyachuja kama ni hatari kwa jamii? Naona badala yake ni hizi Kamati za Ulinzi na Usalama zimejikita kwenye kupambania taharuki kuliko kutumia weledi na akili kudeal na haya mambo
unajua kujifunza martial arts kwenye vituo ambavyo havijasajiliwa ni kosa kisheria? jumlisha na mafunzo ya itikadi kali ukiongezea na umri wa watoto wanaotakiwa kuwa shule bado unaona wazee wa kitengo wanazingua
 
Hii dini miyeyusho sana,wao wanawaza tu vurugu,hii dini inafanya dunia isiwe mahali salama, sasa ndo nini dini kufundisha judo na karate? Wakitoka hapo wanaenda kuwa vibaka na kubaka watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
kule libya walinishangaza, wanaswali huku wana bunduki, wakimaliza kuswali wanaendelea na mapigano. Pale sudan nako ni vurugu tupu, watafunga na kuswali huku wanalipuana. Mungu gani huyo anayeabudiwa mpenda shari? Ni upuuzi mtupu
 
Siku nikiwa Raisi wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Tanganyika.

Nitaifuta rasmi hii Dini. Kama Angola na China.
 
unajua kujifunza martial arts kwenye vituo ambavyo havijasajiliwa ni kosa kisheria? jumlisha na mafunzo ya itikadi kali ukiongezea na umri wa watoto wanaotakiwa kuwa shule bado unaona wazee wa kitengo wanazingua
Swalu langu ni kuwa, kwa nini waliachwa muda mrefu kama siyo kuzingua?
Kwani chipukizi si umri wa shule?
 
Nigeria walipuuzia hayo mafunzo. Yamekuja kuwatesa sana mbeleni. Boko haram ilianza kama utani.

Hao vijana kiislam wanaitwa المُهَاجِرْ "al-Muhājir,"

Wanachukuliwa kutoka kwa wazazi wao toka wadogo wanapelekwa mbali na nyumbani kwao kambini na kuanza kufundishwa uislamu tu wenye siasa kali.. hawatakiwi kusoma elimu dunia maana itawafanya wajanjaruke.

Hao ndio wanatumika kwenye kujitoa muhanga. Maana uislam unakuwa ume wa brain wash wamefanyiwa indocrinations. Hawaogopi kufa hao. Wao jukumu lao ni kupigania dini

Nigeria boko haram ndio inatumia hao vijan waliopitia mafunzo ya al-Muhājir .. wanawekwa kambini mbali na nyumbani kwao wanafundishwa siasa kali za uislam.

Wikipedia imeandika muanzilishi wa Boko haram Sheikh Muhammad Yusuf was a graduate of the Almajiri Madrassa who did not had the opportunity to attend the formal education.

Wazazi wa hao vijana ni wale waislamu maskini.. wasio na exposure. Na unajua waislamu wanazaliana sana sababu ya ndoa zao za mitala na kupeana talaka na kuoa upya kila mara. Hivyo unakuta baba ana watoto 20 ila kuwahudumia wala kuwasomesha hawezi.. hivyo huyo mzee anafosi watoto wapelekwe kambi za المُهَاجِرْ "al-Muhājir," wakafundishwe uislamu huku wanakula chakula cha bure.

Huwezi kukuta mtoto wa muislamu mwenye maisha huko. Mfano kikwete ama bakhressa watoto wake hawajui hata maana ya al-Muhājir ni nini japo ni waislamu
Umeandika jambo kubwa sana nilishaona hizi kambi nikiwa kondoa, mtwara kijiji cha nahyanga na tunduru..
Hali ni mbaya.
Nakumbuka kupitia taarifa yangu kambi mojawapo ilivunjwa ilikuwa tandahimba.
Hawa jamaa wamejipanua sana, serkali iwe na jicho kali waachane na chadema ambao hawana madhara.
 
Madogo wenyewe wanaonekana tayari wameharibiwa akili. Wana nyuso za kikatili. Huyo mwalimu wao wa mazoezi naye anaonekana wazi ni gaidi mpevu. Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa hizi taasisi za dini kurundika watoto bila shughuli za kueleweka. Wahalifu wanaficha uhalifu wao kwa mgongo wa dini
Juzi nipo kwenye pantoni nilikutana na wawili watoto wadogo from my psychological point ya view yaowatakuwa hatari na wanaitadi kali.
 
Namanga Islamic Centre ni kituo cha mafunzo ya siasa kali na mafunzo ya mapigano(KARATE, Judo, Taekwando n.k) kilichokuwa chini ya Dini ya Kiislam katika Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha.

Kituo hiki ni cha pili kufungwa baada ya kile cha Dodoma ambapo mabinti wasiopungua 150 walikuwa wamefungiwa kituoni na kupewa mafunzo mbalimbali ya kidini.

Vituo vyote viwili vimefungwa rasmi na kamati za ukinzi na usalama za Mikoa na Wilaya husika kwani vipo kinyume na utaratibu na vinatishia usalama wa nchi.

Hali kama hii ilikuwa nchini Nigeria ambapo serikali iliacha pale ilipokuwa ikipewa taarifa kuhusu mafunzo yanayotolewa na Boko haram kwa vijana wa nchi hiyo. Madhara yake ni kuanzishwa kwa kundi la kigaidi la Boko Haram lililosumbua na kuharibu usalama wa nchi ya Nigeria.

Hapa Nchini, kulitokea vuguvugu za itikadi kali na ugaidi kule Pwani pamoja na Mtwara. Sisi kama watanzania, tuna wajibu wa kutoa taarifa kuhusu vyuo au vituo hivi vinavyotoa mafunzo ya mapigano na itikadi kali.

Mimi kama Mtanzania, ninaanza kukitaja kituo cha mafunzo ya mapigano na itikadi kali kilichopo kwenye Msikiti wa Ipogolo pale Iringa Manispaa pamoja na Msikiti uliopo kwenye Kijiji cha Kitayawa njia panda ya Nyabula Wilaya ya Iringa Mkoa wa Iringa.

Misikiti/Vituo hivi hufundisha vijana wa kiislam itikadi kali na mapigano na mara nyingi kama unaenda kule Nyabula toka Iringa Mjini, utakuta vikundi vya vijana hao waliovaa kanzu na viremba kichwani wakitembea kwa miguu na wakifanya mazoezi.

Naamini JF ni Platform kubwa nchi hii, kutaja kwako vituo hivi vitasaidia kulinda usalama na amani ya nchi yetu. Ewe mwana JF, funguka kwa ajili ya Mama yetu Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania, Eeehh Mungu ilinde na itetee Mama yetu Tanzania.
Cc Pascal Mayalla mayalla Maxence Melo fanyieni kazi hii taarifa
 
Masta...
Mimi sina taarifa kamili ya hicho walichokuwa wanafundishwa hao vijana 70 wa Kiislam ambacho walioamua kufungia chuo chao wamekiona.

Ningefahamu hayo masomo yaliyoonekana ni itikadi kali ningeweza kujaribu kuchangia.
Utayaonea wapi na wakati umejifika kitambaa cheusi machoni mzee wangu..
Kuna siku nilikuchokonoa kuhusu ilunga na ulionyeaha kumsapoti..

Sasa kama ulikuwa na moyo huo.. haya ya vijana kufunzwa ugaidi utayaona kweli?
Cc Nguruvi3
 
Ngosha...
YMCA Dar es Salaam walikuwa na mafunzo ya karate na vijana wengi walihitimu pale na kuipata mikanda.

Nadhani na Don Bosco walikuwa na mafunzo kama hayo.

Mimi siwezi kuandika kama ulivyoandika wewe kuwa walikuwa wanataka kumpiga nani?
Kwanini hizo sehemu nyingine ziwe za kificho na hazijasajiliwa? Au ymca na don bosco zinajulikana wazi na activity kisekali na kiulasama kama vituo vya vijana
 
Wakristo mnategemea waislamu (sio uislamu) wakosee mpate kujisafisha kupitia hilo na hio ni njia pekee ya kupata relief

Any way, wafuasi wa Brian Deacon wamepata Cha kuongea
Hii peleka kigogo, buguruni,vingunguti na mbagala kwenye midhara ya kina mazinge na wajinga wengine wa ukristo hapa sio level yake.
 
Ila sidhani kama hao vijana wa YMCA waliacha shule/elimu dunia wakajikita kwenye elimu ya dini tu na karate.
Ymca nimepita don bosco nimepita sanaaa.. huyu mzee ms asitake ku'justify mambo
 
Tukisema hii dini ni tatizo kwa ulimwengu watu wanadhani tunatania,beware
Hawapendi amani popote hata makwao.. namkiwakaribisha sehemu zenu zenye amani pia wanataka kuzifanya ziwe na fujo..
 
Back
Top Bottom