joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hiyo mikataba ya madini aiiriview na kuisimamia ni nani? au na ww ndio una msikiliza nzee wa MIGA. Huyo Kimei Bungeni ana miaka mingapi? na amepewa nafasi ipi kwenye wizara gani?Nimekubali kuwa kaijenga crdb hilo halina shaka, ila alipoingia bungeni utaalam wake katika michango aliuacha nje.
Kabudi yote aliyokuwa anapibga na kufundisha alipopata nafasi serikalini akayatupilia mbali. Wasomi wanafiki nafiki tu hawana msimamo, hawana wanaloliamini ila matumbo yao tu.
Mtu pekee ambaye ningependa abaki kwenye wizara yake ni kukuvi.
Ni vilaza hao amesha washtukia!Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag
Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa
Nawasilisha
Inafikirisha.Watu tupo mill 60 kama wameshindwa awatafute wengine Ukweli Hataki Wagombea USPIKA
Ndugu, ebu fuatilia historia ya CRDB... Kitambo ilikuwa TRDB. Yeye kaendeleza tu mazuri ambayo wengine walisha anziasha kitambo. Ana credit zake...Mashudu wapi, mtu kaijenga CRDB kuanzia ipo changa mpaka sasa imesimama, mnapenda wabunge wanaopiga kelele na kubwajabwaja.
Mimi natamani sana watu type za Kimei na Kabudi ambao wana CV na experience kubwa kwenye maeneo yao ya kitaaluma, ndio wapewe hizi wizara ili wasaidie taifa kupitia experience zao.
Bahati mbaya kwe siasa zetu si upinzani wala chama tawala ,wamejaa wazushi kibao.
Michango yake tu ilidhihirisha atakachofanya akipata nafasi.Hiyo mikataba ya madini aiiriview nani? Hiyo Kimei Bungeni ana miaka mingapi? na amepewa nafasi kwenye wizara gani?
Sawa ila CRDB imepata mafanikio makubwa chini ya Kimei ndio ukweli wenyewe.Ndugu, ebu fuatilia historia ya CRDB... Kitambo ilikuwa TRDB. Yeye kaendeleza tu mazuri ambayo wengine walisha anziasha kitambo. Ana credit zake...
Kimei aachwe huko huko.Naona kama kajishtukia katoa boko bora angekaa kimya tu.
Kwangu mimi Kabudi, Lukuvi na Kimei kukosa uwaziri ni pigo kwa taifa na sizani kama watatumika kama alivyosema.
Ni kwamba anawatumia kama consultants? Kuna Mkuchika naye ni waziri asye na wizara. Kama anaamini anayofanya yatamsaidia, sisi ni wasikikizaji na waangaliaji tu, tutaona na kusikia matokeo.Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag
Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa
Nawasilisha
Yaleyale wazee wa katiba, sasa wewe kwa mtizamo wako angeachana na mikataba ya kinyonyaji ya madini angeenda kuipigania katiba.Michango yake tu ilidhihirisha atakachofanya akipata nafasi.
Mikataba ya madini lakini mara kadhaa alikuwa anaona katiba inakanyagwa na anaunga mkono. Ungefundishwa naye au ukasoma maandiko yake ndipo ungejua ukigeugeu wake baada ya kupewa nafasi.
Have a nice morning.
Hakunaga hicho cheo hahahahaahahahaBaba mikataba 😁😁😁
Nahisi hujaelewa hata nasema nini. Katafute maandiko yake na interview zake kabla ya uteuzi na baada ya uteuzi utaelewa. Mimi sizungumzii mikataba ya madini ambapo nako tukidanganywa kuwa tutalipwa matilioni ya dollar, 🤣🤣🤣 ile pesa tungelipwa tusingekopa kabisa maana ilikuwa ni kubwa sana.Yaleyale wazee wa katiba, sasa wewe kwa mtizamo wako angeachana na mikataba ya kinyonyaji ya madini angeenda kuipigania katiba.
Mimi siasa za Africa na zijua sana, hata ubadilishe katiba mara ngapi still mambo yatabaki kuwa Yaleyale, Kenya wale walizani katiba itaondoa tatizo kubwa la ufisadi, wamebadilisha katiba na bado kuna ufisadi mkubwa na kutisha kwenye miradi yao ya maendeleo.
Wamebadilisha katiba, wakabadilisha mpaka utawala still bado ufisadi unawatesa. Kwangu mimi akitokea akafanikiwa kuziba mianya ya upigaji hata kwa 1% kwangu mimi ni shujaa, Africa hamna kitu kinacho turudisha nyuma kama ufisadi na mikataba ya hovyo.
Kwa kweli nimeikubali sana timu ya fitna ya Mheshimiwa Rais wangu.Bonge technic, km unawaza kugombea uspika hpo hwez maana una cheo mficho haaa muda wa kukutan sukum gang haupo wametawanya kihun duu
Utaratibu alioukuta Mama ni utaratibu mbovu na wa "kishamba"Mtangulizi wake alimtoa Kabudi wizara ya sheria na kumpeleka na mambo ya nje; baada ya hapo akaunda team ya kupitia case zote za madai ya kimkataba ofisi ya mwanasheria mkuu na kuangalia mikataba yote serikali itakayoingia. Maana yake nini Kabudi si lolote kwenye mikataba...
Kuna haja gani ya kuangalia maandishi wakati impact yake kwenye mikataba ya madini nime iona na rudia tena kwangu mimi hata ukifanya kwa 1% kuboresha hii mikataba mibovu basi ni shujaa,kwani wakitokea kumi manake 10% na sio kukaa pembeni na kukejeli kama mzee wa MIGA.Nahisi hujaelewa hata nasema nini. Katafute maandiko yake na interview zake kabla ya uteuzi na baada ya uteuzi utaelewa. Mimi sizungumzii mikataba ya madini ambapo nako tukidanganywa kuwa tutalipwa matilioni ya dollar, 🤣🤣🤣 ile pesa tungelipwa tusingekopa kabisa maana ilikuwa ni kubwa sana
Ushapata majibu?? Kama bado basi endelea kuvuta subra mkuu majibu utapata tuNajiuliza tu,
=> wakiwa bungeni wataulizwa maswali kama mawaziri, wakurugenzi, ama viongozi maalumu ofisi ya Raisi?
=> katiba inaruhusu teuzi kama hizo?
=> Je, upekee huo ni kwamba WAMEINULIWA JUU SANA ama WAMEPOLOMOSHWA?
Anyway hatuelewani ngoja nikubaliane kutokubalianaKuna haja gani ya kuangalia maandishi wakati impact yake kwenye mikataba ya madini nime iona na rudia tena kwangu mimi hata ukifanya kwa 1% kuboresha hii mikataba mibovu basi ni shujaa,kwani wakitokea kumi manake 10% na sio kukaa pembeni na kukejeli kama mzee wa MIGA.
Wamepigwa pini na hawakuwa na choice hahaahahKwahio wakatae ?
Kuna mambo mengine hauna choice (na kwenye hizi issue za kuteuliwa na mtu ni moja ya mambo hayo)
Umetoka kusema MAMA Samia ni genius.Samia ni genious nmpenda bure, Lakini Kassimu yeye atamsimamia nani wakati ndio kazi ya Waziri Mkuu kuwasimamia wenziwe
Vic, tulisema hatutaki matusi na kejeli hahaahaahSijui kazi ya waziri mkuu ni nini ?Stupid kabisa.
Wewe nawe hukumsikia RaisChanzo cha taarifa ninini? au ni walewale wa kukutrupuka kama 'ile kitu'