Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Sio mwashambwa hata big brains wa ccm watakimbia hilo!

Ni sisi wachache Sana tunaosema "Boresha ukusanyaji mapato na vutia wawekezaji Ili ku unlock uchumi,kwasasa punguza kukopa coz deni la taifa sio himilivu"

Huo ndio ukweli!
 
Wafrika kinachotusumbua ni akili za watawala wetu
Hatuwezi tukawa na rasilimali zote
Anakuja mtu anavuna anapeleka kwao alafu anakuja tena kutuuzia
Vifaa nk,kwa mali iliyotoka kwetu wenyewe

Ova
Lakini mzee wa Kino si bora hata anayeomba kuliko Kagame anayeua waafrika wenzake huko DRC na kuwapora rasilimali zao? Vita ya kumweka Kabila madarakani akisaidiwa na Kagame iliondoka na mamilioni ya roho za watu wasio na hatia. Kagame ni mnafiki kama walivyo wanasiasa wengine wakiongozwa na wale wa CHADEMA.
 
Kagame ni muuaji. Hana uhalali wowote wa kutoa ushauri kwa marais wenzake. Huko Kongo wananchi wanauwawa mno na huyo Kagame. Ni afadhali mara 100 Rais anayeomba kuliko anayeua waafrika wenzake. Labda tuwaulize CHADEMA kama Kagame ndo role model wao..
 
Kagame ni muuaji. Hana uhalali wowote wa kutoa ushauri kwa marais wenzake. Huko Kongo wananchi wanauwawa mno na huyo Kagame. Ni afadhali mara 100 Rais anayeomba kuliko anayeua waafrika wenzake. Labda tuwaulize CHADEMA kama Kagame ndo role model wao..
Ukweli ukisemwa na yeyote utabaki kuwa ukweli.
Licha ya madhaifu aliyo nayo Kagame ila amenena ukweli.
Usimhukumu yule aliyesema bali yahukumu manenoye.
Achana na Kagame ila sikiliza je alichozungumza Kagame kina ujazo!?
 
Mfano mdogo tuu, tuna gas inayoweza kuwasha umeme wetu miaka 100 na zaidi na nyingine tuka export na kupikia kila mtu, cha ajabu 90% bado wanatumia kuni na umeme hatuna kila siku migawo na visingizio kibao, hii ndio akili ya CCM na chawa mwanshambwa na buku saba wenzake wanaipa promo kila siku
 
Kagame aliwahi kupewa zile PhD za hovyo
Kagame Hana hata degree moja lakini amefanya Rwanda kuwa the safest, the cleanest, the most progressive country in the region, the fastest growing economy in the region.
Wenye PhD za bongo hata kusimamia mabasi Mia mbili ya mwendokasi hawawezi. Mabasi hayana competition ya namna yoyote. Kukusanya nauli tu na kununua vipuri mwenye PhD hawezi. Hizi Ni PhD za Julia ugali wa udaga na kichuri.
 
Sasa hii balaa ccm wailiitwaa wapi mungu wa mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…