Kelele imemfikia, ameamua kujisafisha!!

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kauli ya rais kabudi na Lukuvi ndio marais kwa sasa.

Maana rais amewateua wakamsimamir ili yeye aweze kuwasimamia wananchi.

Umewaza pamoja na mimi, kusema anawaweka ikuku iliwamsaidie kazi, hiyo ndio maana yake sababu kila wizara ina mtendaji wake mkuu anaeripoti kwake.

Mwanasheria mkuu wa serikali na waziri mkuu wanatosha kabisa kufanya hizo kazi alizowapa hao kina kabudi na lukuvi.

Pia barazalote la mawaziri kaziyao nikumshauri rais pia.

Sasa hawa anaokwenda kukaanao ikulu manayake niuraisi shirikishi,itakuwa utatu mtakatifu hahahahaaa.

Ila kama atawatumia vizuri kwa haki na ukweli,hawa watu wanaenda kumsidia rais mawazo na maamuzi bora kabisa kwa ustawi wa taifa.
Binasfi namuamini sana kabudi na pia Lukuvi ni mtu smart na asietaka ujinga ujinga.
 
Mkuchika kaishazeeka na maza kamweka hapo iki amalizie maisha tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hapo techniques na akili kubwa imetumika kuwa-disable hawa jamaa wawili ili wasishiriki kinyanganyiro cha uspika na uraisi baadae
 
Hyo kazuga tu lkn kashawapiga na kitu kizito kichwan
 
Mama amestukia lawama anazopewa mitandaoni.
 
WeWaswahili shukrani huwa hamna hata kidogo. Ni kulalamika kwa kwenda mbele.
Aisee,yaani kila kitu kwao kibaya, mama amehamua kulinda heshima zao kina Lukuvi na Kabudi,maana Kuna wajinga walishaanza kuwachafua mitandaoni,lakini bado Kuna majitu yanakosoa uhamuzi wa Rais
 
Samia kweli amedhihirisha jinsi alivyo mweupe, na jinsi alivyochagua matango porini yake yamebuma hata kabla hayajaanza kazi, hivi unawezaje kumtoa Lukuvi ukaweka Ridhiwan Kitwete? baada ya aibu kubwa ndio kajitokeza masikini kusema ana kazi nao, jamani tuna Rais kweli Tz? Taifa letu limepatwa , kupatwa kwa jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…