Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali
Hawa watu wanatudharau sana mtu kama Nchimbi awezi kuwa speaker.

Hili uwe speaker lazima uwe mmbunge kwanza ata akili hawana; sasa huyo anaewapa form watu kama Nchimbi na Masele sijui anatumia sheria gani.

Kutimiza azma yao ya kifisadi inabidi raisi amteue Nchimbi kuwa mmbunge kwanza.

I said before the only logical explanation ya kurudishwa kwa Nchimbi mama kanogewa anahitaji mtu wa fitna za kweli kuulinda uraisi wake.

Tamaa tu
 
Mwanasheria mkuu kazi yake ni nini? na wizara ya katiba na sheria kazi yake pia nn?
 
Kama kawaida yao Chaga gang walikuwa wameshaanza kuwanyemelea ili wawe wagombea wao wa urais 2025.

CCM kuing'oa madarakani kwa hivi vyama uchwara vya siasa itachukua miaka 2000, Unapohisi na kudhani kuwa CCM wanaenda kugombana hapo hapo wanaunda umoja wenye nguvu. Hiki ndo kitaifanya CCM itawale Karne na Karne.

Samia Ni master plan,kumwangusha itachukua muda Sana ,Samia for 2025-2030.

Long live CCM!! Long live Samia

#kazi iendelee
 
Mmmh! Kuitwa kuwasimamia Mawaziri? Hiki nacho ni cheo gani hiki? Si Mawaziri huwa wanasimamiwa na Waziri Mkuu,au? Mmmh..ngoja niishie kuguna utafikiri nakunya.
Pengine huelewi mararaka ya rais,,, unakumbuka kruchev aliigawa crimea kwa ukraine as a gift?,
Unakumbuka kiongozi wa Russia alitoa ok kuuza Alaska kwa america?.
Nachotaka kukuonyesha Rais wa nchi anayo mamlaka ya kuunda kitengo chochote aonavyo inafaa,
Utajipa hudhuni bure kukerwa na hilo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mbona Watanzania hatuna jema? Juzi na jana watu walikuwa wanahoji kuachwa hawa viongozi wetu. Leo Rais kasema sababu za kuwaacha na kwamba atawatumia maeneo mengine zimeibuka sarakasi nyingine! Tumuache Rais afanye kazi. Dah!🙏🙏
Aache unafiki juzi alituambia wanaoomba utaman urais wake atawatoa wakajipange..
Leo anadai anawapangia kazi maalum ambazo hazipo kikatiba.
Kuamini hilo ni kuwa zumbukuku kama wewe.
 
Lengo ni kumnyima uspeaker Lukuvi. Ili asiinge Bungeni akiwa na bifu kali, as such, kukwamisha kiaina agenda za Samia na genge lake?
 
Pengine huelewi mararaka ya rais, unakumbuka kruchev aliigawa crimea kwa ukraine as a gift?
Unakumbuka kiongozi wa Russia alitoa ok kuuza Alaska kwa america?
Nachotaka kukuonyesha Rais wa nchi anayo mamlaka ya kuunda kitengo chochote aonavyo inafaa,
Utajipa hudhuni bure kukerwa na hilo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hiyo inategemea na katiba yao inasemaje.
Kwa Tanzania hata ikitoa vita raisi akakubali kushindwa hana mamlaka
ya kuachia eneo hilo kwa nchi yeyote.
Kagera tungeshindwa vita Nyerere hakuwa na mamlaka ya kusain kagera iwe uganda.
 
Ww nawe ujinga umekuzidi kama kesi zilimalizwa nje ya mahakama! kama ww unavyoita nyuma ya pazia ndio settlement hizo
alafu mwanasheria yyte anaweza kusiamia mikataba......
Bila shida anachofanya kinaitwa legal research pia anafanya consultation na wabobezi wa maeneo hayo..........
punguza kuhemkwa kilaza ww
Note soon after negotiations za ACCACIA Magufuli alifanya switch ya mawaziri balozi Mahiga na Kabudi.

Mkataba wa Twiga for the most ni settlement ya Barrick sio ustadi wa Kabudi; baada ya hapo ndio iliundwa team rasmi kupitia mikataba.

Ni hivi siwezi jadili na wewe business contracts najua in two junctions utoweza jibu hoja; this is why people specialise.

Kukusaidia a business lawyer anasoma zaidi business admin na finance kushinda law; Kabudi hana huo uwezo.

Msituaribie nchi kwa ujinga wenu; mmeikuta watu wanairekebisha mnaleta tamaa za kulazimisha mambo ya Bandari na sijui na miradi gani mengine ya ovyo.

Hivi ata mkataba wa TANESCO wa $30m ulipitia ofisi ya mwanasheria mkuu. Ndio mambo mnayopenda kutuaribia taifa.
 
Huyu mama sijui ni usahulifu ama hawez ku handle pressure ya matukio makubwa sielew kabisa, juz tu hapa wakat anamsagia kungun Job alitueleza kwamba kuna mawzir wanafikiria 2025 hivyo anaenda kufanya reshuffle ili wakajipange vizur wakiwa nje leo hao hao aliowatuhumu wanamkwamisha anawapamba kupita kiasi
 
Back
Top Bottom