Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Sukuma gang siyo kabila,ila ni aina ya watu flani flani ndiyo maana kuna mtu kama Bushiru, Slow slow na ndungaye
 
Na aliyekataa wachunguzi huru ni Mbowe au hilo uaji lako?
 
Kwa uapnde wangu mimi,yeyote aliyeshiriki kuondoa ile kadhia anastahili pongezi
 
KAMATI HIYO HIYO PIA ISIACHE KUCHUNGUZA KIFO CHA MPENDWA WETU MWANASIASA NGULI JASIRI LATE, BENJAMINI WILIAM MKAPA, IT WAS SO SUDDEENLY!, KUTOKA AFYA NZURI MNO, MPAKA KUFIKIA PALE!
°Alifariki wakati ambao kiongozi fulani akijaribu kujiongezea muda! Inatia shaka sana.
 
Hapo ndio penyewe hasa
 
Nilitamani Sana kupata mtu jasiri atakaye toa kauli hii na sasa amepatikana. Kwa kuwa kauli imesemwa basi moyo umetulia. Pumzika Magufuli lakini naamini aliyeua kwa upanga atakufa kwa upanga
Hii kauli itaondoa Amani na USINGIZI Kwa wahusika!!

Mbona mapema sana?
 
Haya yote twayasema hapa lakini, waswahili husema, "mkuki Mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu "
 
Wakati akiwa hai Jiwe aliumbuliwa na CAG kuhusu upotevu wa 1.5 tr, hope unajua uamuzi gani aliuchukua ili kuficha maovu yake ya kifisadi
 
Kwani Magufuli alikufa kwa utata gani?.wakati tuliambiwa alikufa kwa maradhi ya mfumo wa umeme mwilini?!! Utata ulitoka wapi?
Labda iundwe kuchunguza kifo cha mkapa alikufa ghafla
 
Yes tume ya kuchunguza wote waliokufa na kupotea katika hali ya kutatanisha wakati wa utawala wa Nduli jiwe bin stone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…