Yaleyale wazee wa katiba, sasa wewe kwa mtizamo wako angeachana na mikataba ya kinyonyaji ya madini angeenda kuipigania katiba.
Mimi siasa za Africa na zijua sana, hata ubadilishe katiba mara ngapi still mambo yatabaki kuwa Yaleyale, Kenya wale walizani katiba itaondoa tatizo kubwa la ufisadi, wamebadilisha katiba na bado kuna ufisadi mkubwa na kutisha kwenye miradi yao ya maendeleo.
Wamebadilisha katiba, wakabadilisha mpaka utawala still bado ufisadi unawatesa. Kwangu mimi akitokea akafanikiwa kuziba mianya ya upigaji hata kwa 1% kwangu mimi ni shujaa, Africa hamna kitu kinacho turudisha nyuma kama ufisadi na mikataba ya hovyo.